You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
27.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel yafanya mashambulizi mapya nchini Lebanon na kukaidi wito wa usitishwaji mapigano. Marekani yaahidi kuendelea kuiunga mkono Ukraine wakati vita vikiendelea. Kundi la RSF limesema liko tayari kutekeleza mpango wa usitishwaji mapigano nchini Sudan.
26.09.2024 - Matangazo ya Jioni
Jeshi la Sudan limeanzisha mashambulizi ya anga na makombora katika mji mkuu Khartoum leo+++Kampuni tanzu ya Millicom iliyokuwa ikimiliki kampuni ya simu ya Tigo ya nchini Tanzania imesema mmiliki wa sasa wa kampuni hiyo ya Honora Tanzania Public Limited, haikuvujisha taarifa za simu za mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu kwa mamlaka za serikali.
26.09.2024 - Matangazo ya Mchana
Waziri wa Fedha wa Israel, Israel Bezalel Smotrich, anayeegemea mrengo mkali wa kulia leo Alhamisi amelipinga na kulikataa kabisa pendekezo la kusitishwa mapigano kati ya Israel na Lebanon kwa siku 21+++Marekani imetangaza msaada mpya wenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 160 kwa Haiti.
26.09.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Mkutano wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York umeingia siku yake ya tatu ambapo viongozi mbalimbali wameendelea kuhutubia juu ya changamoto zinazoikabili dunia+++Migogoro inayoendelea kote Afrika Magharibi na Kati imevuruga elimu ya watoto wapatao milioni 2.8
26.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Israel inapanga kuanzisha operesheni ya ardhini dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon. Rais Joe Biden amesema hatua za Marekani kuongeza kasi ya msaada kwa Ukraine zitatangazwa leo Alhamisi. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo atoa wito wa Rwanda kuchukuliwa vikwazo kwa kuwaunga mkono waasi wa M23.
25.09.2024 Matangazo ya Jioni
Rais wa Ukraine Volodymryr Zelenskiy amesema Urusi inapanga kushambulia mitambo ya nyuklia nchini mwake / Lissu kuishitaki serikali ya Tanzania kimataifa
25.09.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Lebanon yasema watu 15 wauwawa katika mashambulizi ya Israel/ China yafanya majaribio ya kombora la masafa marefu
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 25 Septemba 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 25 Septemba 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Zelensky asema hakuna mazugumzo ya amani ya Urusi
Zelensky amesema hakuna uwezekano wa mazungumzo ya amani na Urusi na kuutaka ulimwengu kumlazimisha Putin akubali amani.
Uhispania yasusia kuapishwa rais wa Mexico
Uhispania imetangaza kususia sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Mexico kwa kuwa Mfalme Filipe wa Sita hakualikwa.
Ruto ataka dunia iwekeze kwenye nishati salama Afrika
Mataifa yanayoendelea yanasema yanahitaji msaada wa kifedha kuhama kutoka matumizi ya nishati zinazoharibu mazingira.
Taiwan yasema China yafanya majaribio ya kivita
Taiwan imesema China imefanya mazoezi ya silaha kali za kivita na mazoezi mengine ya kijeshi karibu na fukwe zake.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 25 Sept. 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 25 Sept. 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Iran inataka kumuua Trump - Idara ya Ujasusi Marekani
Idara ya Ujasusi ya Marekani inadai kuwa kuna kitisho cha kweli na cha wazi kutoka Iran inayotaka kumuua.
Ulimwengu wataka Mashariki ya Kati isitumbukie vitani
Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa imetahadharishwa juu ya kuanza kutanuka kwa vita vya Mashariki ya Kati.
24.09.2024 - Matangazo ya Jioni
Idadi ya watu waliouwawa kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel Kusini mwa Beirut ndani ya siku mbili sasa ni zaidi ya watu 550+++Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameufungua mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaoendelea kwa wiki nzima kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York
24.09.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Watu 492 wauawa Lebanon kufuatia mashambulizi ya Israel/ Ethiopia ina wasiwasi juu ya Misri kupeleka silaha Somalia
24.09.2024 - Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 24 Sept. 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Hali kinu cha nyuklia cha Kursk bado mbaya - Grossi
Rafael Grossi, amesema hali bado ni mbaya kwenye kinu cha nyuklia cha Kursk nchini Urusi.
Mkuu wa majeshi wa Bangladesh aapa kuiunga mkono serikali
Mkuu wa majeshi wa Bangladesh ameapa kuisaidia kukamilisha mageuzi ya kimsingi, ukiwemo uchaguzi mkuu ndani ya miezi 18.
Durov akubali Telegram kushirikiana na vyombo vya usalama
Mwanzilishi wa Telegram amesema mtandao wake utashirikiana na vyombo vya usalama dhidi ya uhalifu.
Zelensky: Umakini wa Marekani utaharakisha mwisho wa vita
Zelensky amesema uamuzi makini wa uongozi wa Marekani utaharakisha kukomesha uvamizi wa Urusi kufikia mwakani.
Waziri wa usafirishaji Singapore kizimbani kwa ufisadi
Waziri wa zamani wa usafirishaji wa Singapore anapandishwa mahakamani kwenye kesi ya kwanza ya ufisadi wa kisiasa.
Viongozi wa dunia kuhutubia Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa
Hotuba za viongozi kwenye Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa kutawaliwa vita vya Gaza, Lebanon, Sudan na Ukraine.
24.09.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 24 Sept. 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Morales amtaka Arce kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri
Morales amemtaka Arce kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri au akabiliwe na ghadhabu za maelfu ya waandamanaji.
