Israel inapanga kuanzisha operesheni ya ardhini dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon. Rais Joe Biden amesema hatua za Marekani kuongeza kasi ya msaada kwa Ukraine zitatangazwa leo Alhamisi. Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo atoa wito wa Rwanda kuchukuliwa vikwazo kwa kuwaunga mkono waasi wa M23.