Uchaguzi wa bunge Burundi wakamilika
23 Julai 2010Matangazo
Vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa Bunge nchini Burundi vinatarajiwa kufungwa muda mfupi kuanzia sasa. Uchaguzi huo wa leo umesusiwa na vyama vikuu vya upinzani kikiwemo kile cha waasi wa zamani FNL. Zaidi kuhusu yaliojiri pamoja na uchaguzi huo anaripoti mwandishi wetu Hamida Issa Kutoka Bujumbura.
Mtayarishaji:Hamida Issa
Mpitiaji: Josephat Charo