1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuchomwa kwa misitu Indonesia

Mohamed Karama Dahman28 Septemba 2016

Ukataji na uunguzaji wa misitu Indonesia umesababisha vifo vya watu 100,000 na kuwatia maradhi wengine 500,000 pamoja na kusababisha hasara ya dola bilioni 16 katika uchumi wa Indonesia mwaka 2015.

https://p.dw.com/p/2QgqL