JamiiUkame watishia maisha ya wakazi wa Wajir, KenyaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiShisia Wasilwa16.07.201916 Julai 2019Hali mbaya ya kiangazi na ukame imelikumba jimbo la Wajir nchini Kenya kwa miezi mitatu iliyopita, huku wakazi wakiwa wanahofia maisha yao pamoja na ya mifugo yao. Mamlaka ya kudhibiti Ukame wameelezea kuwa hali huenda ikawa mbaya zaidi. https://p.dw.com/p/3M8gjMatangazo