You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
EU kutoa Euro bilioni 37 kukabiliana na COVID-19
Umoja wa Ulaya umeahidi kutoa Euro bilioni 37 ili kusaidia juhudi za kukabiliana na mripuko wa virusi vya corona.
Ujerumani, Ufaransa na Ureno Kundi moja Euro 2020
Ujerumani angalau wanaweza kujiliwaza kwa kuwa watacheza mechi zao zote mjini Munich
Ureno ina hakika kucheza fainali za Euro 2020
Ujerumani kucheza na Ireland kukamilisha udhibiti wa kundi C
Ujerumani, Uholanzi, Austria, Croatia zatinga Euro 2020
Ujerumani iliizaba Belarus 4 - 0 na kufuzu kama washindi wa Kundi C mbele ya Uholanzi
Chuki yamuondoa Borislav wa Bulgaria.
Hatua hiyo inafuatia matamshi ya kibaguzi wakati wa mechi ya kufuzu michuano ya Euro ya 2020, mjini Sofia, Bulgaria.
Ujerumani yakaribia kufuzu michuano ya Euro 2020
Ushindi wa 3 – 0 dhidi ya Estonia, kufuatia sare ya 2 – 2 na Argentina, umeiweka Ujerumani kwenye mkondo sahihi
Ujerumani na Uholanzi kuumana tena katika Euro 2020
Ujerumani na Uholanzi katika kundi moja la C Euro 2020
Ulaya bila kansela wa Ujerumani Angela Merkel yawezekana?
Umoja wa Ulaya sasa unauzingatia uamuzi wa Merkel wa kujiondoa hatua kwa hatua kuwa ni mwanzo mpya kwa Umoja wa Ulaya.
Ujerumani kuwa mwenyeji wa Euro 2024
Ujerumani imeipiku Uturuki katika kinyang'anyiro cha kuwa mwenyeji wa mashindano ya Euro 2024
Juncker atoa hotuba yake ya mwaka katika bunge la Ulaya
Jean Claude Juncker amesema kwenye hotuba yake ya mwaka katika bunge la Umoja wa Ulaya mjini Strasbourg.
Ujerumani kutoa euro bilioni 1 kusaidia Syria
Umoja wa Ulaya umezihimiza Urusi na Iran kuishinikza Syria ishiriki mazungumzo ya kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe
Macron na Merkel wakutana
Macron na Merkel wakutana mjini Berlin kujadili kuhusu kanda ya euro
Merkel na Macron wakutana kwa mazungumzo
Merkel na Macron kujadili mapendekezo watakayoyawasilisha katika mkutano ujao wa kilele wa Umoja wa Ulaya.
Schäuble aagwa na mawaziri wa Euro
Schäuble aagwa na mawaziri wa kanda ya Euro Luxemburg
Ujerumani yatolewa dimba la Ulaya kwa wanawake
Ujerumani ilizabwa mabao mawili kwa moja na Denmark katika mtanange wa robo fainali
Ugiriki yapewa mkopo mwingine wa uokozi
Imepewa hakikisho kuwa mzigo wake wa kulipa madeni utarahisishwa wakati itakapoweza hatimaye kujisimamia yenyewe
EU yaitoza Facebook faini ya Euro milioni 110
Faini hiyo inatokana na namna Facebook ilivyonunua mtandao wa kutumiana ujumbe wa Whatsapp
Merkel, Macron waazimia kuimarisha ushirikiano
Merkel na Macron waazimia kuimarisha ushirikiano na kuupa Umoja wa Ulaya mwelekeo mpya
Mke wa mgombea urais alipwa euro 600,000
Miongoni mwa kazi alizoandikiwa kuzifanya na hakuwa akiifanya ni msaidizi maalum wa mumewe bungeni
Euro 2016 : Ureno mabingwa wa Ulaya
Ureno imeibuka mabingwa wa Ulaya baada ya kuishinda Ufaransa wenyeji wa mashindano hayo kwa bao 1-0
NATO na Urusi zinahitajiana
Marekani na hatari ya kuzidi Mwanya kati ya Wananchi
Ufaransa kuumana na Ureno katika fainali
Wenyeji Ufaransa watalenga kutwaa taji la tatu mfululizo katika ardhi ya nyumbani
Mauaji ya kutisha dhidi ya polisi Marekani
Askari polisi watano weupe mjini Dallas, Marekani wameuawa na wengine sita kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya polisi dhidi ya Wamarekani weusi. Wanajeshi watiifu kwa mahasimu wa Sudan Kusini wapigana mjini Juba, Askari watano wauawa kuelekea maadhimisho ya uhuru wa nchi hiyo. Na Ufaransa yasherehekea ushindi wa kwanza mkubwa dhidi ya Ujerumani katika kipindi cha miaka 58.
Papo kwa Papo 07.07.2016
Ureno yaingia fainali Euro 2016 baada ya kuicharaza Wales 2-0. Je, leo usiku nani atawika kati ya mabingwa wa Dunia Ujerumani na Wenyeji Ufaransa?
