Israel yafanya mashambulizi mapya nchini Lebanon na kukaidi wito wa usitishwaji mapigano. Marekani yaahidi kuendelea kuiunga mkono Ukraine wakati vita vikiendelea. Kundi la RSF limesema liko tayari kutekeleza mpango wa usitishwaji mapigano nchini Sudan.