Idadi ya watu waliouwawa kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel Kusini mwa Beirut ndani ya siku mbili sasa ni zaidi ya watu 550+++Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameufungua mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaoendelea kwa wiki nzima kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York