You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Sarafu ya Euro
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Serikali ya mpito ya Ugiriki yaapishwa
Serikali ya mpito ya Ugiriki imeapishwa ili kuiongoza nchi hiyo hadi wakati uchaguzi mpya utakapoandaliwa. Halina jukumu la kufanya maamuzi yoyote kuhusu mikataba hadi pale uchaguzi mpya utakapofanywa tarehe 17 Juni
Ugiriki haijapata serikali
Hadi sasa Ugiriki haijaweza kupata serikali na hatima ya nchi hiyo ndani ya sarafu ya euro sasa imo mashakani, baada ya chama cha mrengo wa kushoto kutangaza kushindwa kufikia makubaliano ya kuunda serikali.
Wahariri wa magazeti wataka kodi ya mali ianzishwe
Wahariri wa magazeti leo wanakizungumzia kitendawili cha kiuchumi, jee kubana matumizi ili kuutatua mogogoro wa madeni au inapasa kutumia fedha zaidi ili kuleta ustawi.?
Euro Bilioni 700 kuukabili mgogoro wa madeni
Nchi za Umoja wa sarafu ya Euro zimepiga hatua zaidi mbele katika juhudi za kukabiliana na mgogoro wa madeni baada ya kufikia makubaliano ya kuongeza fedha katika mfuko wa uokozi.
Fuko jipya la kinga ya Euro laidhinishwa Copenhagen
Mawaziri wa fedha wa kanda ya Euro wakubaliana baada ya majadiliano makali liundwe fuko jipya na kubwa zaidi badala ya lile la zamani,kuimarisha utulivu wa sarafu ya Euro.
Hispania kuifuata Ugiriki
Baada ya Ugiriki kutumbukia kwenye dimbwi la madeni na kusambaratika kwa uchumi, kuna kila dalili sasa kwamba Hispania nayo iko njiani kuelekea huko, na tayari maandamano ya umma kupinga hatua za mageuzi yameanza.
Mawaziri wa kanda ya Euro na sehemu ya pili ya mkopo kwa Ugiriki
Katika wakati ambapo mawaziri wa fedha wa kanda ya Euro wanajiandaa kuidhinisha fungu la pili la mkopo kwa Ugiriki,hofu zimeanza kuzagaa kuhusiana na nakisi ya bajeti ya Hispania
EURO bilioni 130 kwa Ugiriki
Hatimaye ugiriki imefanikiwa kushawishi sehemu kubwa ya wakopeshaji wake binafsi kukubali kupata hasara kubwa kwenye hati zao za mikopo, na hivyo kusafisha njia ya kupatiwa dhamana ya pili
Wahariri juu ya siku ya wanawake duniani
Wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanatoa maoni yao juu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Wanahoji, kuwa siku moja haitoshi kuwatilia maanani akina mama duniani.Mwaka unazo siku zaidi ya 300.
Ugiriki yaokolewa
Mawaziri wa fedha wa nchi za Umoja wa sarafu ya Euro kwenye mkutano wao mjini Brussels wameupitisha mpango wa Euro Bilioni 130 kwa ajili ya kuiokoa Ugiriki.Taarifa za kidiplomasia zimethibitisha
Kanda ya euro kuidhinisha mkopo wa Ugiriki
Mawaziri wa fedha wa nchi zinazotumia sarafu ya euro leo hii wanatarajiwa kupitisha awamu ya pili ya mkopo wa kiasi cha euro bilioni 130 kwa lengo la kuinusuru Ugiriki isifilisike.
Wahariri wasema Ugiriki itoke Umoja wa Euro
Wahariri wa magazeti leo wanauzungumzia mgogoro wa Ugiriki na mkasa wa kushambuliwa afisa wa kibalozi wa Israel nchini India.Wahariri wanasema itakuwa bora kwa Ugiriki kujitenga na Umoja wa Ulaya.
