You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Bunge
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Zaidi ya wabunge 80 wa upinzani wajiuzulu, Pakistan
Zaidi ya wabunge 80 wa upinzani nchini Pakistan wamejizulu bungeni hivi leo kupinga hatua ya rais Pervez Musharraf kugombea urais kwa kipindi kingine. Wabunge hao wameendea kusisitiza kuwa rais Musharraf hakubaliwi kushiriki katika uchaguzi huo wa urais utakaofanyika siku ya jumamosi.
Majadiliano katika bunge la Libanon juu ya kupata rais mpya wa nchi hiyo
Bunge la Lebanon, kwa hakika, lililazimika leo lichaguwe rais mpya wa nchi hiyo. Lakini upande wa serekali na ule wa upinzani zinabishana, kwa hivyo hakutegemewi kwamba kutakuweko masikilizano.
Kiongozi wa Upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Jean Pierre Bemba atakiwa kushiriki kwenye vikao vya Bunge
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoJean Pierre Bemba,ametakiwa kurejea nchini humo kabla ya Septemba 15, ili kushiriki kwenye vikao vya Bunge.
Sierra Leone baada ya chaguzi za rais na bunge
Chaguzi za rais na bunge zilizofanywa nchini Sierra Leone zinatazamwa kama mtihani wa mchakato wa upatanisho,kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe vya mwongo mmoja.Je,baada ya Liberia,nayo Sierra Leone itaweza hatimae kujitoa kwenye janga la machafuko?
Rais na Wabunge wapigiwa kura Sierra Leone
Chaguzi za rais na bunge zinazofanywa hii leo nchini Sierra Leone zinatazamwa kama ni mtihani muhimu kwa demokrasia katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Ushindi kwa Chama cha AKP cha waziri mkuu Erdogan katika uchaguzi wa bunge nchini Uturuki
+Washindi wa uchaguzi huu wa bunge ni wananchi, mustakbali wetu na pia utulivu wa nchi yetu. Ushindi huu hautatufanya tuwe na vichwa vikubwa. Kinyume na hivyo. Ushindi huu unatufanya tuwe na dhamana zaidi. Hatutatetereka na kuachana hata nchi moja na misingi ya jamhuri yetu. Tutafanya kazi zaidi ili Uturuki iwe mwanachama kamili wa Umoja wa Ulaya na kuendeleza marekebisho yetu ya kidimokrasia.+
Mkutano wa wabunge wa kundi la ACP na Umoja wa Ulaya
Mkutano wa wabunge wa Umoja wa Ulaya na wa kundi la nchi 79 za Afrika,Caribbean na Pacifik ulifunguliwa jana mjini Saarbrucken,Ujerumani.
Uchaguzi wa Bunge nchini Ufaransa
Chama cha UPM (union for popular movement) cha Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa kimeshinda katika uchaguzi wa Bunge jana nchini Ufaransa.
Wabunge kupiga kura ya kumchagua rais mpya wa Israel
Shimon Peretz yupo bega kwa bega na spika wa zamani Reuven Rivlin katika kutafuta ungwaji mkono kwenye kinya’nganyiro cha uchaguzi war ais utakaofanyika leo hii.
Serikali ya Kenya imeteua wawakilishi katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
Hatimaye serikali ya Kenya imeteua wawakilishi wake katika Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Wabunge wasusia vikao vya bunge huko Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
Wabunge wa Kivu wamegomea vikao vya bunge hadi serikali itakapohakikisha usalama wa wananchi wa maeneo wanayowakilisha.
Wabunge wanawake wa Tanzania wataka kujijengea imani
Wabunge wanawake katika bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamepewa changamoto kuwa kusimamia hoja zinazotetea maslahi ya wananchi ni muhimu kuliko kuangalia maslahi ya vyama vyao.
Uchaguzi wa Bunge la Algeria.
Leo unafanyika uchaguzi wa bunge la Algeria kuwachagua wabunge 389 katika uchaguzi huu wa mara ya tatu unaoendeshwa katika mfumo wa vyama vingi.
Uchaguzi wa bunge nchini Algeria.
Hofu imetanda upya miongoni mwa wakaazi wa nchi hiyo, kutokana na ghasia za kisiasa, kabla ya uchaguzi wa bunge kesho Alhamisi, huku wengi wakiwa na shaka shaka kama taasisi hiyo inayoonekana kuwa dhaifu kweli itasaidia kuleta utulivu nchini humo.
Ucahguzi wa bunge Syria wakamilika.
Uchaguzi wa bunge la Syria umekamilika hii leo huku ikisemekana kuwa uchaguzi huu haukuwavutia wapiga kura. Wanaharakati wa kisiasa wamekuwa wakiwashawishi raia wa Syriaa kususia uchaguzi kutokana na madai ya ukosefu wa demokrasia.
Bunge la Irak lakutana kwa dharura
Wairak wamedhamiria kutia njiani utaratibu wa kisiasa
Spika wa bunge la Marekani, Nancy Pelosi, aendelea na ziara yake Mashariki ya Kati.
Spika wa bunge la Marekani, Nancy Pelosi, ameendelea na ziara yake ya Mashariki ya Kati ambapo amekutana na Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia. Bi Nancy Pelosi aliwasili mjini Riyadh jana akitokea Syria alikoshauriana na Rais Bashar Al- Assad.
Bunge la Congress kupiga kura leo
Viongozi wa chama cha Democratic nchini Marekani wameapa kuendelea kushinikiza wanajeshi wa Marekani walio nchini Irak waondoke ifikapo mwaka ujao huku mswada wa kuongeza fedha kwa vita nchini Afhanistan na Irak ukipigiwa kura bungeni hii leo. Sambamba na hayo balozi wa Marekani nchini Irak anayeondoka, Zalmay Khalilizad, ameahidi kuendelea kusaidia juhudi za kuleta amani nchini Irak.
Bunge la shirikisho Bundestag launga mkono kutumwa Tornados nchini Afghanistan
Madege sita hadi manane ya kijeshi ya Ujerumani-Tornados yatapelekwa Afghanistan kupeleleza wapi wamejificha taliban
Bunge jipya la Serbia lapinga mpango wa Ahtisaari
Juhudi za kusaka maridhiano ya mzozo wa Kosovo zamwagiwa mxchanga na waserbia
Bunge la Ulaya na CIA
Bunge la Ulaya huko Strassbourg limeidhinisha ripoti inayolaani vikali safari za ndege za siri zilizofanywa katika nchi 14 za Ulaya kuwasafirisha watuhumiwa ugaidi.
Kanzela Merkel ahutubia Bunge la Ulaya
Kanzela wa Ujerumani akiwa wakati huu mwenyekiti wa Umoja wa Ulaya alilihutubia jana Bunge la Ulaya mjini Strassbourg.Alituwama juu ya mada 2 uchafuzi wa hali ya hewa na mzozo wa Mashariki ya Kati.
Bunge la Israeli kuidhinisha rasmi serikali mpya ya Ehud Olmert
Ehud olmert anatarajiwa kuidhinishwa rasmi leo kama waziri mkuu mpya wa israel, na bunge la Israeli na hivyo kumuwezesha kuendelea na mpango wake wa kuchora upya mipaka ya israeli.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 14
Ukurasa unaofuatia