You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
De Maizière ajitetea mbele ya wabunge
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani, Thomas de Maizière, bado anaandamwa na sakata la ununuzi wa ndege zisizokuwa na rubani. Ndege hizo ziliagizwa Euro milioni 660 na baadaye ikagundulika kuwa hazitopata kibali cha kuruka.
Djotodia avunja bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kati
Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Michel Djotodia, huenda akatengwa kimataifa baada ya kuzivunja taasisi muhimu za nchi hiyo na kutangaza serikali ya mpito, siku moja baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi.
Chuck Hagel aidhinishwa rasmi Marekani
Baraza la seneti nchini Marekani limehitimisha mvutano uliyodumu kwa wiki kadhaa kuhusu uteuzi wa seneta wa zamani Chuck Hagel kuwa waziri mpya wa ulinzi wa nchi hiyo.
Matokeo ya uchaguzi wa Israel si bayana
Matokeo ya uchaguizi nchini Israel yamebainisha mwanya uliopo kati ya kambi mbili kubwa: Mrengo wa kati kushoto na kambi ya siasa kali za mrego wa kulia.
Matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Israel
Wapiga kura wa Israel wamemuondowa patupu waziri mkuu Netanyahu anaekabiliwa na kazi ngumu kuweza kuunda serikali ya muungano
Jordan yachagua baraza la wawakilishi
Uchaguzi huo umesusiwa na makundi ya watu wenye msimamo mkali wa Kiislamu. Wagombea 1,400 wanawania viti 150 . Mfalme Abdullah wa pili ndiye mwenye madaraka makubwa zaidi kuliko wanasiasa watakaochaguliwa.
Baraza la Seneti lapitisha muswada wa "mkwamo wa bajeti "
Ikulu ya Marekani na wabunge waandamizi wa chama cha Republikan wafikia makubaliano kuepusha ongezeko kubwa la kodi la Mwaka Mpya na kuahirisha kubana matumizi mambo yaliokuwa yakitishia kuuzorotesha uchumi wa Marekani.
Mgogoro wa bajeti waendelea Marekani
Bunge la Marekani linakutana tena leo kujaribu kutafuta suluhisho la mgogoro wa bajeti unaotishia kuitumbukiza nchi hiyo katika mdororo wa uchumi. Jee kuna matumaini yoyote?
Mursi ataka bunge kufunguliwa tena
Rais wa Misri Mohammed Mursi ametoa amri yake ya kwanza katika kile kinachoonekana kama kupimana nguvu kati yake na jeshi la nchi hiyo, kwa kulitaka bunge likutane licha ya mahakama ya nchi hiyo kufutilia mbali bunge.
Wasoshalisti washinda tena Ufaransa
Chama cha Kisoshalisti nchini Ufaransa kimepata ushindi wa nguvu katika uchaguzi wa wabunge uliyofanyika siku ya Jumapili, na hivyo kusaidia harakati zake za kufanya mageuzi nchini Ufaransa na Ulaya, kwa ujumla.
Duru ya kwanza ya uchaguzi wa bunge la Ufaransa
Rais Francois Hollande wa Ufaransa amepata nguvu kufuatia duru ya kwanza ya uchaguzi wa bunge ambapo wasoshialisti na washirika wao wa mrengo wa shoto wanaongoza
Chen Guancheng azungumza na bunge la Marekani
Mwanaharakati wa China anayepinga siasa za nchi yake, Chen Guangcheng, jana jioni alizungumza na bunge la Marekani kwa njia ya simu na kuomba nchi hiyo impe hifadhi ya kisiasa.
Mkutano mkuu wa wawakilishi wa umma mjini Beijing
Waziri mkuu wa China Wen Jiabao afungua mkutano mkuu wa umma katika wakati ambapo China inajiandaa kukabiliana na changamoto mpya.
Mpango wa kulichoma Bunge la Misri wagundulika
Baraza la kijeshi la utawala nchini Misri lililochukua madaraka wakati rais wa nchi hiyo Hosni Mubarak alipotolewa madarakani Februari mwaka huu, limesema limegundua mpango ulionuiwa kulichoma jengo la bunge nchini humo.
Wamisri wamiminika vituoni kuchagua wabunge
Wamisri wapiga kura kulichagua bunge jipya katika uchaguzi uliosusiwa na baadhi waliokita kambi katika uwanja wa Tahrir.
