You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Kimilimo cha mjini
Kimilimo cha mjini
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kufufua kilimo cha korosho Pwani ya Kenya
Zaidi ya miche ya kisasa milioni tano imetengwa kwa mradi huu utakaowashirikisha pia wakulima katika kaunti ya Kwale.
Ulimwengu waadhimisha siku ya chakula duniani 16.10.2018
Shirika la FAO pia katika siku hii ya chakula duniani huadhimisha shirika hilo lilipoanzishwa mnamo mwaka 1945.
Wakulima Tanzania watafuta masuluhisho kwa changamoto zao
Wakulima nchini Tanzania waonya kuwa huenda nchi hiyo ikaingia kwenye baa la njaa kutokana na wakulima kukata tamaa.
Polisi wapambana na wanaharakati katika msitu wa Hambacher
Msitu huo wa Hambacher upo kwenye sehemu iliyo katika jimbo la Rheinland magharibi mwa Ujerumani.
Mkaa uliotengenezwa kwa kinyesi Nakuru
Mkaa huo unaotumiwa kupikia majumbani na kwenye shughuli za viwanda umetajwa kuwa uvumbuzi wa kipekee.
Mbinu za kuokoa mazingira zatafutwa Afrika
Zaidi ya wajumbe 800 wanafanya mkutano jijini Nairobi kwa lengo la kujadili uhifadhi wa misitu na mazingira.
Unaona nini, yavuyavu ama mfuko wa plastiki?
Mifuko ya plastiki inaharibu mazingira ya baharini. Viumbe hai vinashindwa kutafautisha kati ya yavuyavu na mifuko ya plastiki. Je wewe unaweza kuiona tofauti kati ya vitu hiyo viwili haraka haraka?
Madhara ya Mabadiliko ya Tabianchi Magazetini
Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi Magazetini
Watetezi wa mazingira zaidi ya 200 waliuawa mwaka 2017
Brazil ndiyo nchi hatari kwa wanaharakati
Samaki hatarini kupotea
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu hatari iiliyopo katika wakati ambapo theluthi ya bahari duniani.
Tanzania inavyopambana na njaa iliojificha
Njaa iliojificha husababisha mwili kuzongw ana maradhi mbalimbali, kiwemo upungufu wa damu na utapiamlo na udumavu.
Kilimo cha muhogo Mtwara
Je, wakulima wanakutana na changamoto zipi na kilimo hicho kinawaletea faida kiasi gani?
Mjasiriamali anayetumia vitu chakavu kutunza mazingira
Matumizi ya karatasi chakavu ni miongoni mwa vyanzo vya ajira ambavo huajiri kundi kubwa la watu. Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira,kijana mlemavu wa ngozi Jijini Dar es Salaam Sadiq Bakari ameanzisha utengenezaji wa vifungashio rafiki wa mazingira.
Bayer yainunua Monsanto
Kampuni ya Bayer imeinunua kampuni ya mbegu na madawa ya kilimo ya Marekani ya Monsanto
Nchi zenye mazingira magumu kwa waandishi wa habari
Ghana ndio kinara
Makala zetu 22.04.2018
Msitu Kazimzumbwi kurejeshwa hali yake ya zamani
Msitu huo ni muhimu jijini Dar es Salaam, Tanzania kwani unahitajika kuvuta hewa chafu inayotokana na viwanda.
Muda unayoyoma kuokoa mimea na wanyama wa dunia
Ripoti zilozinduliwa katika mkutano wa viumbe hai zinatahadharisha dhidi ya vitisho vinvyavikabili viumbe hai duniani
Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka
Wataalmu wa mazingira wanaonya kiasi cha maji katika Ziwa Ol Bolossat lililopo nchini Kenya kinapungua maji kwa kasi.
Kilimo cha maua chaathiri Ziwa Naivasha
Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoongoza katika kilimo cha maua. Hata hivyo, matumizi ya sumu na maji mengi ya kumwagilia yamekuwa na athari kwa eneo zima la Ziwa Naivasha.
Afrika yashauriwa kukuza kilimo cha kisasa
Naibu waziri mkuu wa Uganda Jenerali mstafu Moses Ali amesema ameshauri wakulima Afrika watumie mbinu za kisasa.
Mkutano wa Paris kukusanya fedha za mazingira
Mkutano wa Paris kukusanya fedha kuhifadhi mazingira
Uvurugaji wa mazingira asilia na athari zake
Iwe ni kuwezesha ujenzi, kilimo au shughuli yoyote ile, uvurugaji wa hali asilia ya mazingira husababisha madhara mengi. John Juma anaelezea zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira
Mradi mkubwa wa kusafisha fukwe za bahari waanzishwa India
Mtu mmoja ameanzisha mradi mkubwa zaidi wa kusafisha fukwe za bahari duniani.
Mwanafunzi mkulima Uganda
Angel Musafari ni mwafunzi wa shule ya sekondari aliyekuwa mfano wa kuigwa nchini Uganda. Zaidi tazama vidio ifuatayo.
