You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maporomoko ya theluji yaua mamia Kashmir
Mamlaka zinapambana kuwafikia watu waliokwama kwenye maporomoko makubwa ya theluji baada ya barabara kuharibika.
Kenya yasema mikakati ipo kukabiliana na nzige wa jangwani
Waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri amewataka wananchi kuwa waangalifu na kutoa taarifa kwa mamlaka kuhusu wadudu hao.
Merkel ajitolea kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Kansela Merkel ameahidi kuwa jitihada zote za kibinaadamu zitatumika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.
UNICEF: unyanyasaji dhidi ya watoto umeongezeka
Watoto wanapitia madhila kama vile utumwa na kufanyishwa biashara ya ngono.
Hatua zaa kupambana na mabadiliko ya tabianchi Ujerumani
Hatua zaa kupambana na mabadiliko ya tabianchi Ujerumani
Mkutano mrefu wa mazingira wa UN wamalizika bila makubaliano
Mkutano mrefu kabisa wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira wamalizika Madrid bila makubaliano
Mkutano wa mazingira wazua mgawanyiko
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa kuendelea leo
UN - COP 25: Mazungumzo ya hali ya hewa yagonga mwamba
Mazungumzo hayo yameongezewa muda hadi Jumamosi ili kujadili zaidi athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Mparaganyiko mkutano wa COP25
Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, COP25 unaelekea kuhitimishwa mjini Madrid, Uhispania.
Roboti linaloweza kusafisha mazingira
Wasichana wawili wabunifu kutoka Tanzania, waunda roboti ya kusafisha mazingira baharini na maeneo ya makaazi.
EU kukomesha utoaji gesi ukaa mwaka 2050
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kanda hiyo kukomesha utoaji wa gesi ya ukaa ifikapo mwaka 2050.
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25 mjini Madrid
Wiki ya Ukweli katika Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabianchi
Wiki ya Ukweli katika Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabianchi
COP25: Wito watolewa kuhusu mabadiliko ya tabianchi Madrid.
''Wakati wa kuchukuwa hatua'' ndio kauli mbiu ya kongamano hilo la Umoja wa Mataifa la COP25
Maporomoko yaua zaidi ya watu 23 Burundi
Shughuli za uokozi zinafanyika eneo hilo ambapo watawala wanasema huenda idadi ya waliopoteza maisha ikaongezeka.
Watu milioni 50 kuhamishwa kwa mafuriko duniani
Hii ni ikiwa serikali za dunia hazitachukuwa hatua ya haraka kukabiliana na ongezeko la joto.
COP25: Joto kali kuathiri zaidi afya ya binaadamu
Shirika la Umoja wa Mataifa la afya, WHO limeonya kuhusu mabadiliko ya tabinachi yanayoweza kuathiri afya za binaadamu.
Sikiliza mahojiano ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi
Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Umoja wa Mataifa ipo katika hatua ya kuweka rekodi kwamba muongo huu ndio wenye joto zaidi duniani. Ripoti iliyozinduliwa kandoni mwa mkutano wa mabadiliko ya Tabianchi mjini Madrid, COP25 inaonesha tangu miaka ya 80 joto limekuwa likiongezeka kwa kila muongo. Msikilize Dokta Richard Muyungi anayeiwakilisha Afrika katika fuko la Mabadiliko ya Tabia Nchi.
Mvua kuendelea kuipiga Kenya
Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki kutokana na athari za mvua.
Nchi karibu 200 zinashiriki mkutano wa mazingira Madrid
Kauli za kutetea Juhudi za kulinda mazingira bado zinasikika barani Ulaya
Katibu mkuu wa UN, aonya juu ya mabadiliko ya tabia nchi
Wajumbe kutoka kiasi nchi 200 wakutana Madrid kutafuta njia za kupunguza uzalishaji wa hewa chafu inayoharibu mazingira
Umoja wa Mataifa: viwango vya gesi chafu vyaongezeka
Ripoti ya Umoja wa Mataifa wasema viwango vya keso chafu havina dalili ya kushuka huku kasi yake ikiongezeka.
Uhaba wa maji na Mazingira Mombasa
Juhudi za kampuni inayosimamia maji eneo zima la Pwani ya Kenya zimeshindwa kukidhi mahitaji ya wakaazi wa Mombasa.
