You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rutte aanza kazi ya ukatibu mkuu wa NATO
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uholanzi, Mark Rutte, ameanza rasmi kazi yake mpya ya ukatibu mkuu wa Jumuiya ya NATO.
Msumbiji kupiga kura Oktoba 9
Wapigakura nchini Msumbiji watashiriki zoezi la uchaguzi wa rais na bunge mnamo tarehe 9 Oktoba.
MSF yawatibu wahanga wengi wa ubakaji Kongo
MSF imesema imewatibu idadi kubwa ya wahanga wa ubakaji mwaka jana katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Conservative wasaka uongozi mpya
Uhamiaji ndilo suala kuu kwenye mjadala wa kumsaka kiongozi mpya wa chama cha Conservative.
Huyu ndiye mkuu mpya wa NATO
Rutte anachukuwa nafasi ya Mnorway, Jens Stoltenberg, ambaye alihudumu kwenye nafasi hiyo kwa muongo mmoja.
01.10.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Jumuiya ya kujihami ya NATO itakuwa na kiongozi mpya kuanzia leo Oktoba mosi. Mark Rutte, Waziri Mkuu wa zamani wa Uholanzi anachukua nafasi ya Jens Stoltenberg+++Uamuzi wa Rais Joe Biden wa kuizuru Angola katika safari yake ya kwanza Barani Afrika, unaonesha ushawishi
01.10.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani na washirika wake kwa uchochezi katika eneo la Asia Pasifiki. Ukraine yavunjwa moyo na hatua ya Uswisi kuunga mkono mpango wa amani uliopendekezwa na China na Brazil. Na nyota wa mchezo wa kikapu raia wa Congo na Marekani Dikembe Mutombo aaga dunia.
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani kuhusu Asia Pasifiki
Marekani imekosolewa kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa kwa masilahi binafsi.
Ukraine yavunjwa moyo na Uswisi kuhusu mpango wa amani
Marekani na washirika wake wa Ulaya wameukataa mpango huo
Marekani yaridhishwa na usambazaji misaada Sudan
Sudan inakabiliwa na vita tangu Aprili 2023 na maalfu ya watu wameuwawa na wengine kulazimika kuyahama makazi yao.
Mshukiwa anayetuhumiwa kutaka kumuua Trump asema hana hatia
Trump hakujeruhiwa katika jaribio la pili la kutaka kumuua.
Biden kulitembelea jimbo la North Carolina
Kimbunga kilikuwa kikubwa kilipopiga Florida kabla kufanya uharibifu Georgia, North Carolina na South Carolina.
Nyota wa mpira wa kikapu Dikembe Mutombo aaga dunia
Tangazo la kifo cha Dikembe limetolewa jana Jumatatu na ligi ya NBA.
Safari za ndege kufutwa katika viwanja vya Brussels
Abiria walioathiriwa watapata mawasiliano kutoka kwa mashirika ya ndege wanayosafiria.
30.09.2024- Matangazo ya Jioni
Watuhumiwa wanne walioshitakiwa kwa kosa la kumbaka na kumuuingilia kinyume cha maumbile binti mmoja wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam Tanzania wamehukumiwa kifungo cha maisha jela+++Hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa kuhitimishwa baadae leo mjini New York Marekani+++Serikali ya Lebanon yasema ipo tayari kuchukua hatua ili kuvimaliza vita na Israel.
Wabakaji Bint wa Yombo wafungwa maisha, faini milioni moja
Hukumu hiyo ilitolewa siku ya Jumatatu (Septemba 30) katika mahakama ya Hakimu Mkaazi jijini Dodoma.
Thuluthi mbili ya majengo ya Gaza yameharibiwa - UM
Thuluthi mbili ya majengo yameharibiwa kwenye Ukanda wa Gaza tangu kuanza vita mnamo mwezi wa Oktoba mwaka uliopita.
Wabunge wa Ujerumani wataka kuipiga marufuku AfD
Wabunge kadhaa wa Ujerumani wanatafakari kuiunga mkono hoja ya kukipiga marufuku chama cha mrengo mkali wa kulia, AfD.
