You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
KALFOU, NIGER.Msaada wa chakula waanza kuingia Niger
KALFOU,Niger: Jumuiya ya kimataifa yalaumiwa kwa maafa ya njaa
Ufaransa kuisaidia Niger
NIGER: watoto wakabiliwa na njaa
LONDON: Misaada zaidi yapelekwa nchini Niger
Umoja wa Ulaya kuongeza misaada yake kwa Niger
Tangu picha za janga la njaa nchini Niger kupelekwa kwenye televisheni za dunia kote, mashirika ya misaada yanaongeza jitihada kupeleka vyakula katika nchi hiyo iliyopo Magharibi mwa Afrika. Sasa Umoja wa Ulaya unafuata mfano huu. Wakati huo huo, shirika lingine la misaada linadai kuwa nchi zote za dunia zianzishe mfuko wa kupeleka misaada ya haraka ili kuyazuia majanga kama hili la Niger.
ROME: Niger yakabiliwa na balaa la njaa kubwa
NIGER :Watu wa Niger wasaidiwa kukabili njaa
Niamey. Rais wa Niger kuzuru maeneo yaliyoathirika na njaa.
Niamey. Niger yapatiwa msaada wa chakula na Ufaransa na umoja wa Afrika.
Janga la njaa nchini Niger
Mashirika ya kimataifa ya misaada yataongeza misaada kwa nchi ya Niger, iliyopo Magharibi mwa Afrika, kutokana na tatizo la njaa linaloikumba nchi hiyo. Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP, litaongeza misaada mara tatu. Shirika hili linaomba watu wachangie ili waweze kuwasaidia watu milioni 1.2 waliokumbwa na tatizo hili, lililosababishwa na ukame.
NIAMEY: Misaada inaanza kuwasili Niger
NIGER. Misaada ya chakula yaanza kuingia
Niamey. Shehena ya kwanza ya chakula cha msaada yawasili nchini Niger.
MARSEILLE Msaada wa chakula wapelekwa Niger
New York. Niger ukingoni mwa maafa ya kibinadamu.
NEW YORK: Watu milioni 2.5 wakabiliwa na njaa nchini Niger
NIAMEY Watoto wafa njaa nchini Niger
ABUJA:Wafanyikazi 6 wakiwemo wajerumani 2 wa kampuni inayoihudumia kampuni kubwa ya mafuta ya Shell watekwa nyara Niger Delta,Nigeria
GENEVA: Nzige na ukame kitisho kwa mavuno nchini Niger
GENEVA: Niger yahitaji msaada wa dharura wa chakula
Niamey. Waandamanaji wapinga kupanda kwa bei ya vyakula nchini Niger.
Vita dhidi ya umaskini nchini Niger
Mwaka wa 1980 ulikuwa mwaka wa mabadiliko nchini Niger. Soko la madini ya uranium lilianguka ghafla duniani na tangu hapo nchi hiyo imekumbwa na matatizo ya kiuchumi. Hali imekuwa mbaya zaidi kufuatana na ukame ambao umesababisha umaskini katika sehemu za mashambani na mijini.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 10
Ukurasa unaofuatia