You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mkataba wa Paris waanza kutekelezwa
Nchi wanachama 94 wa Umoja wa Mataifa waliupitisha mkataba wa kupambana na mabadiliko ya tabia nchi
Makubaliano kudhibiti gesi zenye kuchafuwa sana mazingira
Gesi zinazochafuwa sana mazingira kudhibitiwa
Kuchomwa kwa misitu Indonesia
Ukataji na uunguzaji wa misitu Indonesia umesababisha vifo vya watu 100,000 na kuwatia maradhi wengine 500,000.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani azuru Kenya
Waziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika
Barbara Hendricks amesema Ujerumani inaichukulia Rwanda kama mshiriki muhimu kwenye suala la hifadhi ya mazingira.
Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Mwandishi Chipukizi wa Mazingira nchini Tanzania
Katika mji wa Mwanza nchini Tanzania, Getrude Clement na wenzake wanacho kipindi cha redio cha Kila wiki, ambamo wanahamasisha vijana wenzao na jamii kwa ujumla kuwa rafiki wa mazingira, kwa kuyatunza na kuyasafisha. Vijana hao wana matumaini ya kubadilisha fikra za jamii kuhusu mazingira yao.
Uturuki yaelekea kwenye udikteta
Kamata kamata yatanda nchini Uturuki
Mataifa yaombwa kutekeleza mkataba wa Paris
Wanamazingira wakutana Bonn kuimarisha makubaliano ya Paris
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Kama ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrika, uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Athari za kukosekana mfumo mzuri wa ukusanyaji taka zinadhihirika kwenye pwani ya Mashariki ambako kuna mlundikano wa taka, nyingi zikiwa zile zilizotupwa na waliokuja kutembea. Mtaalamu wa sheria na mazingira Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua.
Watoto Syria wanaishi katika mazingira magumu
Save the children linasema huenda watoto wakakumbwa na madhara ya muda mrefu kutokana na vita vinavyoendelea
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Paris
Mawaziri wa mataifa 195 wanawazisha misimamo ya nchi za kusini na za kaskazini ili kufikia makubaliano
Lazima kukomesha udhalimu
Lazima kukomesha adhabu ya kifo
Donald Trump na chuki dhidi ya waislam
Mkutano wa Mabadiliko ya tabianchi mjini Paris
Fabius kuwasilisha mswada mpya wa mazingira
Ufaransa itawasilisha leo rasimu ya mswada mpya wa mkataba wa kupunguza joto duniani
Mkutano wa mazingira Paris waingia wiki muhimu ya mwisho
Mazungumzo ya Umoja wa Mataifa ya mabadiliko ya tabia nchi yanaingia katika wiki yake ya mwishomuhimu kupata makubaliano
Misitu ihifadhiwe
Ukikata mti otesha mwengine-ndio kauli mbiu ya kuhifadhi mazingira
Rasimu ya Mpango wa Kuyalinda Mazingira Yapatikana Paris
Wataalamu waafiki rasimu ya mpango wa kudhibiti ongezeko la joto duniani
Mivutano yachomoza Mkutanoni
Mapendekezo kukabidhiwa Laurent Fabius hadi disemba 5
Afrika kupewa msaada wa kulinda mazingira
Nchi tajiri zimeahidi kuipatia Afrika fedha ili iweze kuendeleza nishati mbadala kwa nia ya kulinda tabia ya nchi.
Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi?
Wakati viongozi wa dunia wakijadiliana kwenye mkutano wa tabia ya nchi huko Paris, swali la gharama laonekana kuwa tete.
Jeshi la Ujerumani kuingia Syria
Hamburg haitaki kuandaa Michezo ya Olympik
Tabia ya nchi inazidi kubadilika
Swali ni kama Afrika Mashariki imejiandaa kikamilifu kwani mvua kubwa zinanyesha na maeneo mengine yana joto kali.
Tabia ya nchi inazidi kubadilika
Maisha katika eneo lililochafuliwa kwa mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Cameroon: Vigae vya barabara vya mifuko ya plastiki
Mchezaji soka wa zamani wa Cameroon ameanzisha mradi wa matumizi mapya ya mabaki ya plastiki. Roger Milla tayari ameshaweka jiwe la msingi mji mkuu wa Younde la kiwanda kitakachotengeneza mawe pamoja na bamba za kujengea njia za waendao kwa miguu kwa kutumia mchanganyo wa plastiki pamoja na mchanga.
Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan
Mwanaharakati wa mazingira aanzisha jitihada za kuboresha hali ya hewa mjini Abidjan.
Mabadiliko ya tabia nchi mkutanoni
Mapambano dhidi ya itikadi kali na juhudi za amani Lybya yajadiliwa
Dunia yaadhimisha Siku ya Mazingira
Maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yameng'oa nanga leo
Mvutano mkutano wa Lima
Katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu ongezeko la joto duniani unaofanyika Lima, Peru, upo mvutano kati ya nchi tajiri na maskini kuhusu hatua za kuchukua ili kuzuia mabadiliko ya tabia ya nchi.
