You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Usafi ndiyo adui wa Kipindupindu
null
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Kinyang'anyiro cha Madaraka baada ya Uchaguzi wa Ulaya
Maelfu ya wanafunzi waandamana duniani dhidi ya tabia nchi
Wanasayansi waonya dunia huenda ikawa sayari ambayo binadamu hawezi kuishi.
Ujerumano inadorora katika suala la mabadiliko ya tabanchi
Ujerumano inadorora katika suala la mabadiliko ya tabanchi
Guterres azindua kampeni kabambe ya utunzaji wa mazingira
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ziarani Pasifiki Kusini, kuzindua kampeni ya utunzaji wa mazingira
Kitisho cha kutoweka viumbehai Magazetini
Kitisho cha kutoweka viumbehai Magazetini
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Mchakato wa Brexit kuhodhi Mkutano wa kilele mjini Brussels
Kigoma: Zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi
Tunaelekea magharibi mwa Tanzania, ambako tunaelezwa kuwa zaidi ya watoto 300 wanaishi katika mazingira hatarishi ikiwemo kutumikishwa kingono katika wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. Ungana na mwandishi wetu wa huko, Prosper Kwigize kwenye ripoti hii.
Makala Zetu 17.03.2019
Sikiliza baadhi ya makala tulizokuandalia
Maandamano yanafanyika sehemu mbali mbali Ulimwenguni
Wanafunzi hao wanashinikiza viongozi kuchukua hatua za kupunguza gesi chafu
Kenyatta na Macron wafungua mkutano wa mazingira Nairobi
Ziara ya Macron Afrika Mashariki
Kupungua kwa uhai anuai kunahatarisha upatikanaji wa chakula
FAO imesema shughuli za kilimo na uvuvi zinaweza kufanyiwa mabadiliko na hivyo kuweza kuongeza aina mpya za mimea.
Ripoti ya Munich yaelezea mkanganyiko wa hali ya usalama
Utaratibu wa kiliberali wa dunia unavunjika,lakini nani anaweza kuunganisha tena vipande vyake?
Utafiti: Mabadiliko ya tabia nchi ni kitisho kikubwa duniani
Ugaidi nao watajwa
Mzozo wa Ukuta na kumbukumbu za Holocaust Magazetini
Mzozo wa Ukuta na kumbukumbu za Holocaust Magazetini
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Hatua za Kinga dhidi ya Udukuzi Magazetini
Muongozo wa kutekeleza makubaliano ya Paris wafikiwa
Nchi zinazoendela bado hazijaridhika kwa kukosa ufafanuzi kuhusu ufadhili wa mipango ya kudbiti athari za tabianchi.
Mkutano wa Mabadiliko ya tabianchi warefushwa Katowice
Mkutano wa Mabadiliko ya tabianchi warefushwa Katowice
UNDP: Mbadiliko ya tabianchi yaathiri ukuaji wa uchumi
Mabadiliko ya tabianchi yanatishia kurejesha nyuma ukuaji wa uchumi na mafanikio ya kijamii yaliyopatikana barani Afrika
Mkutano wa mazingira Katowice wakaribia kufikia tamati
Mkutano wa mazingira mjini Katowice unafikia katika hatua za mwisho
Mkutano wa COP 24 waingia hatua muhimu ya mwisho
Mawaziri watakubaliana kuhusu masharti ya kutekeleza malengo ya mabadiliko ya tabia nchi.
Utoaji wa gesi za Kaboni umeongezeka 2018
Ripoti mpya iliyochapishwa siku ya jumatano imesema utowaji wa gesi ya ukaa umeongezeka kwa kiwango cha juu mwaka 2018.
Magazeti: kutano wa mazingira wa Umoja wa Mataifa waanza
Wahariri wa Magazeti ya Ujerumani wamezungumzia mkutano wa Umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi
UN:Dunia imepoteza dira kuhusu mabadiliko ya tabianchi
Nchi zinazoendelea zinazokumbwa na kitisho cha majanga zimetoa wito kwa nchi tajiri zinazochafua mazingira kuzisaidia.
Huu ndio wakati wa Afrika kufahamu ukweli
Matarajio ya Afrika katika mkutano wa COP 24 ni madogo sana, amesema Seyni Nafo, msemaji wa kikosi cha Afrika.
UN wahimiza mbinu za kuzuia kuharibika kwa hali ya hewa
Jukumu la kuilisha dunia yenye njaa inaendelea kuwa ngumu kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupungua kwa ardhi
Mtanzania kukabidhiwa tuzo Ujerumani
Wote wawili ni wanaharakati waliojitolea kwa namna mbali mbali kuhifadhi mazingira ya nchi zao
Matumizi ya nguvu dhidi ya wanawake magazetini
Matumizi ya nguvu dhidi ya wanawake magazetini
Changamoto za mazingira ya Ziwa Victoria
Ziwa Victoria ni fahari kubwa ya Afika Mashariki hasaa ikizingatiwa kuwa ndiyo ziwa kubwa zaidi barani Afrika na la pili kwa ukubwa kote duniani. Licha ya fahari ya tangu jadi, hasaa katika sekta ya uvuvi, ziwa Victoria linashuhudia changamoto si haba. Katika makala hii ya mtu na Mazingira, Musa Naviye anaangazia changamoto zinazolikabili ziwa hilo.
