Mkutano wa hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York umeingia siku yake ya tatu ambapo viongozi mbalimbali wameendelea kuhutubia juu ya changamoto zinazoikabili dunia+++Migogoro inayoendelea kote Afrika Magharibi na Kati imevuruga elimu ya watoto wapatao milioni 2.8