You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tsipras, Juncker ana kwa ana tena juu ya Ugiriki
Mazungumzo ya Brussels yaliisha bila mufaka, lakini kulikuwepo na matumaini
Boateng, Hummels kukosa mchuano dhidi ya Gibraltar
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Loew ameahidi kukaza kamba katika michuano ijayo dhidi ya Marekani na Gibraltar lakini anakiri kuwa hisia za msisimko huenda zinakosekana.
Ugiriki yapewa muda wa kupumua kidogo
Serikali ya Ugiriki imepata muda zaidi wa kuweza kulipa madeni yake baada ya kufikia makubaliano na wakopeshaji wake katika mazungumzo mapana yaliyofanyika hapo jana
Jogi Loew asema vijana wake wataimarika
Washindi wa Kombe la Dunia Ujerumani watakuwa katika hali yao nzuri watakapochuana na Poland, Scotland na Ireland baadaye mwaka huu katika michuano ya kufuzu dimba la mataifa ya ulaya mwaka wa 2016
Ugiriki yaonya kuondolewa kanda ya sarafu ya Euro
Ugiriki yaonya kuondolewa kanda ya sarafu ya Euro
Ujerumani yaregeza kamba
Alexis Tsipras aelezea matumaini makubaliano yatafikiwa
Ugiriki, Eurogroup washindwa kuafikiana
Ugiriki na mawaziri wa fedha wa kanda ya euro wameshinda kuafikiana na watajaribu tena siku ya Jumatatu.
Ugiriki kuwasilisha mapendekezo mapya juu ya kuyalipa madeni yake
Ugiriki leo itayawasilisha mapendekezo madhubuti kwa wadai wake juu ya kuyalipa madeni yake ili nchi hiyo ipatiwe fedha kwa ajili ya kuyakidhi mahitaji yake.
Richard von Weizsäcker asifiwa kuwa kiongozi bora
Mada kubwa ambazo wahariri wamezizungumzia ni kifo cha aliyekuwa rais wa Ujerumani Richard von Weizsäcker pamoja na vuta nikuvute inayoendelea kati ya viongozi wapya wa Ugiriki na Umoja wa Ulaya.
Benki Kuu ya Ulaya kununuwa dhamana za mabilioni ya euro
Benki Kuu ya Ulaya kununuwa dhamana za mabilioni ya euro
Ujerumani yataka Ugiriki ibakie katika kanda ya Euro
Naibu kansela wa Ujerumani Sigmar Gabriel amesema hayo wakati alipokuwa akijibu taarifa za vyombo vya habari kwamba Ujerumani inaamini kanda ya euro itaweza kuhimili kujiondoa kwa Ugiriki kutoka kwenye kanda hiyo.
Ujerumani yaamini kanda ya euro itahimili kujitoa kwa Ugiriki
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel yuko tayari kuiruhusu Ugiriki kuondoka kutoka kanda ya sarafu ya euro iwapo nchi hiyo itachagua serikali itakayolielekeza taifa hilo kujitoa katika mwelekeo wa sasa wa kubana matumizi.
Löw: timu ya Ujerumani lazima ijiimarishe upya
Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Löw amesema wachezaji wake watahitaji kuendelea kuimarika katika mwaka wa 2015 kama wangetaka kurudia mafanikio yao ya Kombe la Dunia
Ugiriki bado haijampata Rais mpya
Baada ya Bunge kushindwa kwa mara ya tatu kumchagua Rais, Ugiriki itaitisha uchaguzi wa mapema mwezi ujao.Pana hofu huenda chama kinachopinga sera ya kubana matumizi kikashinda katika uchaguzi huo.
Del Bosque kujiuzulu baada ya Euro 2016
Kocha wa timu ya taifa ya Uhispania - La Roja, Vicente del Bosque amethibitisha kuwa anapanga kujiuzulu baada ya kuiongoza timu hiyo katika dimba la mataifa ya bara la Ulaya - Euro 2016
Ujerumani yaduwazwa na Poland
Kocha wa Ujerumani Joachim Loew anatakiwa kuchukua hatua za haraka kubadilisha mwelekeo wa majaaliwa ya kikosi chake katika michezo ya kufuzu katika dimba la Euro 2016 nchini Ufaransa.
"Die Mannschaft" kupambana na Ireland
Kipigo cha kwanza cha kihistoria, Poland kwa mara ya kwanza yaonja ushindi dhidi ya "Die Manschaft", Timu ya taifa ya Ujerumani.
Özil aachwa nje ya kikosi
Kiungo wa Ujerumani Mesut Özil amewachwa nje ya timu ya Ujerumani itakayoshiriki mechi ya kufuzu katika dimba la Euro 2016 kutokana na jeraha la goti na sasa atakuwa mkekani kwa miezi mitatu.
Wembley kuandaa fainali ya Euro 2020
Uwanja wa Wembley mjini London utafanyika fainali na nusu fainali zote za mashindano ya kombe la mataifa ya Ulaya , Euro 2020.