Bunge la Mashariki mwa Libya laidhinisha gavana mpya
Bunge la mashariki mwa Libya limeidhinisha uteuzi wa Najib Belqasem kuwa gavana mpya wa benki kuu ya nchi hiyo.
Watunisia 12 wafa maji wakikimbilia Ulaya
Raia 12 wa Tunisia wamekufa maji baada ya mashua yao kuzama katika pwani ya kusini mashariki leo alfajiri.
Rutte kuanza uongozi wa NATO
Waziri mkuu wa zamani wa Uholanzi, Mark Rutte, anatarajiwa kuchukua hatamu ya ukatibu mkuu wa Jumuiya ya Kijeshi ya NATO
Serikali ya Lebanon yakubali kuwaondoa Hizbullah kusini
Kaimu Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati amesema serikali yake iko tayari kuchukuwa nafasi ya kundi la Hizbullah.
Guinea ya Ikweta yaiomba ICJ kuyakataa madai ya Gabon
Guinea ya Ikweta imeitaka ICJ kuyakataa madai ya Gabon juu ya umiliki wa visiwa kadhaa kwenye eneo lao.
30.09.2024 - Matangazo ya Mchana
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 100,000 wa Lebanon wamekimbilia nchini Syria wakati Israel ikiendeleza mashambulizi yake nchini humo+++Watu sita wameripotiwa kufariki dunia nchini Rwanda kufuatia mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg+++Jeshi la Sudan limekanusha madai yaliyotolewa na jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa walishambulia makazi ya ubalozi mjini Khartoum.
Wafugaji wa samaki Kenya wapata hasara ya mamilioni
Wafugaji samaki kwenye Ziwa Viktoria upande wa Kenya wamepatwa na hasara kubwa baada ya samaki wao kufa ghafla.
Nini kinafuata Lebanon baada ya mauaji ya Nasrallah?
Ahmed Rajab anachambua yale yanayowezekana kujiri kufuatia mauaji dhidi ya kiongozi wa Hizbullah nchini Lebanon.
Sudan yapinga kuushambulia ubalozi wa UAE
Jeshi la Sudan limekanusha kuyashambulia kwa mabomu makaazi ya balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu mjini Khartoum.
Chama cha mrengo wa kulia chashinda Austria
Chama cha mrengo wa kulia nchini Austria chapata ushindi wa kwanza kwenye uchaguzi wa bunge.
Sita wafa kwa Marburg Rwanda
Wizara ya Afya wa Rwanda imesema watu sita wamekufa kutokana na mripuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg
Biden kuitembelea Afrika katikati ya Oktoba
Ziara ya Rais Biden itaanzia nchini Angola, taifa linalotazamwa na Marekani kama mshirika mkuu kuelekea maslahi yake.
Benki ya Dunia yaiidhinishia Nigeria dola bilioni 1.57
Benki ya Dunia imeidhinisha kitita cha dola bilioni 1.57 chini ya mpango mpya wa kuzisaidia sekta kadhaa nchini Nigeria.
Urusi yaishambulia tena Kiev kwa droni
Jeshi la anga la Ukraine linasema limezidunguwa droni kadhaa zilizorushwa na Urusi kwenye mji mkuu, Kiev.
Israel yaendelea kuishambulia Lebanon
Israel imeendelea na mashambulizi nchini Lebanon, ambapo jengo moja la makaazi limeshambuliwa katikati ya Beirut.
Le Pen, washirika wake wapandishwa kizimbani kwa ubadhirifu
Le Pen na wenzake kadhaa wanakabiliwa na kesi kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za Bunge la Ulaya.
Uhispania yawasaka wahamiaji 48 waliozama Canary
Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na juhudi za kuwatafuta wahamiaji 48 waliozama karibu na visiwa vya Canary.
Marekani yaachana na wazo la jeshi la UM Haiti
Marekani imeachana na wazo la kutaka kikosi cha polisi wa kimataifa nchini Haiti kuwa jeshi rasmi.