Mkopo kwa Ugiriki bado uko mbali
Mataifa ya eneo la euro yanataka kuendelea kutoa msaada kwa Ugiriki lakini kwanza ni pale tu nchi hiyo ambayo imezongwa na madeni itakapopiga hatua ya kutimiza masharti yote yanayotakiwa na Umoja wa Mataifa ya Euro.
Uchumi wa Afrika bado uko makini
Wakati viongozi wa nchi za Ulaya wanahudhuria mkutano mmoja baada ya mwingine juu ya mgogoro wa kiuchumi unaoikumba Kanda ya Euro, viongozi wa Kiafrika bado wana ahueni kutokana na madhara ya mgogoro huu.
Hakuna dawa mjarabu ya matatizo ya madeni ya eneo la euro
Magazeti ya Ujerumani yanazungumzia mkutano wa kilele wa viongozi wa Umoja wa Ulaya, majadiliano kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na mkutano wa ujumuisho nchini Ujerumani.
310112 EU-Gipfel Abschluss
Baada ya mazungumzo ya muda mrefu katika mkutano wa kilele viongozi wa nchi na serikali za Umoja wa Ulaya mjini Brussels hatimaye wamefikia makubaliano juu ya mpango wa kuweko nidhamu katika bajeti za nchi hizo.
Mfuko wa uokozi wa euro mashakani
Mfuko wa uokozi wa mataifa yenye madeni katika eneo la sarafu ya euro uko katika mbinyo mkali baada ya kupunguziwa hadhi yake ya kuaminika na masoko kutoka A tatu hadi A mbili.
Ujerumani yaangazia macho yake katika kombe la euro 2012
Kocha Joachim Loew anahisi hamu ya kushinda taji akiwa na timu yake huku Ujerumani ikijitosa katika kivumbi cha ubingwa wa ulaya ikiwa na matumaini makubwa ya kunyanyua kombe lao la kwanza kuu katika miaka 16.
191211 Zehn Jahre Euro-Bargeld
Katikati ya Disemba 2001, raia wa nchi 12 za Ulaya waliishika sarafu ya euro mikononi mwao kwa mara ya kwanza, baada ya mashaka ya namna ambavyo raia hao wangeliweza kuiamini fedha nyengine baada ya kuzowea sarafu zao.
30.12.2011
Deutsche Welle: Waziri wa Fedha ya Ujerumani, Wolfgang Schäuble, asema kanda ya euro itatulia katika kipindi cha mwaka mmoja ujao wala Umoja huo haitavunjika.
Kocha wa Ujerumani aanza maandalizi ya kombe la Euro 2012
Kocha wa Ujerumani Joachim Löw aanza kujiandaa kwa fainali za kombe la mataifa ya Ulaya kukiwa kumesalia miezi sita, wakati premier league nyasi zaanza kuwaka moto leo
Utafiti wa uchumi wa S&P waonesha wasiwasi kwa kanda ya euro
Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa, Christine Lagarde amezikaribisha jitihada za Ujerumani na Ufaransa katika kufanikisha viwango vigumu vya fedha katika kanda ya Ulaya, lakini amesema jitihada zaidi zinahitajika.
Ujerumani yaukataa mpango wa "dhamana za euro"
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amezitaka nchi za Kanda ya Sarafu ya Euro kuratibu vyema sera zao za kifedha, akionya kuwa hakuwezi kuwa na suluhisho la haraka na rahisi kwa mgogoro wa madeni.
Merkel Kommentar
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa wametoa picha ya duru ijayo ya mpango wa kuikwamua sarafu ya euro kutoka dimbwi la madeni, lakini ni shida kujua kitu kipya wanachokitaka.
Mgogoro wa Euro waleta serikali mpya Ulaya lakini siasa zile zile
Hadi hivi sasa, mzozo wa fedha ulioibuka mwaka 2007 kote duniani, umeshasababisha serikali mpya kuchaguliwa katika baadhi ya nchi za Ulaya - lakini ionekanavyo, sababu halisi za mzozo huo wa fedha bado hazikuondoshwa.
