1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nani kubeba gharama za kulinda tabia ya nchi?

Elizabeth Shoo2 Desemba 2015

Wakati viongozi wa dunia wakijadiliana kwenye mkutano wa tabia ya nchi huko Paris, swali la gharama laonekana kuwa tete. Kipindi cha Mtu na Mazingira kinauangazia mvutano uliopo kati ya mataifa tofauti.

https://p.dw.com/p/1HFgv
Ukame Iraq
Picha: AFP/Getty Images/H. Hamdani

[No title]