Ujerumani yaanza vizuri michuano ya Euro 2016
Mabingwa wa dunia Ujerumani yapata ushindi wa taabu dhidi ya Scotland katika michuano ya kuwania tikiti ya kucheza katika fainali za kombe la mataifa ya Ulaya , Euro 2016 nchini Ufaransa.
Ujerumani yaanza kampeni ya EURO 2016
Ujerumani inaweka kando ushindi wao wa Kombe la Dunia 2014 wakati safari ya kufuzu katika dimba la Euro 2016 ikianza dhidi ya Scotland mjini Dortmund. Kocha Loew anataka kuanza mechi hiyo ya Kundi D kwa ushindi.
Ukuaji uchumi kanda ya euro wakwama
Ukuaji wa uchumi wa mataifa ya kanda ya euro umekwama bila kutarajiwa katika robo ya pili ya mwaka huu ukivutwa chini kutokana na kunywea kwa uchumi wa Ujerumani pamoja na Ufaransa ambayo uchumi wake umekwama.
Euro-Gruppe wartet ab
Im November, wenn die neue deutsche Regierung steht, soll entschieden werden.
Muungano wa benki Ulaya bado kitendawili
Nchi za Umoja wa Ulaya zinapendelea kuwa na chombo kimoja kinachosimamia mabenki katika umoja huo, lakini hakuna anaependa kukilipia chombo hicho.
Mawaziri wa fedha wa umoja wa Ulaya kujadili mzozo wa madeni
Mawaziri wa fedha wa kanda inayotumia sarafu ya euro wanakutana leo kujadili mzozo wa madeni ambao bado unazikumba nchi kadhaa wanachama huku kukiwa na uwezekano nchi hizo zikahitaji hata msaada zaidi kujikwamua.
De Maizière ajitetea mbele ya wabunge
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani, Thomas de Maizière, bado anaandamwa na sakata la ununuzi wa ndege zisizokuwa na rubani. Ndege hizo ziliagizwa Euro milioni 660 na baadaye ikagundulika kuwa hazitopata kibali cha kuruka.
Euro 2013 : Ujerumani bingwa
Wanawake wa Ujerumani mabingwa wa kombe la mataifa ya Ulaya, Euro 2013 na wanalinyakua taji hilo kwa mara ya nane. Marekani bingwa wa kombe la shirikisho la soka la mataifa ya Amerika ya kati na kaskazini CONCACAF.
Ukosefu wa ajira kuzidi kuuma kanda ya Euro
Utafiti wa maoni unaonyesha ukosefu wa ajira katika kanda inayotumia sarafu ya euro utaongezeka katika mataifa yaliyoathirika zaidi, lakini matumaini ya kumalizika kwa mdororo wa kiuchumi yapo.
Uholanzi yaizuwia Ujerumani
Mabingwa watetezi wa kombe la mataifa ya Ulaya kwa upande wa wanawake Ujerumani imeshikwa shati na Waholanzi mwanzoni mwa michuano hiyo nchini Sweden.Kocha mpya wa Bayern Munich Pep Guardiola aishutumu Barcelona .
Mwisho wa safari ya 'Bwana Euro'?
Kashfa ya rushwa inayoikabili idara ya ujasusi nchini Luxembourg imemtia matatani waziri mkuu wa nchi hiyo Jean-Claude Juncker, na huenda ikasababisha anguko lake la kisiasa.
Latvia yajiunga na sarafu ya Euro
Umoja wa Ulaya umeipitisha rasmi Latvia, kuwa mwanachama wa 18 wa kanda inayotumia sarafu ya euro. Hiki ndiyo kilikuwa kikwazo cha mwisho kwa nchi hiyo kujiunga na sarafu ya pamoja ambayo itaanza kuitumia mwakani.
Waturuki hawamtaki waziri mkuu Erdogan
Maandamano nchini Uturuki, kadhia ya ndege zisizokuwa na rubani na madhara yake na ahadi za uchaguzi za chama cha CDU ni miongoni mwa mada zilizopewa umbele na wahariri wa magazeti ya Ujerumani .
Cyprus yasalimika dakika za mwisho
Cyprus iliepuka kutangazwa muflisi baada ya kufikia makubaliano ya dakika za mwisho na wakopeshaji wa kimataifa, katika mazungumzo magumu yaliyodumu kwa masaa 10.
Mgogoro wa kifedha Cyprus wachacha
Benki kuu ya Ulaya imesema itaendelea kuzipa benki za Cyprus msaada wa fedha wa dharura hadi Jumatatu ila itabidi kusitisha msaada huo ifikapo siku hiyo mpaka mpango wa kimataifa wa uokozi utakapoafikiwa.