Virusi vya madeni vyaenea kanda ya euro
Mvutano unaoendelea kuhusu mzozo wa madeni katika kanda ya Euro, bajeti ya Ujerumani na usafirishaji wa taka za nyuklia ni baadhi ya mada zilizoshughulikiwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani, Alkhamisi ya leo.
Croatia na Ireland zajisafishia njia fainali za Euro
Ireland na Croatia jioni ya jana Ijumaa zimeondoa jinamizi linalowakumba kila mara kwa kuonyesha kandanda safi pamoja na kumimina mabao 7 wakati wakijihakikishia kunyakua tikiti ya kufuzu fainali za Euro.
Mkutano wa G20 kuijadili Ugiriki na madeni ya eneo la euro
Ajenda katika mkutano wa mataifa 20 yenye viwanda imegubikwa zaidi na suala la mzozo wa madeni katika eneo la umoja wa sarafu ya euro , pamoja na mtafaruku wa kisiasa nchini Ugiriki.
Ugiriki kutakiwa kuamua kubakia au kutoka kwenye Euro
Huku Waziri Mkuu wa Ugiriki, George Papandreou, akikutana na viongozi wakuu wa Kanda ya Euro, imefahamika kuwa ile awamu ya sita ya mkopo kwa nchi yake imezuiwa kwa muda kutokana na pendekezo lake la kura ya maoni.
Viongozi wa Ulaya wakutana tena kuiokoa Euro
Viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wanakutana leo mjini Brussels wakitarajiwa kupitisha maamuzi muhimu ya kuutatua mgogoro wa madeni barani Ulaya, lakini wabunge wa Ulaya wanaonekana kupoteza imani na viongozi hao.
231011 Euro Gipfel
Matarajio ya mkutano wa viongozi wa nchi 17 zinazotumia sarafu ya Euro kwamba kungelipatikana suluhisho la madeni yamedidimia baada ya kubainika kwamba hatua ya pili ya mkutano inapaswa kuchukuliwa Jumatano ijayo.
Viongozi wa nchi za eneo la euro wakutana
Mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha masharti magumu kuhusiana na mitaji kwa ajili ya mabenki kupata mitaji. Baada ya mkutano wa takribani saa 10 uliofanyika jana mjini Brussels.
Wakuu wa Ulaya wakutana tena kuijadili euro
Jumapili unafanyika mkutano wa mataifa yanayotumia sarafu ya euro kujadili mgogoro wa madeni katika eneo lao, lakini tayari wasiwasi umeanza kuzuka ikiwa patafikiwa makubaliano yoyote kuhusiana na dhima za mfuko wa EFSF.
Mmkutano wa G20 kujadili mzozo wa kanda ya euro
Mawaziri wa fedha na viongozi wa benki kuu wa kundi la nchi tajiri zilizoendelea kiviwanda na zinazoimarika kiuchumi duniani-G20 wanakutana leo hii katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris.
Ujerumani yaibuka kidedea tiketi ya Euro 2012
Katika mpambano wa jana jioni (11.10.2011) kuwania tiketi ya Kombe la UEFA 2012, timu ya taifa ya Ujerumani imemaliza vyema mzunguko wake wa Kundi A, baada ya kuibwaga Ubelgiji kwa mabao 3-1.
Merkel akutana na wenzake Brussels kuijadili euro
Kansela Angela Merkel wa Ujerumani anakutana na viongozi wenzake wa Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) katika juhudi za kuutatua mgogoro wa kifedha katika kanda ya Euro huku Ugiriki ikizidi kuzama.
