Hispania kuifuata Ugiriki
15 Machi 2012Matangazo
Abdu Mtullya anaiangalia hali ya mambo nchini Hispania katika wakati ambao nchi hiyo inaaminika kuanza kutumbukia kwenye dimbwi la kufilisika. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika hapo chini.
Makala: Hispania yaifuata Ugiriki
Mtayarishaji/Msimulizi: Abdu Mtullya
Mhariri: Othman Miraji