Maoni ya wahariri juu ya mgogoro wa Cyprus
Wahahari wanatoa maoni juu ya uamuzi wa Bunge la Cyprus wa kuupinga mpango wa Umoja wa Ulaya juu ya kukiokoa kisiwa hicho.Wahariri hao pia wanakumbusha juu ya miaka10 tokea Marekani ilipoivamia Irak.
Bunge Cyprus, kupigia kura ya uokozi
Wakati bunge la nchini Cyprus leo hii linajiandaa kupiga kura mapendekezo ya fedha za uokozi kutoka katika kanda inayotumia sarafu ya euro, Urusi imesema mapendekezo hayo ni hatari na yasiyo ya haki kwa taifa hilo.
Mwenyekiti mpya wa Ukanda wa sarafu ya Euro
Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya Euro wamemchagua Jeroen Dijsselbloem kutoka Uholanzi kuwa Mwenyekiti mpya wa jumuiya yao.
Mgogoro wa Euro mwaka 2012
Oummilkheir Hamidou anauangazia mgogoro wa sarafu ya euro katika mwaka 2012 ulivyolitawala bara la Ulaya na kupelekea athari za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamtaka Assad ang'oke madarakani
Viongozi wa taifa na serikali wa nchi 27 za umoja wa ulaya wamemaliza mkutano wa siku 2 kwa kukubaliana kuhusu mikakati ya kumaliza migogoro ya fedha katika kanda ya Euro,na kuhimiza umwagaji damu ukome Syria
UEFA EURO 2020 kuandaliwa kote Ulaya
Sasa ni wazi kwamba dimba la UEFA EURO mwaka wa 2020 litaandaliwa katika nch kadhaa za bara Ulaya. Kamati Kuu ya Shirikisho la Soka Ulaya UEFA kuidhinisha pendekezo hilo lake lililoanzishwa na Michel Platini
Ugiriki kupatiwa mkopo wa Euro bilioni 43.7
Mawaziri wa Fedha wa kanda ya mataifa yanayotumia sarafu ya Euro leo wameidhinisha Euro bilioni 43.7 ikiwa ni katika juhudi za kuunusuru uchumi wa Ugiriki.
Msaada wa Ugiriki kuchelewa
Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya Euro wamechelewesha uamuzi juu ya mpango wa kuipatia msaada Ugiriki utakaoinusuru kufilisika baada ya saa 12 za mazungumzo na hivyo uamuzi huo utatolewa wiki ijayo
UEFA EURO 2020 kuandaliwa kote Ulaya
Rais wa Shirikisho la Soka barani Ulaya Michel Platini anasema anatarajia uungaji mkono wakati mpango wake kuhusu dimba la mataifa ya Bara Ulaya mwaka wa 2020 utakapojadiliwa na kamati kuu ya UEFA mwezi Desemba
Maoni ya wahariri
Wahariri wa magazeti wanataoa maoni juu ya Ugiriki,bajeti ya Umoja wa Ulaya na uwezekano wa kukipiga marufuku chama cha mafashisti mamboleo nchini Ujerumani, NDP
Ugiriki kubana zaidi matumizi
Mpango muhimu wa kubana matumzi uliyopitishwa kwa kura chache na Bunge la Ugiriki hapo jana umesababisha maandamano makubwa ya raia wa taifa hilo kutokana na hofu ya ongezeko la hali ya ngumu ya maisha na jamii.
Kansela Merkel atoa tamko la serikali
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema sarafu ya Euro siyo fedha tu bali pia ni msingi wa Umoja wa Ulaya kiuchumi, kisiasa na kijamii na amependekeza njia mpya katika kupambana na mgogoro wa madeni.
Umoja wa Ulaya watunukiwa Nishani ya Amani ya Nobel
Umoja wa Ulaya umetunukiwa tuzo ya mwaka huu ya amani ya Nobel baada ya Kamati ya Nobel nchini Norway kuridhika kwamba Umoja huo umekuwa katika mstari wa mbele kupigania na kueneza demokrasia Ulaya na duniani kwa jumla.
Standard & Poors yaushusha uwezo wa Uhispania kukopesheka
Wakala wa viwango wa Standard & Poors umeushusha uwezo wa Uhispania kukopesheka hadi kiwango cha chini kabisa, hali inayotishia kuwa nchi hiyo nayo inaweza kutumbukia kwenye mzozo wa madeni hivi punde.
Kansela Merkel ziarani Ugiriki
Ziara ya Kansela Angela Merkel nchini Ugiriki yapokelewa kwa hisia tofauti. Wengi waandamana kupinga mpango wa kubana matumizi, unaoshinikizwa sana na kiongozi huyo wa Ujerumani.
IMF, Benki ya Dunia waanza mkutano mkuu
Mkutano wa kila mwaka kati ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia unaanza mjini Tokyo ukitarajiwa kuwa na uwazi zaidi na huku tayari IMF ikitabiri kupwaya kwa uchumi wa dunia ndani ya kipindi kijacho.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 10
Ukurasa unaofuatia