You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanaharakati wa mazingira waitwisha DR Congo mzigo wa lawama
Mikataba hiyo inayohusisha karibu kilomita za mraba 20,000 imetolewa kwa kampuni mbili za China.
Karandinga: Maamuzi Mabaya
Mji wa Magarya unakabiliana na kuongezeka kwa ugonjwa wa kipinduindu kwa kuimarisha miundombinu kabla mvua hzijaanza.
Wangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa
Kupitia vuguvugu lake Ukanda wa Kijani, Wangari Maathai alisifiwa sana kwa kujenga jamii yenye amani na iliyo endelevu.
Wangari Maathai: Mwanaharakati asiye ogopa
Kupitia vuguvugu lake Ukanda wa Kijani, Wangari Maathai alisifiwa sana kwa kujenga jamii yenye Amani na iliyo endelevu.
Daraja lakatika Dodoma kutokana na mvua
Abiria wamekwama kuendelea na safari zao kufuatia kukatika kwa daraja la Kihegea mkoani Dodoma, Tanzania.
Iran: Wanaharakati wa Mazingira wafungwa jela
Ujerumani na Iran zabadilishana wafungwa
Mtoto mmoja kati ya sita wanaishi katika mazingira ya vita
Ripoti ya Save the Children inaonyesha kuwa wavulana wadogo husajiliwa kama majeshi
Mafuriko Lindi: Idadi ya vifo yaongezeka hadi 19
Zaidi ya wananchi 15,096 sawa na kaya 3,774 wameathirika
Tanzania: Mafuriko yawaua watu 14 Lindi
Watu kadhaa walishindwa kuokolewa kufuatia mafuriko makubwa
Kenya yasema mikakati ipo kukabiliana na nzige wa jangwani
Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri amewataka wananchi kuwa waangalifu na kutoa taarifa kwa mamlaka kuhusu wadudu hao.
UNICEF: unyanyasaji dhidi ya watoto umeongezeka
Watoto wanapitia madhila kama vile utumwa na kufanyishwa biashara ya ngono.
Mvua kubwa yatatiza shughuli Dar es Salaam
Mvua yavuruga shughuli Dar es Salaam na kuwasababisha kilio kwa wengi.
Mkutano mrefu wa mazingira wa UN wamalizika bila makubaliano
Mkutano mrefu kabisa wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wamalizika Madrid bila makubaliano
Mkutano wa mazingira wazua mgawanyiko
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa kuendelea leo
UN - COP 25: Mazungumzo ya hali ya hewa yagonga mwamba
Mazungumzo hayo yameongezewa muda hadi Jumamosi ili kujadili zaidi athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Roboti linaloweza kusafisha mazingira
Wasichana wawili wabunifu kutoka Tanzania, waunda roboti ya kusafisha mazingira baharini na maeneo ya makaazi.
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
COP25: Joto kali kuathiri zaidi afya ya binaadamu
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya, WHO limeonya kuhusu mabadiliko ya tabinachi yanayoweza kuathiri afya za binaadamu.
Familia 1,000 zaathirika na mafuriko, Kenya
Mvua nyingi inayoendelea kunyesha nchini Kenya imeendelea kusababisha maafa kwa raia, miongoni mwao familia zaidi ya 150 katika eneo bunge la Nyando kaunti ya Kisumu zilizolazimika kukimbilia maeneo salama kuepuka athari zaidi ya mafuriko ambayo tayari yamesababisha uharibifu mkubwa wa mali ikiwemo mimea shambani, kama Mussa Naviye alivyotuarifu.
Mvua yasababisha mafuriko, Kenya.
Familia hizo zilikimbilia maeneo salama kuepuka athari zaidi ya mafuriko ambayo tayari yamesababisha uharibifu mkubwa.
Mvua kuendelea kuipiga Kenya
Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki kutokana na athari za mvua.
Nchi karibu 200 zinashiriki mkutano wa mazingira Madrid
Kauli za kutetea Juhudi za kulinda mazingira bado zinasikika barani Ulaya
Katibu mkuu wa UN, aonya juu ya mabadiliko ya tabia nchi
Wajumbe kutoka kiasi nchi 200 wakutana Madrid kutafuta njia za kupunguza uzalishaji wa hewa chafu inayoharibu mazingira
Uhaba wa maji na Mazingira Mombasa
Juhudi za kampuni inayosimamia maji eneo zima la Pwani ya Kenya zimeshindwa kukidhi mahitaji ya wakaazi wa Mombasa.