Bunge la Afrika kusini lapitsha mswaada wa sheria inayobishwa
Bunge la Afrika kusini limeidhinisha mswaada wa sheria inayobishwa na ambayo inavikataza vyombo vya habari kuchapisha hati "tete" ,licha ya lawama kwamba cha ANC kinaitia hatarini demokrasia changa ya nchi hiyo
Kwa nini Bunge la Tanzania lilipitisha Mswaada kuhusu Katiba Mpya?
Katikati ya mwezi Novemba 2011, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswaada wa Uundwaji wa Tume ya Kusimamia Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya, licha ya upinzani mkali kutoka makundi ya wanaharakati.
Baadhi ya Wabunge wataka waziri mkuu wa Ugiriki ajiuzulu
Habari za kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu mkopo wa Ugiriki imepokewa vibaya na baadhi ya Wagiriki. Wabunge katika chama tawala cha kisoshalisti cha Papandreou jana walichukuzwa na tangazo hilo.
Masoko yarudia kupata faida baada ya bunge la Ujerumani kupiga kura
Masoko ya hisa ya Ulaya na Marekani yamepanda tena baada ya bunge la Ujerumani kuunga mkono kwa kauli moja upanuzi wa mfuko wa eneo la mataifa ya euro wa uokozi pamoja na madaraka yake.
Mrengo wa shoto wadhibiti baraza la Seneti Ufaransa
Vyama vya mrengo wa shoto vimefanikiwa kulidhibiti baraza la Seneti kutoka vyama vya mrengo wa kulia nchini Ufaransa kwa mara ya kwanza katika historia katika uchaguzi uliofanyika jana.
Wabunge nchini Kenya waifanyia kazi Miswaada ya Katiba
Wabunge nchini Kenya wana kibarua cha kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha miswaada iliyosalia ya kikatiba inapitishwa kabla kumalizika mwaka mmoja tangu katiba mpya iidhinishwe tarehe 27 Agosti mwaka uliopita.
Wabunge wa Marekani kupigia kura makubaliano ya mzozo wa madeni
Wabunge wa vyama vya Republican na Democratic nchini Marekani wanatarajiwa hii leo kuyapigia kura makubaliano ya kuongeza kiwango cha uwezo wa nchi hiyo kukopa ili kuepusha uwezekano wa kushindwa kulipa madeni yake.
Seneti imepinga mswada wa deni Marekani
Baraza la seneti linalodhibitiwa na chama cha Democratic nchini Marekani liliupinga mswada wa kupandisha kiwango cha ukopaji wa serikali kupitia kura 59 dhidi ya 41
Waziri mkuu Cameron apambana na maswali ya wabunge
Waziri mkuu David Cameron ,ametetea uadilifu wake katika mjadala wa dharura bungeni leo,akisema kuwa anasikitika kutokana na mzozo uliosababishwa na kumuajiri mhariri wa zamani wa gazeti ambaye anakabiliwa na kashfa.
David Cameron kujibu maswali ya wabunge leo
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron atahojiwa na bunge leo kuhusiana na uamuzi wake wa kumuajiri mhariri wa zamani wa gazeti la News of the World ambaye anahusishwa na kashfa ya unasaji mawasiliano ya simu.
Murdochs kuhojiwa leo na bunge
Mmiliki wa kampuni la vyombo vya habari Rupert Murdoch, na mwanawe James Murdoch pamoja na aliyekuwa msaidizi mkuu Rebekah Brooks watahojiwa leo na kamati ya bunge kuhusiana na kashfa ya kunasa mazungumzo ya simu.
Wabunge wa Marekani wavutana kuhusu matumizi ya serikali
Waziri wa Fedha wa Marekani Timothy Geithner ametoa mwito wa dharura kwa wabunge kukubaliana kiwango cha juu cha deni la taifa.
Bunge la Uingereza lamtaka Murdoch kutoinunua BSkyB
Bunge la Uingereza linatarajiwa kupitisha hoja binafasi ya chama kikuu cha upinzani Labour kumtaka Rupert Murdoch kujitoa kwenye zabuni ya ununuzi wa kituo cha utangazaji cha BskyB.
Bunge la Ugiriki kuupigia kura mpango wa kubana matumizi
Licha ya upinzani mkubwa kutoka kwa wananchi, bunge la Ugiriki linatarajiwa leo (29.06.2011) kuupitisha mpango wenye utata wa kubana matumizi unaopigiwa debe na Umoja wa Ulaya na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).
Schäuble Griechenland Hilfe
Bunge la Ujerumani lauridhia mpango wa pili wa kuisaidia Ugiriki
Obama ahutubia bunge la Uingereza
Rais Barack Obama wa Marekani amelihakikishia bara la Ulaya kuwa litaendelea kuwa sehemu muhimu katika sera za Marekani za mambo ya kigeni.
