You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mradi mkubwa wa kusafisha fukwe za bahari waanzishwa India
Mtu mmoja ameanzisha mradi mkubwa zaidi wa kusafisha fukwe za bahari duniani.
Mradi wa kupambana na mabadiliko ya tabianchi Mwanza
Mratibu wa mradi wa mabadiliko ya tabia nchi Amin Abdallah Amin anaeleza zaidi
Mkutano wa COP23 wakamilika Bonn
Wajumbe wanaelezea mchanganyiko wa hisia kuhusiana na mafanikio ya mkutano huo wa COP23
COP23: Hatua za dharura zahitajika kuyaokoa mazingira
Viongozi wa nchi wameahidi kuzipiga jeki juhudi za kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
COP23: Ufaransa, Ujerumani zaomba hatua zaidi
Ufaransa na Ujerumani zimeahidi kupunguza matumizi ya makaa ya mawe ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi
COP23: Viongozi wasema wakati wa kuyaokoa mazingira ni sasa
Viongozi wa nchi takriban 30 wanahudhuria mkutano wa kimataifa wa mazingira mjini Bonn, Ujerumani.
COP23: Merkel na Macron mstari wa mbele kuyalinda mazingira
Ulimwnegu unaelekeza dira kwa Ujerumani na Ufaransa baada ya Marekani kujiondoa makubaliano ya Paris
Sera ya pamoja ya Ulinzi barani Ulaya, Pesco, magazetini
Sera ya pamoja ya Ulinzi barani Ulaya, Pesco, magazetini
Ziara ya Trump Asia na mabadiliko ya tabia nchi ,magazetini
Ziara ya Trump Asia na mabadiliko ya tabia nchi ,magazetini
Afrika yapambana na mabadiliko ya tabianchi
Nchi za Kiafrika zilizoathirika na mabadiliko ya tabianchi zinaweka mipango ya kupambana na hali hiyo
Syria yajiunga na makubaliano ya mazingira ya Paris
Rais wa Marekani Donald Trump mwezi Juni aliiondoa nchi yake kutoka makubaliano hayo ya kihistoria ya mazingira.
Upandaji misitu kwa ajili ya maendeleo Afrika Mashariki
Katika Makala ya Mtu na Mazingira Hawa Bihoga anaangazia janga la ukataji miti kwa kanda ya Afrika Mashariki, akijikita zaidi kwa nchi za Tanzania na Kenya, na mikakati ya kiserikali katika kukabailiana na ukataji holela wa misitu.
Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Bonn
Mkutano wa mazingira wa Bonn unatarajiwa kuhudhuriwa na watu 25,000 kutoka zaidi ya nchi 195 kwa wiki mbili zijazo
Wanaharakati wa kulinda mazingira waandamana Bonn
Waandamanaji wanashinikiza serikali ya Ujerumani kuachana na utumiaji wa makaa ya mawe kama chanzo cha nishati.
Mataifa yajiandaa kwa COP23
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kujadili tabia ya nchi utafanyika Bonn, Ujerumani. Huu ni mkutano wa 23 wa aina hii.
Uchafuzi wa mazingira ni hatari kuliko vita, maafa na njaa
Uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi zaidi kila mwaka kuliko hata vita, maafa na baa la njaa.
Ukweli kuhusu njaa unauma sana
Watu milioni 26 wanaokabiliwa na njaa barani Afrika si watu wenye kutiliwa maanani sana na wahusika.
Ripoti ya njaa ya kila mwaka imetolewa leo
Baadhi ya vichocheo katika hali hiyo ya njaa ni pamoja na usawa wa kijinsia na majanga ya mabadiliko ya tabia nchi.
Magazetini: Mjadala wa vyama vidogo vya kisiasa wafanyika
Pia mkutano wa kilele wa Berlin uliojadili athari zilizosabishwa na gesi chafu ya magari yanayotumia mafuta ya diseli.
Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni
Takataka za mifuko ya plastiki zinaweza kujipenyeza katika vyakula bila kutarajiwa
Uhusiano wa wakimbizi na waturkana waimarika nchini Kenya
Mradi huu unalenga kuimarisha hali ya maisha ya wakimbizi katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya
Uharibifu wa mazingira huenda ukaongezeka Brazil
Rais wa Brazil alaumiwa kwa kushinikiza sheria itakayowanufaisha wafanyibiashara na wapokonyaji ardhi msituni Amazon.
Mabadiliko ya tabianchi na sera zawatatiza wakulima Malawi
Hali ya mabadiliko ya tabianchi na sera zilizopo Malawi zinawachangaya wakulima kuchagua mbegu kwa ajili ya kilimo
Mzozo wa eneo la Harami Al Sharif Magazetini
Mzozo wa eneo la Harami Al Sharif Magazetini
Uchafuzi wa Ziwa Tanganyika Burundi
Ziwa Tanganyika lililoko Afrika Mashariki ni ziwa lenye kina kirefu barani Afrika. Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia zinapakana na ziwa hilo. Katika Mtu na Mazingira Amida Issa anaangazia uchafuzi wa maji ya Ziwa Tanganyika nchini Burundi na juhudi za kusafisha.