Marekani yaanza rasmi mchakato kujitoa mkataba wa Mazingira
Marekani yaanza mchakato wa kujitoa kutoka makubaliano ya Paris ya Mazingira
Merkel azuru India
Lengo la ziara hiyo ya siku mbili ni kuimarisha uhusiano kati ya India na Ujerumani.
Mvua za Dar es salaam na athari zake
Ni lini adha hii ya athari za mvua jijini Dar es salaam itatatuliwa? Picha hizi zimepigwa katika maeneo ya bonde la Msimbazi jijini Dar es salaam. Kama mkazi wa jijini unadhani upi ni mwarobaini wa tatizo hilo? Kurunzi
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Uganda yatakiwa kutoa kipaumbele kwa masuala ya Mazingira
Matangazo ya Asubuhi 08.09.2019
Aina za samaki 204 wanaathirika kwa kumeza plastiki. Pamoja na mambo mengine sikiliza ripoti mpya kuhusu athari ya zitokanazo na uchafuzi wa mazingira katika kipindi cha mtu na mazingira.
Papa Francis amaliza ziara yake nchini Msumbiji
Kabla ya kuondoka Papa Francis aliongoza misa iliyofanyika kwenye uwanja wa michezo mjini Maputo siku ya Ijumaa.
Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili
Je, unajua kama simu yako inaweza kuwa inachangia migogoro na kuchafua mazingira?
Uwepo wa wakimbizi Tanzania waharibu mazingira
Tanzania kuboresha mazingira yaliyoharibiwa kutokana na uwepo wa kambi za Wakimbizi.
Joto la uchaguzi Tanzania: Suluhu aweka mambo wazi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu asema hatowania urais wa Zanzibar.
Viongozi wa G7 kujadili uchumi, mabadiliko ya hali ya hewa
Masuala mengine yatakayojadiliwa ni pamoja na ukosefu wa usawa duniani. ajira na namna ya kuwawezesha wanaweke.
Afrobarometer: Afrika ina ufahamu mdogo kuhusu tabianchi
Afrika ndiyo inaathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi, lakini waafrika wengine hawana ufahamu kuhusu suala hili.
Umati wahudhuria maandamano HongKong licha ya mvua kali
Umati wahudhuria maandamano HongKong licha ya mvua kali
Bundesliga: Chipukizi wa kuwatazama msimu wa mwaka 2019-20
Bundesliga imekuwa ligi inayopendwa na wachezaji wachanga wanaotaka kuimarika kimchezo.
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Afrika kuanza kutumia satalaiti kwa mazingira, tabianchi
Waziri wa Ulinzi wa Kenya Rachel Omamo anasema hatua hiyo itawafaidisha wakulima na kusaidia kutunza vyanzo vya maji.
IPCC - Kuna uhusiano kati ya matumizi ya ardhi na Tabia Nchi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kisayansi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi IPCC katika ripoti yake mpya linaonyesha.
Matayarisho ya kuanza msimu Bundesliga yanaendelea
Super Cup nchini Ujerumani kupigwa siku ya Jumamosi
Bara Ulaya lashuhudia viwango vya juu vya joto
Miji mingi mikubwa barani Ulaya inakabiliwa na viwango vya juu vya joto vinavyokaribia kuvunja rekodi hii leo.
Premier League yasubiri msimu mpya wa VAR
VAR tayari inatumika katika ligi nyingine kubwa za Ulaya ikiwemo Bundesliga ya Ujeurmani na La Liga ya Uhispania
Ujerumani: Hotuba ya mwaka ya Kansela Angela Merkel
Merkel asema amefurahishwa juu ya kuchaguliwa mwanamke kuwa Rais mpya wa Halmashauri ya Ulaya.
Von der Leyen kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Ursula Von der Leyen aahidi kushughulika mabadiliko ya hali ya hewa, kuongeza makamishna wa kike na Brexit.
Ukame watishia maisha ya wakazi wa Wajir, Kenya
Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir nchini Kenya kwa miezi mitatu iliyopita, huku wakazi wakiwa wanahofia maisha yao pamoja na ya mifugo yao. Mamlaka ya kudhibiti Ukame wameelezea kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi.
Nagelsmann: Bayern wana nafasi nzuri msimu ujao
Julian Nagelsmann alichukua mikoba ya RB Leipzig akitokea TSG Hoffenheim msimu uliopita
La Liga kumtambulisha mwamuzi wa kike msimu ujao
Atakuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha ligi ya Uhispania
Ujerumani na Ufaransa zakabiliwa na joto kali
Watalaamu wa hali ya hewa wasema hakli hii nikutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanyoendelea.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 26
Ukurasa unaofuatia