Marekani yaanza rasmi mchakato kujitoa mkataba wa Mazingira
Marekani yaanza mchakato wa kujitoa kutoka makubaliano ya Paris ya Mazingira
Merkel azuru India
Lengo la ziara hiyo ya siku mbili ni kuimarisha uhusiano kati ya India na Ujerumani.
Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto kwa amani Somalia
Mabadiliko ya tabianchi yanaongeza changamoto zinazochangia kuimarika kwa makundi ya itikadi kali.
Uturuki yajiandaa kuingia Syria na madhara yake Magazetini
Uturuki yajiandaa kuingia Syria na madhara yake Magazetini
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Maaandamano ya usafi wa mazingira Magazetini
Waandamana kushinikiza hatua za kunusuru dunia.
Wanataka serikali kuchukua hatua zaidi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ulimwenguni
Changamoto za dunia kutawala mkutano wa Umoja wa Mataifa
Mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutawaliwa na changamoto kadhaa za dunia.
Maandamano kabla ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi
Vijana wasema hali ya ulimwengu kuhusu mabadiliko ya tabianchi ni ya dharura
Uganda yatakiwa kutoa kipaumbele kwa masuala ya Mazingira
Kilio cha vijana wa dunia dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Kilio cha vijana wa dunia dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Matangazo ya Asubuhi 08.09.2019
Aina za samaki 204 wanaathirika kwa kumeza plastiki. Pamoja na mambo mengine sikiliza ripoti mpya kuhusu athari ya zitokanazo na uchafuzi wa mazingira katika kipindi cha mtu na mazingira.
Papa Francis amaliza ziara yake nchini Msumbiji
Kabla ya kuondoka Papa Francis aliongoza misa iliyofanyika kwenye uwanja wa michezo mjini Maputo siku ya Ijumaa.
Boris Johnson na Zahma ya Brexit Magazetini
Boris Johnson na Zahma ya Brexit Magazetini
Fairphone - kampuni ya simu inayozingatia maadili
Je, unajua kama simu yako inaweza kuwa inachangia migogoro na kuchafua mazingira?
Uwepo wa wakimbizi Tanzania waharibu mazingira
Tanzania kuboresha mazingira yaliyoharibiwa kutokana na uwepo wa kambi za Wakimbizi.
Viongozi wa G7 kujadili uchumi, mabadiliko ya hali ya hewa
Masuala mengine yatakayojadiliwa ni pamoja na ukosefu wa usawa duniani. ajira na namna ya kuwawezesha wanaweke.
Afrobarometer: Afrika ina ufahamu mdogo kuhusu tabianchi
Afrika ndiyo inaathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi, lakini waafrika wengine hawana ufahamu kuhusu suala hili.
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Hongkong,Uhai anuai na Uchumi wa Ujerumani Magazetini
Afrika kuanza kutumia satalaiti kwa mazingira, tabianchi
Waziri wa Ulinzi wa Kenya Rachel Omamo anasema hatua hiyo itawafaidisha wakulima na kusaidia kutunza vyanzo vya maji.
Maandamano Urusi na Mabadiliko ya tabianchi Magazetini
Maandamano Urusi na Mabadiliko ya tabianchi Magazetini
IPCC - Kuna uhusiano kati ya matumizi ya ardhi na Tabia Nchi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kisayansi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi IPCC katika ripoti yake mpya linaonyesha.
Vita vya biashara kati ya Marekani na China Magazetini
Vita vya biashara kati ya Marekani na China Magazetini
Ujerumani: Hotuba ya mwaka ya Kansela Angela Merkel
Merkel asema amefurahishwa juu ya kuchaguliwa mwanamke kuwa Rais mpya wa Halmashauri ya Ulaya.
Von der Leyen kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Ursula Von der Leyen aahidi kushughulika mabadiliko ya hali ya hewa, kuongeza makamishna wa kike na Brexit.
Kupanda miti kutapunguza mabadiliko ya tabia nchi; Utafiti
Kupanda miti kwa wingi kutapunguza ongezeko la ujoto duniani, umesema utafiti wa mwanasayansi wa Uswisi
Ujerumani na Ufaransa zakabiliwa na joto kali
Watalaamu wa hali ya hewa wasema hakli hii nikutokana na mabadiliko ya tabia nchi yanyoendelea.
Maandamano Nairobi kupinga mradi wa mkaa wa mawe Lamu
Wataalamu wanaonya kuwa iwapo serikali itaendelea kutekeleza mradi huo huenda ukawa na matokeo hasi
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 20
Ukurasa unaofuatia