You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanajeshi zaidi wahitajika Ujerumani
Ujerumani yahitaji wanajeshi wapya 10,000
Wanajeshi wa Bundeswehr hawatotupa mabomu
Bunge la Ujerumani laruhusu wanajeshi wa Ujerumani wapelekwe Syria kupambana na IS
Bunge la Ujerumani kuliidhinisha Jeshi kupambana dhidi ya IS
Wabunge wa Ujerumani leo wanatarajiwa kuidhinisha Jeshi kujiunga na kampeini dhidi ya IS Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Uingereza yachukua hatua Syria
Upinzani wapiga hatua Tanzania
Kwa mara ya kwanza vyama vya upinzani nchini Tanzania vimefanikiwa kupata wabunge wengi katika uchaguzi.
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Merkel, Hollande kulihutubia bunge la Ulaya
Rais wa Afghanistan matatani
Rais wa Afghanistan matatani
Mgogoro huo waiweka Libya katika hali mbaya kiuchumi.
Serikali ya umoja wa kitaifa suluhisho pekee
Bunge la Ulaya launga mkono mipango ya Juncker
Bunge la Ulaya launga mkono mipango ya Juncker
Ugiriki yaokolewa kwa mara ya tatu
Hata hivyo Ugiriki inatakiwa iyaharakishe mageuzi yaliyopendekezwa na wakopeshaji
Maoni: Ulaya yaisaidia Ugiriki ili iisaidie tena
Wabunge wa Ujerumani hata hivyo wanajuwa huu hautakuwa mkopo wa mwisho kwa taifa hilo
Tsipras kutemea kura za upande wa upinzani
Maandamano ya wapinzani wa mageuzi
Ujerumani ruksa kujadiliana na Ugiriki
Bunge la Ujerumani Bundestag limeipa idhini serikali kuanzisha mazungumzo juu ya mpango wa uokozi wa Ugiriki
Merkel awasihi wabunge kuunga mkono uokozi wa Ugiriki
Merkel awasihi wabunge kuunga mkono uokozi wa Ugiriki
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Bunge la Ugiriki laidhinisha mapendekezo mapya ya kiuchumi
Wabunge wa Madagascar wataka kumuondoa Rais Madarakani
Wabunge wa Madagascar wataka kumuondoa Rais Madarakani
Bunge la Sudan Kusini lamuongezea muda Rais Kiir
Bunge la Sudan Kusini lamuongezea muda Rais Kiir
Bunge la Marekani laidhinisha Ukraine kupewa silaha nzito
Bunge la Marekani laidhinisha Ukraine kupewa silaha nzito
Wabunge waidhinisha urafushaji wa msaada kwa Ugiriki
Licha ya mashaka miongoni mwa baadhi ya wabunge wahafidhina, mapendekezo ya kuisaidia Ugiriki yameidhinishwa.
Syriza kuunda serikali ya muungano Ugiriki
Syriza kuunda serikali ya muungano Ugiriki
Bunge la Ufaransa kupiga kura ''kuitambua'' Palestina
Bunge la Ufaransa linafanya mjadala juu ya pendekezo la kuitambua Palestina kama taifa, huku kukiwepo hali ya kukata tamaa barani Ulaya juu ya mkwamo katika mazungumzo ya amani ya Mashariki ya Kati.
Mahakama ya juu Libya yalifutilia mbali bunge
Mahakama ya juu nchini Libya leo imetoa uamuzi kuwa bunge linalotambulika na jumuiya ya kimataifa lenye makao yake mjini Tobruk lilichaguliwa kinyume na sheria
Wakimbizi kupewa haki zaidi Ujerumani
Bunge la Ujerumani linajadili kuhusu sera za watu wanaotafuta hifadhi ya ukimbizi hapa nchini. Pamoja na hayo, wabunge pia wanazizungumzia sheria za wakimbizi zilizowekwa na Umoja wa Ulaya.
Republican Walidhibiti Baraza la Seneti Marekani
Chama cha Republican kimechukua udhibiti wa Baraza la Seneti nchini Marekani baada ya kushinda katika uchaguzi wa katikati ya mhula ambao ulichukuliwa kama hukumu kwa sera za rais Barack Obama.