Mkutano wa Lima wakabiliwa na shinikizo
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi nchini Peru, unakimbizana na muda kuweza kukamilisha makubaliano, ambayo yanaazimia kupunguza kiwango cha utoaji wa gesi inayoongeza joto duniani
Umoja wa Mataifa waanzisha masomo ya bure kuhusu mazingira
Kwa ushirikiano na taasisi za kitaaluma na mazingira duniani, Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) sasa linatoa mafunzo ya mtandaoni kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Matumaini ya Makubaliano ya Tabia Nchi Lima
Wajumbe 190 wanakutana Lima kwa wiki mbili kuzungumzia majukumu ya kila nchi katika kupambana na kuzidi hali ya ujoto, ili kupatikana njia ya kufikia makubaliano jumla mwaka mmoja kutoka sasa mjini Paris.
Viongozi wa EU kujadili hali ya hewa, Ebola
Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wanakutana leo Brussels kujadili sera mpya ya nishati, ambayo inaazimia kupunguza utoaji wa hewa ya ukaa inayochafua mazingira na kuongeza joto ulimwenguni.
Jeshi la Ujerumani na wakimbizi Magazetini
Madai ya waziri wa ulinzi wa serikali kuu ya Ujerumani ,malalamiko kwamba sera za Usafi wa mazingira zimepwya na kisa cha kudhalilishwa wakimbizi ni miongoni mwa mada magazetini
Mkutano wa mazingira kuanza mjini New York
Mkusanyiko mkubwa kabisa wa viongozi wa dunia katika mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unafunguliwa leo(23.09.) huku kukiwa na miito kuchukua hatua kuiweka sayari hii katika njia kuelekea kuzuwia ongezeko la ujoto.
Ongezeko na gharama ya mifuko ya plastiki kwa mazingira
Australia hutumia zaidi ya dola milioni 2 kwa mwaka kuokota takataka za mifuko ya plastiki, licha ya kuwa yenyewe ni moja ya nchi zilizoendelea, hii ikimaanisha kuwa hali ni mbaya zaidi kwenye mataifa masikini.
Hali ya hewa Brazil mpinzani mwenye nguvu?
Wakati mashindano ya Kombe la Soka la Dunia yakikaribia kuanza, hali ya hewa nchini Brazil inatajwa kuwa changamoto kubwa kwa wachezaji wa kombe hilo maarufu zaidi ulimwenguni kutoka Ujerumani
Afrika: Madini yachukuliwa, yabakia mashimo
Ingawa bara la Afrika limejaaliwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, bara hilo limeendelea kusalia kwenye umasikini wake huku rasilimali hizo zikiwafaidisha wengine nalo likiachwa na mazingira yaliyochafuliwa.
Mkutano wa mazingira wa Warsaw wakumbwa na mivutano
Mamia ya wajumbe kutoka mashirika yasiyokuwa ya serikali walijiondowa kwenye mkutano wa mazingira ulioandaliwa na umoja wa Mataifa kupinga kujivuta kwa nchi zinazoendelea kufikia mkataba wa kimataifa kuhusu tabia nchi
Mawaziri wa mazingira wawasili Warsaw kwa mazungumzo ya tabia nchi
Nchi zinazoendelea zinataka hakikisho la misaada katika majanga ya siku za usoni yatokanayo na kuongezeka kwa joto duniani huku mazungumzo ya Warsawa yakingia awamu muhimu
Kimbunga Haiyan magazetini
Kimbunga Haiyan, mkutano wa usafi wa mazingira nchini Poland na mazungumzo ya kuunda serikali kuu ya muungano nchini Ujerumani ni miongoni mwa mada zilizohodhi magazeti ya Ujerumani.
Maoni ya wahariri juu ya wanaharakati wa mazingira
Pamoja na masuala mengine wahariri wanauzungumzia mkutano wa kilele juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na sakata linalowakabili watetezi wa mazingira nchini Urusi.
Chama cha mazingira champa kisogo Merkel
Chama cha walinzi wa mazingira cha Ujerumani kimejiondoa katika mazungumzo ya serikali ya mseto na muungano wa kihafidhina unaoongozwa na kansela Angela Merkel, baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya masuala muhimu.
Uongozi mpya wa walinzi wa mazingira magazetini
Walinzi wa mazingira kujipatia uongozi mpya,kushindwa mradi wa nishati mbadala,na lawama anazotupiwa askofu mkuu wa Limburg ndizo mada zilizochambuliwa zaidi na wahariri wa magazeti ya Ujerumani.
Serikali mpya ya Italia magazetini
Serikali mpya nchini Italia,mkutano mkuu wa chama cha walinzi wa mazingira na mtindo wa kupendeleana miongoni mwa baadhi ya wanachama wa chama cha CSU ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa
Hatari ya takataka za sumu Kenya
Umuhimu wa suala la usafi wa mazingira unatiliwa mkazo sana kwa ajili ya mwanaadamu kupata eneo salama la kuishi kwenye sayari ya dunia, lakini ongezeko la kemikali na takataka za sumu mashariki ya Afrika linatia shaka.
Misitu sehemu ya maisha inayotoweka
Kila sehemu ya Tanzania wakulima wanahangaika kuliko ilivyowahi kutokea, wakishindana na mabadiliko ya hali ya hewa ili kulinda riziki zao na usalama wa chakula, lakini huenda wasipate wasifaulu na kuidhibiti hali hiyo.
Mawaziri, wakuu wa nchi wawasili Doha
Wakuu wa serikali na mawaziri wamewasili Doha, Qatar kwa ajili ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira, mkutano ambao umegubikwa na mabishano juu ya ahadi zinazotakiwa kuzuia gesi chafu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 20
Ukurasa unaofuatia