Chama tawala nchini Nigeria chapoteza wingi wa wabunge
Chama cha rais Goodluck Jonathan kimepata upinzani mkali katika uchaguzi uliofanyika jana Nigeria. Kulitokea matatizo ya hapa na pale lakini waangalizi wameridhika.
Wananchi wa Nigeria leo kuwachagua wabunge
Wanigeria leo wanapiga kura kuchagua bunge jipya katika mfululizo wa chaguzi zitakazofanyika hadi Aprili 16.
WAGANDA WANAPIGA KURA LEO KUMCHAGUA RAIS NA WABUNGE
Watu wa Uganda leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu ambapo watawachagua Rais na Bunge jipya. Hata hivyo wachunguzi wanasema Rais wa hadi sasa Yoweri Museveni anatarajiwa kuchaguliwa tena.
Uongozi wa kijeshi Misri walivunja bunge
Uongozi mpya wa kijeshi nchini Misri umetangaza kulivunja bunge na kusimamisha katiba, siku mbili baada ya kujiuzulu rais wa nchi hiyo, Hosni Mubarak.
Spika mpya wa bunge aeleza ajenda ya Warepublikan
Bunge jipya la Marekani limekutana kwa mara ya kwanza,kufuatia uchaguzi uliofanyika mwezi wa Novemba.
Bunge la Duma lajiandaa kuuidhisha mkataba wa START,Urusi
Bunge la Urusi, Duma, linajiandaa kuijadili hatua ya kuuidhinisha mkataba wa kihistoria ulio na azma ya kuyapunguza matumizi ya silha za nyuklia ulimwenguni.
Bunge la Urusi huenda likauidhinisha mkataba wa START
Mkataba huo ni kwa ajili ya kupunguza matumizi ya silaha za nyuklia kati ya Marekani na Urusi.
Baraza la Seneti Marekani lauridhia mkataba na Urusi
Baraza la seneti la Marekani liumeridhia mkataba mpya wa kupunguza umiliki wa vichwa vya nyuklia kati ya nchi hiyo na Urusi uitwao START
Mkataba wa START huenda ukaidhinishwa leo na baraza la Seneti
Rais Dmitry Medvedev wa Urusi amesema kuwa anamatumaini baraza la Seneti la Marekani litauidhinisha mkataba wa START
Baraza la seneti launga mkono mkataba wa START
Uidhinishaji wa mkataba wa START kati ya Marekani na Urusi unakaribia kukamilika, baada ya baraza la seneti kukamilisha mjadala na leo utapigiwa kura.
Uchaguzi wa bunge nchini Marekani
Chama cha Republican cha shinda katika baraza la wawakilishi kwenye uchaguzi wa bunge na magavana
Bunge la Ufaransa lapiga maarufuku vazi la "Burqa"
Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kupiga marufuku vazi linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu kufunika viwiliwili vyao, linaloujikana kama Burqa.
Barroso alihutubia bunge la Ulaya kuhusu hali ya Umoja wa Ulaya
Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya, Jose Manuel Barosso, kwa mara ya kwanza amelihutubia bunge la Ulaya kuhusu hali halisi ya umoja huo mjini Strasbourg
Uchaguzi wa baraza la seneti wafanyika leo Burundi
Vyama vya upinzani havijabanduka ktuoaka msimamo wake wa kugomea chaguzi kwa madai kwamba serikali inafanya mizengwe katika chaguzi
Uchaguzi wa bunge Burundi wakamilika
Idadi ya Warundi waliojitokeza ni ndogo ikilinganishwa na uchaguzi wa serikali za mitaa na ule wa rais
Burundi yajiandaa kwa uchaguzi wa bunge Ijumaa ijayo
Wagombea wa vyama vya upinzani wametishia kuugomea uchaguzi huo
Bunge la shirikisho na baraza la wawakilishi wa majimbo yaidhinisha msaada wa Ujerumani kwa Ugiriki
Ujerumani yaidhinisha msaada wa mabilioni ya Euro kuinusuru Ugiriki isifilisike-viongozi wa zoni ya Euro wanakutana baadae leo mjini Brussels
Wabunge wa Ujerumani waipitisha bajeti
Wabunge wa Ujerumani leo wameipitisha bajeti ya waziri wa fedha Wolfgang Schäuble.
Bunge la Ujerumani laridhia askari zaidi Afghanistan
Ujerumani imeamua kuongeza idadi ya wanajeshi wake wanaolinda amani nchini Afghanistan.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 14
Ukurasa unaofuatia