You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yaomboleza mauaji ya Orlando
Katika Papo kwa Papo 13.06.2016: Watu 50 wameuawa katika shambulizi kwenye klabu ya usiku mjini Orlando, Oscar Pistorius afikishwa mahakamani na Ujerumani yaanza vyema dimba la Euro 2016
Ujerumani na Uhispania zaanza vizuri
Mabingwa wa Dunia Ujerumani imeayaanza vizuri mashindano ya kombe la Ulaya kwa ushindi dhidi ya Ukraine
Ghasia za mashabiki zachafua sura ya kandanda
Mamia ya mashabiki wakikimbizana mitaani wakibeba viti na wakiwa tayari kuvirusha, walifanya ghasia mjini Marseille
Ufaransa kidedea dhidi ya Romania
Ufaransa imeyaanza vizuri mashindano ya fainali za kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016
Nyimbo za ushabiki wakati wa michuano
Kando na mapambano yanayoendelea ndani ya uwanja, mashabiki nao hushangilia kwa kuimba
Ujerumani kuumana na Ukraine
Siku ya tatu ya Euro 2016 inazileta pamoja Ujerumani na Ukraine katika Kundi C
Papo kwa Papo 10.06.2016
Rais Obama amuunga mkono Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic. Ufaransa na Romania zafungua Dimba la soka la UEFA 2016 linaloandaliwa Ufaransa. Mkuu wa mashtaka Afrika Kusini ataka rais Zuma kuchunguzwa.
Euro 2016: Mapambano kuanza Ijumaa usiku
Tamasha la michezo ya kandanda kwa mataifa ya bara la Ulaya inaanza rasmi mjini Paris Ijumaa
Euro 2016 kuanza chini ya ulinzi mkali
Ufaransa inakabiliwa na changamoto kuu ya usalama katika tamasha la ufunguzi wa Euro 2016
Papo kwa Papo 08.06.2016
Hillary Clinton ashinda uteuzi wa Chama cha Democratic. Kenya na Tanzania zapiga marufuku maandamano. Timu ya Taifa ya kandanda ya Ujerumani yapata pigo michuano ya EURO 2016.
Hollande aahidi usalama katika Euro 2016
Ufaransa imeahidi kuchukua kila hatua ili kuhakikisha usalama wa watakaoshiriki katika Euro 2016
Ujerumani yaelekea Ufaransa katika Euro 2016
Mabingwa mara tatu wa Ulaya wamelekea Ufaransa katika kambi yao tayari kwa dimba la Euro 2016
Ujerumani yazindua kikosi cha mwisho
Kocha Joachim Löw amewatema Reus, Bellarabi, Brandt na Rudy katika kikosi chake cha mwisho
Ufaransa kuimarisha usalama wakati wa Euro
Kuna wasiwasi wa kitisho cha mashambulizi ya kigaidi wakati wa dimba la Euro 2016
Conte aondolewa mashtaka ya kupanga matokeo
Kocha wa Italia Antonio Conte ameondolewa mashitaka ya udanganyifu michezoni
Ndoto ya Guendogan ya Euro 2016 yakatizwa
Kiungo wa Borussia Dortmund Ilkay Guendogan atakosa dimba la Euro 2016 baada ya kuumia goti
Zawadi nono kwa timu ya taifa ya Ujerumani
Wachezaji wa Die Mannschaft watapokea bahashishi ya euro 300,000 ikiwa watanyakua Kombe la Euro 2016
Euro 2016 kuandaliwa chini ya ulinzi mkali
Waziri Mkuu wa Ufaransa asisitiza kuwa dimba la Euro 2016 litaendelea kama ilivyopangwa
Huenda Champions League ikafanyiwa mabadiliko
UEFA inatafakari kuifanyia mabadiliko mapana ligi ya mabingwa Ulaya - Champions League
Benzema apata matumaini ya Euro 2016
Karim Benzema sasa anaweza kujumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa
Ugiriki yaomba Euro Milioni 480 kwa ajili ya wakimbizi
Umoja wa Ulaya kutangaza msaada wa dharura kwa Ugiriki kusaidia mminiko wa wakimbizi
Benzema atimuliwa katika timu ya Ufaransa
Mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema amesimamishwa kutoka timu ya taifa ya Ufaransa
Uturuki kupewa euro bilioni 3 kuwasaidia wakimbizi
Makubaliano hayo kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya ni ya kihistoria na fedha itasaidia kuzuia wahamiaji kuingia Ulaya.