Ugiriki yatapatapa hatima ya mfuko wa uokozi kujadiliwa
Bunge la Ujerumani linajiandaa kulipigia kura suala la kuuongeza uwezo na kiwango cha mfuko wa fedha wa kuyanusuru mataifa yanayokabiliwa na madeni na nakisi za bajeti.
Mzozo wa Euro unahatarisha uchumi duniani
Italia imepata pigo baada ya shirika la Marekani la Standard & Poors linalotathmini iwapo serikali zinaaminiwa kupewa mikopo, kuamua kushusha kiwango cha uwezo wa Italia kuyalipa madeni yake.
KANSELA MERKEL ASEMA UGIRIKI NI SEHEMU THABITI YA UMOJA WA EURO .
Ugiriki kuendelea kuwa mwanachama wa Umoja wa Sarafu ya Euro.
Mawaziri wa Ujerumani wakubali kuongeza msaada kuiokoa Euro
Baraza la mawaziri la Ujerumani limeidhinisha mageuzi ya kufanywa katika mfuko maalum wa fedha-EFSF- utakaoundwa kwa azma ya kuudhibiti mzozo wa madeni katika baadhi ya nchi zinazotumia sarafu ya Euro.
Merkel na Sarkozy wakataa hati za dhamana za Euro
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na Rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, wamependekeza hatua wanazotazamia kuwa zitasaidia kutuliza masoko ya fedha yanayoyumba.
Matumaini mapya kwa sarafu ya Euro
Baada ya jana viongozi wa nchi zinazotumia sarafu ya Euro pamoja na sekta binafsi, kufikia makubaliano juu ya Ugiriki ili kuizuia isifilisike, masoko ya hisa yameimarika na Thamani ya sarafu ya Euro kuongezeka.
Mgogoro wa madeni katika kanda ya Euro
Viongozi wa taifa na serikali wa nchi wanachama wa kanda ya Euro watakutabna alkhamisi ijayo.Lengo ni kusaka njia ya kujikwamua toka janga la madeni ya Ugiriki.
Mataifa ya Euro yaipatia Ureno bilioni 78
Mawaziri wa fedha wa mataifa ya umoja wa sarafu ya Euro wameidhinisha mkopo wa euro bilioni 78 kwa Ureno jana katika mkutano wao mjini Brussels.
Mkutano wa mawaziri wa fedha wa zoni ya Euro mjini Brussels
Mawaziri wa fedha wa zoni ya Euro wataunga mkono msaada wa fedha kwa Ureno,wakati wa mkutano wao wa leo unaogubikwa na kisa cha kukamatwa mkuu wa shirika la IMF,Dominique Strauss-Kahn .
Tayari kuua kwa euro nane
Misri Cairo ingali tete. Wapinzani na wafuasi wa serikali wanapambana na wanarushiana mawe.Hali ya mambo katika mji mkuu wa Waandishi wa habari wanaripoti juu ya ukatili wanaoshuhudia.
Baraza la mawaziri laidhinisha punguzo la euro bilioni 11.2
Baraza la mawaziri la Ujerumani limekamilisha mpango wa kupunguza matumizi ya serikali ya shirikisho kwa kiasi cha euro bilioni 11.2 ifikapo mwakani 2011.
Mpango wa kuiokoa sarafu ya Euro wajadiliwa bungeni mjini Berlin
Hatima ya mchango wa Ujerumani katika fuko la kuinusuru sarafu ya Euro itajulikana baadae hii leo baada ya kupigiwa kura na wabunge wa mabunge yote mawili ya Ujerumani
Mawaziri wa fedha wa EU wakubaliana kuinusuru Euro
Mawaziri wa Fedha kutoka nchi zinazotumia sarafu ya Euro, wametangaza kuchukua hatua za kukabiliana na hatari ya kushuka thamani kwa sarafu hiyo
Sarafu ya Euro kuimarishwa.
Kiasi cha Trilioni moja kitatengwa wa ajili ya kuiimarisha sarafu ya Euro.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 10
Ukurasa unaofuatia