Ureno yafuzu kwa fainali Euro 2016
Ronaldo aifungisha virago Wales
Euro 2016: Kivumbi cha nusu fainali
Dimba la Euro 2016 limeingia katika hatua ya nusu fainali
Euro 2016: Ujerumani yashinda kwa penalti
Ujerumani imetinga katika awamu ya nusu fainali ya michuano ya Euro 2016 kwa kuishinda Italia kwa mikwaju ya penalti
Wales kidedea yatinga nusu fainali
Wales siku ya Ijumaa (01.07.2016)imetinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 kwa kuishinda Ubelgiji
Ufaransa kuumana na Iceland robo fainai
Wenyeji Ufaransa wana shinikizo kubwa la kutinga nusu fainali watakapokutana na Iceland
Ujerumani haitishwi na Italia
Ujerumani inashuka dimbani na Italia katika mchuano mkali wa robo fainali
Papo kwa Papo 01.07.2016
Kinyang'anyiro cha Uwaziri Mkuu Uingereza chapamba moto, Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani Liberia chakabidhi majukumu kwa jeshi la nchi hiyo na katika EURO 2016, Ureno yatinga nusu fainali.
Nani zaidi kati ya Ronaldo na Lewandowski?
Duru ya michuano a robo fainali ya kombe la mataifa ya Ulaya Euro 2016 inaanza rasmi Ufaransa
Papo kwa Papo 30.06.2016
Viongozi wa Ulaya wajadili hatma ya EU bila Uingereza, Rais wa Uturuki aahidi kuwasaka waliolipua uwanja wa ndege Istanbul na Ureno na Poland zajiandaa kumenyana leo kwenye robo fainali ya kwanza ya EURO 2016.
Papo kwa Papo 28.06.2016
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia wataka ushirikiano kwenye Umoja wa Ulaya, UNICEF yasema watoto milioni 69 wako hatarini kufa na katika michuano ya Euro 2016, bingwa mtetezi Uhispania yafungasha virago.
Timu sita zatinga robo fainali
Tayari timu sita zimejikatia tikiti ya kucheza robo fainali ya Euro 2016
Ujerumani yajiandaa kuumana na Slovakia
Bado haijulikani kama beko Jerome Boateng atakuwa katika hali shwari kucheza
Euro 2016: sasa ni hatua ya mchujo
Michuano ya hatua ya mtoano inaanza lakini Lakini vipi mambo yamekuwa hadi kufikia sasa?
Uingereza inasubiri matokeo ya kura ya maoni
Uingereza inasubiri matokeo ya kura ya maoni
Papo Kwa Papo 22.06.2016
Waingereza kupiga kura kesho kuamua kubaki au kutoka Umoja wa Ulaya. Eritrea yaituhumu Ethiopia kwa kutafakari kuingia katika vita kamili. Ujerumani yasonga mbele mashindano ya EURO 2016.
Croatia yaionjesha Uhispania kichapo
Croatia waliwaduwaza mabingwa watetezi mara mbili Uhispania kwa kuwalaza mabao mawili kwa moja
Papo kwa Papo 21.06.2016
Aliyekuwa makamu wa rais wa DRC, Jean-Pierre Bemba ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela na Mahakama ya ICC, Baraza la Seneti Marekani lapinga mapendekezo ya kudhibiti silaha, na katika michuano ya Euro 2016 Wales na England zafuzu hatua ya mchujo.
UEFA: Timu 24 hazijaathiri Euro 2016
Ongezeko la timu hadi 24 katika kombe la Ulaya, Euro 2016 halijaathiri ubora wa mchezo
Papo kwa Papo 20.06.2016
Papo kwa Papo 20.06.2016
England, Wales zalenga hatua ya mtoano
England na wales zinawania kuingia katika awamu ya mtoano wakati zikipambana na Slovakia na Urusi
Papo kwa Papo 20.06.2016
Idadi ya wakimbizi yaongezeka duniani, mwanamke wa kwanza achaguliwa Meya wa mji wa Roma na Kundi A la michuano ya Euro 2016 lakamilisha mechi zake.
Ufaransa yalenga kujiimarisha dhidi ya Uswisi
Vijana wa Didier Deschamps wanafahamu kuwa wanapaswa kuimarisha mchezo wao
Ukraine yatolewa Euro 2016
Ukraine imekua timu ya kwanza kuondolewa katika dimba la ubingwa wa Ulaya
Ufaransa yaimarisha ulinzi na usalama
Ufaransa imesema mtu mwenye itikadi kali aliyemuua afisa wa polisi alikuwa akitekeleza wito wa Dola la Kiislamu, IS.
Fujo za wahuni zagubika Euro 2016
Kitisho cha kuzuka upya vita baridi
Polisi Kenya kuwashitaki wanasiasa wachochezi
Papo kwa Papo 14.06.2016: Polisi Kenya yawachunguza wanasiasa 7 kwa tuhuma za kueneza uchochezi wa chuki, serikali ya Ufaransa yasema mauaji ya polisi na mpenziwe ni shambulio la kigaidi na katika EURO 2016 Italia yailaza Ubelgiji mabao 2-0
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 10
Ukurasa unaofuatia