Viongozi wa dunia kuhutubia Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa
Viongozi wakuu wa mataifa wanaanza hivi leo kuhutubia Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa kukiwa na changamoto kadhaa.
23.09.2024 - Matangazo ya Jioni
Mashambulizi ya Israel yamewauwa zaidi ya Walebanon 270 kwenye shambulio baya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha takriban mwaka mmoja+++Viongozi wa dunia juma hili wako jijini New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Makala ya Afrika Wiki Hii
Amina Abubakar Mjahid ana mengi katika Makala ya Afrika Wiki Hii, ikiwa ni pamoja na onyo la Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa watu wanaotaka kuyumbisha usalama wa taifa lake, mashambulizi ya kundi la itikadi kali Mali lasababisha mauaji ya wengi mjini Bamako na pande hasimu sudan zasema ziko tayari kwa mazungumzo ya amani.
23.09.2024 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Polisi ya Tanzania imewatia nguvuni viongozi wa chama kikuu cha upinzani cha demokrasia na maendeleo CHADEMA/ Israel yawataka wakaazi kusini mwa Lebanon kuondoka
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 23 Sept. 2024
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi ya 23 Sept. 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Urusi yaushambulia tena mji wa Kharkiv
Urusi imefanya mashambulizi mapya mjini Kharkiv, ambapo majengo kadhaa yamebomolewa na watu wapatao 20 kujeruhiwa.
Umoja wa Mataifa wapitisha "Mkataba wa Mustakabali"
Umoja wa Mataifa umeidhinisha makubaliano kuyaunganisha mataifa kukabiliana na changamoto za karne ya 21.
Watu 30 wakamatwa kwa magendo ya binaadamu Uingereza
Zaidi ya watu 30 wametiwa nguvuni nchini Uingereza kufuatia msako dhidi ya magenge yanayosafirisha watu kwa magendo.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 23 Sept. 2024
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi ya 23 Sept. 2024 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Wafuasi wa rais wa zamani na wa sasa wapambana Bolivia
Wafuasi wa serikali na maafisa wa usalama wa Bolivia wamepambana na wafuasi wa rais wa zamani, Evo Morales.
Hofu ya mzozo wa Mashariki ya Kati kusambaa bado yatawala
Mamlaka za Ukanda wa Gaza zimesema watu 22 wameuawa kwenye shambulizi la kombora la Israel lililoilenga shule.
Umoja wa Ulaya waipatia Ukraine mkopo wa mabilioni
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ametangaza mpango wa kuipatia Ukraine mkopo wa mabilioni.
20.09.2024 - Matangazo ya Jioni
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ametangaza mpango wa kuipatia Ukraine mkopo wa dola bilioni 39+++Wanaharakati wa mazingira wamekusanyika hii leo katika miji kadhaa duniani kote kwa maandamano ya Ijumaa ya kushinikiza hatua zaidi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Hizbullah, Israel washambuliana vikali
Israel nayo imefanya kile inachosema ni mashambulizi yenye shabaha maalum katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Watoto milioni sita waathiriwa na Kimbunga Yagi
UNICEF inasema Kimbunga Yagi kimewaathiri karibu watoto milioni sita katika eneo la kusini mashariki mwa Asia.
Wamahiaji 500 waokolewa karibu na Canary
Meli za uokoaji zimewaokoa wahamiaji takribani 500 karibu na visiwa vya Canary waliokuwa wakitokea barani Afrika.
Mawaziri wa nishati wa G7 kujadili miundombinu ya Ukraine
Mawaziri wa nishati wa nchi za G7 watakutana Jumatatu kujadili miundombinu ya nishati ya umeme ya Ukraine.
20.09.2024 - Matangazo ya Mchana
Kiongozi wa wanamgambo wa Hezbollah Hassan Nasrallah ameahidi kulipa kisasi baada ya mashambulizi kupitia vifaa vya mawasiliano vya wanamgambo wake nchini Lebanon+++Kituo cha udhibiti wa magonjwa barani Afrika CDC kimesema chanjo za ugonjwa wa homa Mpox zimeanza kutolewa barani Afrika
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani juu ya Afrika wiki hii ni pamoja na mzozo uliozuka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya Kongo kukusudia kuwachukua wanyarwanda sita waliokuwa na hatia ya mauaji ya kimbari baada ya kutumikia vifungo jela. Jumuiya ya kimataifa inageukia kwingine wakati vita vinaendelea nchini Sudan. Mtayarishaji Zainab Aziz.
Raia watatu waliotekwa maandamano ya Gen-Z Kenya waachiliwa
Raia watatu waliotekwa wakati wa maandamano ya vijana wa Gen-Z nchini Kenya wameachiliwa huru.
Bunge la Ulaya lamtambua Gonzalez rais halali Venezuela
Bunge la Ulaya limemtambua mgombea wa upinzani wa Venezuela, Edmundo Gonzalez Urrutia, kuwa rais halali wa nchi hiyo.
Von der Leyen aizuru Ukraine kujadili usalama wa nishati
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ameitembelea Ukraine kujadili usalama wa nishati.
Takbrini watu 300 wafariki kwa Kimbunga Yagi
Waliofariki kutokana na kimbunga Yagi nchini Myanmar wamefikia watu 293, huku wengine 89 wakiwa hawajulikani walipo.
Wakimbizi Afrika Magharibi, Kati wafikia milioni 14
Watu waliolazimishwa kuyahama makaazi yao Afrika Magharibi na Kati imeongezeka maradufu na kufikia milioni 14.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 130
Ukurasa unaofuatia