30.09.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Karibu katika dunia yetu leo asubuhi, yale tuliyokuandalia asubuhi hii ni malaka zetu Mbiu ya Mnyonge, Makala Yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la Manufaa.
30.09.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Urusi yafanya mashambulizi ya droni mjini Kyiv. Jeshi la Marekani lasema vikosi vyake vimewaua wanamgambo 37 nchini Syria. Na Chama cha mrengo mkali wa kulia, Freedom Party, chashinda uchaguzi wa bunge nchini Austria.
Urusi yaushambulia mji wa Kiev kwa droni
Serikali za nchi za Magharibi zinaituhumu Iran kwa kuipa Urusi droni na makombora lakini Iran imekanusha madai hayo.
Shirika la ICRC lataka Mikataba ya Geneva iheshimiwe
Mateso yanayoshuhudia katika maeneo ya mizozo ya vita kote ulimwenguni ni ushahidi kuwa sheria za msingi haziheshimiwi.
Chama cha Freedom chashinda uchaguzi wa bunge Austria
Katika ilani yake ya uchaguzi chaha cha Freedom kinataka wageni wasioalikwa wahamishwe tena kwingine.
Biden kuyatembelea maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Helene
Watu 35 wamuewawa jimbo la North Carolina, 24 ijimbo la South Carolina, 17 huko Georgia, 11 Florida na mmoja Virginia.
Taiwan yajihadhari kufuatia jaribio la kombora la China
China inadai Taiwan ni himaya yake na imeongeza shinikizo la kijeshi na kisiasa katika miaka michache iliyopita.
29.09.2024- Matangazo ya Mchana
Israel imesema imemuua kamanda mwingine wa Hezbollah, Nabil Kaouk+++Watu 126 wafa kwenye mafuriko na maporomoko Nepal+++Urusi yadungua droni 126 za Ukraine.
Matangazo ya Mchana 28.09.2024
Jeshi la Israel lasema limemuuwa Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah // Ukraine yasema mashambulizi ya Urusi kwenye hospitali yaua watu saba // Umoja wa Mataifa umesema watu 3,661 waliuawa 2024 katika ghasia za Haiti
28.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yashambulia makao makuu ya kundi la Hezbollah mjini Beirut. Watu 33 wafariki kutokana na kimbunga Helene huko Marekani. Rwanda yathibitisha visa vya maambukizi ya virusi vya Marburg.
27.09.2024- Matangazo ya Jioni
Umoja wa Mataifa umesema kuongezeka kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya kundi la Hezbollah kumeifanya Lebanon kukabiliwa na kipindi kibaya zaidi+++Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Waziri wa uchukuzi Jean-Pierre Bemba anatarajiwa kujieleza bungeni hivi karibuni, baada ya serikali kuunda kampuni mpya ya ndege, Air Congo
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Yaliyoandikwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na matukio ya nchini Tanzania. Idara kuu ya ukaguzi ya Umoja wa Ulaya yasema mfuko wa fedha wa jumuiya hiyo uliotengwa kwa ajili ya kukabiliana na sababu za ukimbizi haukuleta tija. Kiongozi wa zamani wa Sudan Omar al- Bashir anayesakwa na mahakama ya kimataifa ya mjini The Hague.
27.09.2024 - Matangazo ya Mchana
Katika mkutano wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa unaendelea mjini NewYork Rais wa Kenya William Ruto alitumia hotuba yake kuomba ufadhili zaidi ili kuunga mkono kikosi cha kupambana na uvunjaji wa sheria Haiti+++Vifo vimeripotiwa baada ya shambulio la Urusi kwenye mji wa bandari wa Izmail nchini Ukraine.
27.09.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Mkuu wa sera za nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrel, ametoa mwito wa kupunguza mivutano wakati mapigano kati ya Israel na Hezbollah yanaendelea+++Wakaguzi wa hesabu wanasema mfuko wa euro bilioni tano wa Umoja wa Ulaya kwa ajili ya Afrika hautoshi kushughulikia uhamiaji.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 130
Ukurasa unaofuatia