Vijana wa Kombgreen watengeneza bustani Korogocho-Nairobi
Kundi la Kombgreen linaloundwa na vijana ambao zamani walikuwa wahalifu katika mtaa wa Korogocho jijini Nairobi, wameweka juhudi zao pamoja na kutengeneza bustani kwenye kingo za mto Nairobi. Bustani hiyo iliyo karibu na daraja la Korogocho, hivi sasa ni kivutio kwa watu wengi wanaotaka kujipumzisha. Sikiliza makala hii ya Mtu na Mazingira iliyotengenezwa na Thelma Mwadzaya.
WWF: Kuna kitisho kikubwa kwa viumbehai na bioanuwai duniani
Idadi ya viumbe hai na ikolojia duniani imeporomoka kwa viwango vibaya kabisa imesema ripoti ya WWF iliyotolewa leo.
Harakati za kutunza mazingira katika mji wa Nairobi
Kundi lao la Kombgreen linaendeleza harakati za kutunza mazingira katika mji wa Niarobi
Mabadiliko ya tabianchi na kasheshe ya Kavanaugh Magazetini
Mabadiliko ya tabianchi na kasheshe ya Kavanaugh Magazetini
Polisi wapambana na wanaharakati katika msitu wa Hambacher
Msitu huo wa Hambacher upo kwenye sehemu iliyo katika jimbo la Rheinland magharibi mwa Ujerumani.
Mkaa uliotengenezwa kwa kinyesi Nakuru
Mkaa huo unaotumiwa kupikia majumbani na kwenye shughuli za viwanda umetajwa kuwa uvumbuzi wa kipekee.
Mbinu za kuokoa mazingira zatafutwa Afrika
Zaidi ya wajumbe 800 wanafanya mkutano jijini Nairobi kwa lengo la kujadili uhifadhi wa misitu na mazingira.
Unaona nini, yavuyavu ama mfuko wa plastiki?
Mifuko ya plastiki inaharibu mazingira ya baharini. Viumbe hai vinashindwa kutafautisha kati ya yavuyavu na mifuko ya plastiki. Je wewe unaweza kuiona tofauti kati ya vitu hiyo viwili haraka haraka?
Madhara ya Mabadiliko ya Tabianchi Magazetini
Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi Magazetini
Watetezi wa mazingira zaidi ya 200 waliuawa mwaka 2017
Brazil ndiyo nchi hatari kwa wanaharakati
Mjasiriamali anayetumia vitu chakavu kutunza mazingira
Matumizi ya karatasi chakavu ni miongoni mwa vyanzo vya ajira ambavo huajiri kundi kubwa la watu. Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira,kijana mlemavu wa ngozi Jijini Dar es Salaam Sadiq Bakari ameanzisha utengenezaji wa vifungashio rafiki wa mazingira.
G7 latumia mabilioni kuendeleza sekta ya nishati asilia
Nchi tajiri za G7 zatumia mabilioni kuendeleza sekta ya nishati asilia, licha ya kutoa ahadi ya kusita ifikapo 2025.
Nchi zenye mazingira magumu kwa waandishi wa habari
Ghana ndio kinara
Makala zetu 22.04.2018
Msitu Kazimzumbwi kurejeshwa hali yake ya zamani
Msitu huo ni muhimu jijini Dar es Salaam, Tanzania kwani unahitajika kuvuta hewa chafu inayotokana na viwanda.
Muda unayoyoma kuokoa mimea na wanyama wa dunia
Ripoti zilozinduliwa katika mkutano wa viumbe hai zinatahadharisha dhidi ya vitisho vinvyavikabili viumbe hai duniani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Huu ni muhtasari wa masuala na matukio ya barani Afrika mnamo wiki hii yaliyozingatiwa na magazeti ya Ujerumani.
Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka
Wataalmu wa mazingira wanaonya kiasi cha maji katika Ziwa Ol Bolossat lililopo nchini Kenya kinapungua maji kwa kasi.
Vijana na mabadiliko ya tabianchi
Sikiliza namna vijana wa Afrika Mashariki wanavyojadili kuhusu mabadiliko ya tabianchi na masuala mengine mbalimbali kuhusiana na suala hili, katika makala ya Vijana Tugutuke.
Mkutano wa Paris kukusanya fedha za mazingira
Mkutano wa Paris kukusanya fedha kuhifadhi mazingira
Uvurugaji wa mazingira asilia na athari zake
Iwe ni kuwezesha ujenzi, kilimo au shughuli yoyote ile, uvurugaji wa hali asilia ya mazingira husababisha madhara mengi. John Juma anaelezea zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 20
Ukurasa unaofuatia