Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya raia 100,000 wa Lebanon wamekimbilia nchini Syria wakati Israel ikiendeleza mashambulizi yake nchini humo+++Watu sita wameripotiwa kufariki dunia nchini Rwanda kufuatia mlipuko wa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Marburg+++Jeshi la Sudan limekanusha madai yaliyotolewa na jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu kuwa walishambulia makazi ya ubalozi mjini Khartoum.