Waandamaji wavamia bunge Burkina Faso
Waandamanaji nchini Burkina Faso wamelivamia bunge la nchi hiyo baada ya purukushani na vikosi vya usalama.
Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi wa bunge Tunisia
Chama kisichoegemea dini nchini Tunisia cha Tunisia Nidaa Tounes kinaongoza katika uchaguzi wa bunge jipya la nchi hiyo, miaka minne tangu mapinduzi ya mwaka 2011.
Tunisia kufanya uchaguzi wa bunge Jumapili
Uchaguzi wa bunge wa Tunisia utakaofanyika siku ya Jumapili ambao ni wa kwanza tangu mapinduzi ya mwaka 2011, unawapa matumaini mataifa mengine ya Kiarabu ambayo bado yanakabiliwa na vurugu na ukandamizaji.
Bunge la Uingereza laitambua Palestina
Bunge la Uingereza limeridhia azimio la kulitambua taifa la Palestina, hatua ambayo waungaji mkono wanasema ni ishara ya wazi kwa Israel, huku Israel ikiita kitendo kinachohujumu jitihada za amani.
Wabrazil kumchagua rais na wabunge leo
Raia wa Brazil wanakwenda kwenye vituo vya kupigia kura leo, kumchagua rais na wabunge, huku kura za maoni zikiashiria kwamba rais wa sasa Bi Dilma Roussef kupata ushindi licha ya changamoto nyingi zinazomkabili.
Serikali ya mpito Libya yajiuzulu
Serikali ya mpito ya Libya imejiuzulu, wakati ambapo nchi hiyo inazidi kutumbukia kwenye mzozo wa kisiasa na mapigano makali yanayoendelea kati ya makundi ya wanamgambo yanayohasimiana kwenye nchi hiyo.
Ujerumani yataka ujasusi wa Marekani ukome
Ujerumani imeitolea wito Marekani kuchukua jitihada binafsi za kurekebisha upya hali ya mahusiano kati ya pande hizo mbili baada ya kile serikali ya Ujerumani inachokiita "kuvunjwa kwa uaminifu".
Ujasusi wa Marekani wapandisha hasira
Hofu zimeanza kutanda kwenye ulimwengu wa kidiplomasia kwamba mahusiano ya kijadi kati ya Marekani na Ujerumani yanazidi kuathirika, kutokana na kashfa nyengine ya ujasusi wa Marekani dhidi ya Ujerumani.
Bunge la Ujerumani laukumbuka mwaka wa mia moja tokea kuanza vita kuu vya kwanza
Bunge la Ujerumani leo limeukumbuka mwaka wa mia moja baada ya kuanza vita kuu vya kwanza na kwa ajili hiyo Spika wa Bunge hilo Norbert Lammert ametoa mwito wa kuitatua mizozo ya dunia kwa njia ya mazungumzo.
Kikao cha bunge chaahirishwa Iraq
Wabunge waliochaguliwa karibuni nchini Iraq walikutana leo(01.07.2014),wakiwa katika mbinyo wa kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kuepusha nchi hiyo kugawanyika baada ya mashambulizi ya Waislamu wenye Imani kali.
Bunge la Israel lamchagua Rais mpya
Bunge la Israel leo linamchagua rais wa kumi wa kuliongoza taifa hilo atakayechukua wadhifa huo kutoka kwa Shimon Peres ambaye muda wake wa kuhudumu unakamilika mwezi ujao
Ulaya wagawika kuhusu mkuu wa kamisheni
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamegawika juu ya anayestahiki kuiongoza Kamisheni ya Ulaya, lakini wanaunganishwa na hofu zao juu ya nguvu za vyama vya siasa kali kupitia uchaguzi wa bunge la Ulaya.
