Askari polisi watano weupe mjini Dallas, Marekani wameuawa na wengine sita kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya polisi dhidi ya Wamarekani weusi. Wanajeshi watiifu kwa mahasimu wa Sudan Kusini wapigana mjini Juba, Askari watano wauawa kuelekea maadhimisho ya uhuru wa nchi hiyo. Na Ufaransa yasherehekea ushindi wa kwanza mkubwa dhidi ya Ujerumani katika kipindi cha miaka 58.