MigogoroKimataifa28.09.2024 Taarifa ya Habari ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroKimataifaBakari Ubena28.09.202428 Septemba 2024Israel yashambulia makao makuu ya kundi la Hezbollah mjini Beirut. Watu 33 wafariki kutokana na kimbunga Helene huko Marekani. Rwanda yathibitisha visa vya maambukizi ya virusi vya Marburg. https://p.dw.com/p/4lBbRMatangazo