Viongozi wa Umoja wa ulaya wakutana kwa dharura Brussels
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana kwa dharura mjini Brussels kusaka jibu litakalotuliza hofu zilizojitokeza wakati wa uchaguzi wa bunge la Ulaya Jumapili iliyopita na kupelekea makundi ya siasa kali kupata nguvu
Zilzala yatikisa Uchaguzi wa Bunge la Ulaya
Ushindi wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ufaransa FN umegubika matokeo ya uchaguzi wa bunge la ulaya huku sauti za wenye kulalamika na wale wenye kuupinga umoja wa ulaya zikipata nguvu pia
Uchaguzi wa bunge la Ulaya wafikia kileleni
Wananchi wa Ulaya Jumapili (25.05.2014) wanapiga kura katika uchaguzi wa bunge la Umoja wa Ulaya ikiwa ni kilele cha mchakato mkubwa unaotarajiwa kuviimarisha vyama vyenye mashaka na Umoja wa Ulaya.
Ujerumani yaadhimisha miaka 65 ya Katiba
Bunge la Ujerumani, Bundestag, limeadhimisha miaka 65 ya kuanzishwa kile kinachofahamika kama Sheria Msingi, huku mwandishi Navid Kermani akiita katiba kuwa ni maandiko mema, ingawa akikosoa utekelezwaji wake.
Uchaguzi wa bunge la Ulaya waingia siku ya pili
Uchaguzi wa bunge la Ulaya unaendelea huku ukishuhudia chama cha UK Independence UKIP cha Uingereza, kikipata matokeo mazuri ambayo hayakutarajiwa hapo awali
Wabunge wa Ujerumani waulaani ugaidi nchini Nigeria
Wabunge wa vyama vyote vya kisiasa nchini Ujerumani wameulaani ugaidi nchini Nigeria. Wakati nchini Nigeria kwenyewe maandamano makubwa yamefanyika kuonyesha mshikamano na wasichana waliotekwa nyara
Waziri mkuu wa Libya atimuliwa na bunge
Waziri mkuu Ali Zeidan ametimuliwa na bunge jana (11.03.2014) baada ya meli ya mafuta kutoka bandari ya mashariki ya al Sidra kuzikwepa meli za jeshi la majini na kuingia eneo la kimataifa la bahari ya Mediterenia.
Bunge lampa idhini Putin kutuma vikosi Crimea
Rais Vladimir Putin wa Urusi amepewa idhini ya bunge kutuma jeshi la nchi hiyo Ukraine hatua ambayo amesema inahitajika ili kuwalinda watu wenye asili ya Urusi na wafanyakazi wa kambi ya kijeshi ya Urusi huko Crimea.
Merkel achaguliwa tena kuiongoza Ujerumani
Bunge la Ujerumani limemuidhinisha tena Kansela Angela Merkel kuongoza serikali ya nchi hiyo kwa mara ya tatu, kufuatia makubaliano ya muungano na mahasimu wake wa kisiasa, chama cha kisoshalisti SPD.
Waandamanaji walizingira bunge Ukraine
Maelfu ya waandamanaji nchini Ukraine wamekusanyika nje ya jengo la bunge la nchi hiyo mjini Kiev siku ya Jumanne, wakati wabunge wakijadili juu ya kura ya kutokuwa na imani na serikali ya nchi hiyo.
Wabunge Marekani wapuuza ombi la Snowden
Wabunge wenye ushawishi mkubwa katika bunge la Marekani wametupilia mbali ombi la aliyekuwa mfanyakazi wa shirika la taifa la usalama la Marekani, NSA, Edward Snowden kutaka msamaha.
Bunge la Ujerumani lafunguliwa rasmi
Bunge la Ujerumani Bundestag, limefunguliwa rasmi siku ya Jumanne, licha ya ukweli kwamba bado hakuna serikali, ikiwa ni mwezi mmoja tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu.
Bunge la Marekani lafikia makubaliano
Serikali ya Marekani imefungua milango yake leo(17.10.2013) baada ya bunge kupitisha sheria inayomaliza kufungwa shughuli za serikali na kuepusha dakika za mwisho nchi hiyo kushindwa kulipa madeni yake.
Obama ataka bunge liamue kuhusu Syria
Kwa muda wa zaidi ya wiki sasa , Ikulu ya Marekani ya White House imekuwa ikielekeza mashambulizi yake kuelekea kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Syria. Lakini hayo yamebadilika rais Obama anataka sasa bunge liamue.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 14
Ukurasa unaofuatia