1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamazingira aleta hewa safi Abidjan

30 Julai 2015

Mwanaharakati wa mazingira aanzisha jitihada za kuboresha hali ya hewa mjini Abidjan, mji ambao umekuwa na uchafuzi mkubwa wa mazingira kutokana na kukatwa miti ovyo na wingi wa magari chakavu.

https://p.dw.com/p/1G7iC