G20: Marekani haitaki muafaka wa mazingira
muafaka katika G20 , bado Marekani yatengana na wengine
Mazingira mada tete mkutano wa G20
Mazingira yatarajiwa kupewa nafasi kubwa katika mkutano wa mataifa yenye nguvu ya kiuchumi G20 utakaofanyika Hamburg.
Trump aiondoa Marekani mkataba wa Tabianchi
Hatua ya Trump imekosolewa vikali na viongozi kote ulimwenguni
Siku ya kulinda mbuga Ulaya
Hifadhi za mbuga na maeneo asilia ya mazingira
Trump yauweka njiapanda mkutano wa mazingira
China yaelezea nia ya dhati kuulinda mkataba wa mazingira wa Paris
Mkutano wa mabadiliko ya Tabianchi waanza Bonn
Trump anakutana na maafisa wake wa mabadiliko ya tabianchi na kiuhcumi ili kujadili ushiriki wa Marekani
Biashara ya Ubani Somalia iko katika tishio
Uvunaji wa ubani wa kupitiliza unasababisha uharibifu wa misitu na mazingira.
Uchafuzi wa Ziwa Naivasha, Kenya
Ziwa Naivasha lipo katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya. Wakazi wa Naivasha na maeneo yanayozunguka wanalitumia kwa ajili ya uvuvi. Hata hivyo, mazingira ya ziwa hilo yanachafuliwa na shughuli za kibinadamu. Bernard Maranga anaangazia jambo hilo katika Mtu na Mazingira.
Trump na sheria mpya za mabadiliko ya hali ya hewa
Ameapa kulinda sekta ya makaa ya mawe
Miujiza ya mawingu
Wanasayansi wazindua kifaa kipya cha kipimo (atlasi) kufichua siri iliyoko kuhusu mawingu
Ziwa Tanganyika lakumbwa na athari za kimazingira
Shughuli za kibinadamu ni miongoni mwa kitisho chenye kuathiri ziwa hilo la pili kwa ukubwa Afrika.
Jinsi ya kupambana na baridi Ujerumani
Ujerumani na Ulaya kwa ujumla ziko katikati ya msimu wa baridi. Theluji hudondoka na barabara zateleza. Watu wanafanya nini kujikinga na baridi na magonjwa? Elizabeth Shoo anaelezea katika Sura ya Ujerumani.
Waziri wa mazingira Burundi auawa
Waziri Emmanuel Niyonkuru alishambuliwa na mtu asiyejulikana wakati ambapo alikuwa akielekea nyumbani
Matangazo ya Asubuhi 11.12.2016
Sikiliza makala za Mtu na Mazingira, Utamaduni na Sanaa, Afrika katika magazeti ya Ujerumani na kadhalika.
Umoja wa Ulaya wasaka sera ya pamoja ya nishati
Je Trump atabadilisha msimamo kuhusu mkataba wa tabia nchi
UN yaweka mkakati wa kutekeleza muafaka wa tabianchi
Wajumbe pia wamemtolea wito Rais mteule wa Marekani kushirikiana katika utekelezaji wa Muafaka wa Paris
Trump ahimizwa kulinda mazingira
Viongozi wa siasa na biashara wamemtaka kutoindoa Marekani katika mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Paris.
Watu masikini waathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Serikali zinahitaji kuwekeza zaidi katika kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi
Wakimbizi na Mabadiliko ya Tabianchi Magazetini
Wakimbizi, Madhara ya Mabadiliko ya tabia nchi na Utumwa Mambo leo Magazetini
Hatutamtegemea Trump ili kubadili mazingira
Viongozi wasema hawatomkubalia rais mteule wa Marekani Donald Trump kuvuruga mkataba wa tabia nchi
Uchaguzi wa Rais wahanikiza Magazetini
Uchaguzi wa rais wa Marekani,na mjadala wa rais Ujerumani Magazetini
UN yajadilia mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi
Malengo ya kupunguza kiwango cha hewa chafu kujadiliwa Marrakesh
Mkataba wa Paris waanza kutekelezwa
Nchi wanachama 94 wa Umoja wa Mataifa waliupitisha mkataba wa kupambana na mabadiliko ya tabia nchi
Makubaliano kudhibiti gesi zenye kuchafuwa sana mazingira
Gesi zinazochafuwa sana mazingira kudhibitiwa
Kuchomwa kwa misitu Indonesia
Ukataji na uunguzaji wa misitu Indonesia umesababisha vifo vya watu 100,000 na kuwatia maradhi wengine 500,000.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 20
Ukurasa unaofuatia