COP23: Hatua za dharura zahitajika kuyaokoa mazingira
Viongozi wa nchi wameahidi kuzipiga jeki juhudi za kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
COP23: Viongozi wasema wakati wa kuyaokoa mazingira ni sasa
Viongozi wa nchi takriban 30 wanahudhuria mkutano wa kimataifa wa mazingira mjini Bonn, Ujerumani.
COP23: Merkel na Macron mstari wa mbele kuyalinda mazingira
Ulimwnegu unaelekeza dira kwa Ujerumani na Ufaransa baada ya Marekani kujiondoa makubaliano ya Paris
COP23: Uwekezaji zaidi uelekezwe kwa sekta ya kilimo
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi nyingi hasa zinazoendelea kama zilizoko barani Afrika
Syria yajiunga na makubaliano ya mazingira ya Paris
Rais wa Marekani Donald Trump mwezi Juni aliiondoa nchi yake kutoka makubaliano hayo ya kihistoria ya mazingira.
Upandaji misitu kwa ajili ya maendeleo Afrika Mashariki
Katika Makala ya Mtu na Mazingira Hawa Bihoga anaangazia janga la ukataji miti kwa kanda ya Afrika Mashariki, akijikita zaidi kwa nchi za Tanzania na Kenya, na mikakati ya kiserikali katika kukabailiana na ukataji holela wa misitu.
Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Bonn
Mkutano wa mazingira wa Bonn unatarajiwa kuhudhuriwa na watu 25,000 kutoka zaidi ya nchi 195 kwa wiki mbili zijazo
Wanaharakati wa kulinda mazingira waandamana Bonn
Waandamanaji wanashinikiza serikali ya Ujerumani kuachana na utumiaji wa makaa ya mawe kama chanzo cha nishati.
Mataifa yajiandaa kwa COP23
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kujadili tabia ya nchi utafanyika Bonn, Ujerumani. Huu ni mkutano wa 23 wa aina hii.
Uchafuzi wa mazingira ni hatari kuliko vita, maafa na njaa
Uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi zaidi kila mwaka kuliko hata vita, maafa na baa la njaa.
Ripoti ya njaa ya kila mwaka imetolewa leo
Baadhi ya vichocheo katika hali hiyo ya njaa ni pamoja na usawa wa kijinsia na majanga ya mabadiliko ya tabia nchi.
Magazetini: Mjadala wa vyama vidogo vya kisiasa wafanyika
Pia mkutano wa kilele wa Berlin uliojadili athari zilizosabishwa na gesi chafu ya magari yanayotumia mafuta ya diseli.
Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni
Takataka za mifuko ya plastiki zinaweza kujipenyeza katika vyakula bila kutarajiwa
Uhusiano wa wakimbizi na waturkana waimarika nchini Kenya
Mradi huu unalenga kuimarisha hali ya maisha ya wakimbizi katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya
Uharibifu wa mazingira huenda ukaongezeka Brazil
Rais wa Brazil alaumiwa kwa kushinikiza sheria itakayowanufaisha wafanyibiashara na wapokonyaji ardhi msituni Amazon.
Uchafuzi wa Ziwa Tanganyika Burundi
Ziwa Tanganyika lililoko Afrika Mashariki ni ziwa lenye kina kirefu barani Afrika. Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia zinapakana na ziwa hilo. Katika Mtu na Mazingira Amida Issa anaangazia uchafuzi wa maji ya Ziwa Tanganyika nchini Burundi na juhudi za kusafisha.
G20: Marekani haitaki muafaka wa mazingira
muafaka katika G20 , bado Marekani yatengana na wengine
Mazingira mada tete mkutano wa G20
Mazingira yatarajiwa kupewa nafasi kubwa katika mkutano wa mataifa yenye nguvu ya kiuchumi G20 utakaofanyika Hamburg.
Siku ya kulinda mbuga Ulaya
Hifadhi za mbuga na maeneo asilia ya mazingira
Mfumo wa bima kuboresha kilimo Afrika
Sekta ya bima inaweza kusaidia kuwafidia wakulima kutokana na hasara zitokanazo na majanga ya asili.
Trump yauweka njiapanda mkutano wa mazingira
China yaelezea nia ya dhati kuulinda mkataba wa mazingira wa Paris
Afrika yasaka fursa za kiuchumi kupitia kilimo
Wataalamu kukutana Durban kujadili njia za Afrika kufaidika na kilimo chake.
Biashara ya Ubani Somalia iko katika tishio
Uvunaji wa ubani wa kupitiliza unasababisha uharibifu wa misitu na mazingira.
Uchafuzi wa Ziwa Naivasha, Kenya
Ziwa Naivasha lipo katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya. Wakazi wa Naivasha na maeneo yanayozunguka wanalitumia kwa ajili ya uvuvi. Hata hivyo, mazingira ya ziwa hilo yanachafuliwa na shughuli za kibinadamu. Bernard Maranga anaangazia jambo hilo katika Mtu na Mazingira.
Miujiza ya mawingu
Wanasayansi wazindua kifaa kipya cha kipimo (atlasi) kufichua siri iliyoko kuhusu mawingu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 15
Ukurasa unaofuatia