Sweden, Ukraine zatinga Euro 2016
Sweden na Ukraine ndizo timu za mwisho zilizofuzu katika dimba la UEFA Euro 2016
Kikosi cha Ujerumani kupatiwa ulinzi zaidi Euro 2016
Maafisa wa Kandanda Ujerumani watatathmini mipango ya usalama katika Euro 2016
Ujerumani yafuzu katika Euro 2016
Vijana wa Joachim Loew wamefuzu licha ya washambuliaji wake kupoteza nafasi za wazi mbele ya lango
EU yaahidi Euro bilioni 1 kwa wakimbizi Mashariki ya Kati
Nchi zinazohifadhi wakimbizi zakubaliwa ushirikiano
Ugiriki: Tsipras arudi kwa kishindo
Ushindi mkubwa, changamoto mbele
Iceland kucheza dimba la Ulaya kwa mara ya kwanza
Iceland yafuzu kucheza fainali za kombe la kandanda la mataifa ya Ulaya kwa mara ya kwanza katika historia yake
Maoni: Ulaya yaisaidia Ugiriki ili iisaidie tena
Wabunge wa Ujerumani hata hivyo wanajuwa huu hautakuwa mkopo wa mwisho kwa taifa hilo
Merkel: wahamiaji changamoto kuliko deni la Ugiriki
Kansela wa Ujerumani ameonya kuwa tatizo la wakimbizi Ulaya ni gumu zaidi kuliko la mzozo wa madeni ya Ugiriki
Afueni kwa Ugiriki baada ya mkopo wa uokozi kuidhinishwa
Mawaziri wa fedha wa kanda inayotumia sarafu ya euro wameidhinisha mpango mpya wa uokozi kwa Ugiriki
Ugiriki yakaribia kupatiwa msaada mwingine
Ugiriki kimsingi imefikia makubaliano na wakopeshaji wake juu ya kupewa mkopo mwingine
Bei za bidhaa zimepanda
Benki za Ugiriki zimefunguliwa tena kwa mara ya kwanza baada ya kufungwa kwa muda wa wiki tatu
Kanda ya euro yakubaliana kuiokoa Ugiriki
Tsipras, Merkel, Hollande, Tusk wapendekeza muafaka
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Mustakabal wa Ugiriki katika Euro mashakani
Mustakabal wa Ugiriki katika Euro mashakani
Tsipras kuwasilisha mapendekezo
Tsipras kuwasilisha mapendekezo
Serikali yashangilia ushindi wa ''Hapana''
Serikali yashangilia ushindi wa ''Hapana''
Wagiriki wapiga kura leo kuamua mustakabali wa taifa lao
Kura ya maoni ya kihistoria Ugiriki ni leo
Serikali itajiuzulu ikiwa wananchi watayaunga mkono mageuzi
Serikali itajiuzulu ikiwa wananchi watayaunga mkono mageuzi
Hali bado ni tete
Mkuu wa kundi hilo Jeroen Dijssebloem amesema mazungumzo hayo sasa yatafanyika jioni badala ya asubuhi. Mawaziri hao watalijadili zaidi pendekezo la Ugiriki kutaka mkopo mpya kuikoa.
Mkutano wavunjika! Hakuna makubaliano juu ya deni la Ugiriki
Hakuna makubaliano
Sakata la ujasusi
Sakata la ujasusi
Muda wayoyoma katika mazungumzo ya mkopo kwa Ugiriki
Mazungumzo kuhusu mkopo wa Ugiriki yaelekea katika dakika ya mwisho
Ugiriki yatoa mapendekezo mapya
Muda unazidi kuyoyoma kwa Ugiriki kufikia makubaliano na washirika wake wa Ulaya ili iepuke kwenda muflisi.
Matumaini yaendelea kufifia
Matumaini yaendelea kufifia
Benki kuu ya Ugiriki yaonya kuhusu mgogoro wa kifedha
Benki kuu ya Ugiriki imeonya nchi hiyo inaweza kuwekwa kwenye kile inachokiita “mkondo wa uchungu” kuelekea kufilisika na kujiondoa katika kanda ya sarafu ya euro
Tsipras atafuta kuungwa mkono nyumbani
Ugiriki iko katikam mkwamo na wakopeshaji wake wa kimatifa kuhusu mapendekezo yake ya mageuzi
Kocha wa Urusi Capello katika hali ngumu
Makocha Fabio Capello na Guus Hiddink wako katika hali ngumu kuhusiana na hatma yao wakati timu zao Uholanzi na Urusi, zikipambana kufuzu katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya mwaka 2016
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 10
Ukurasa unaofuatia