Wabunge wasusia vikao vya bunge huko Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo
30 Mei 2007Matangazo
Hii inakuja siku moja baada ya wabunge hao kususia mkutano ulioitishwa na waziri wa ndani kuhusu kutafuta suluhu ya kudumu kwa ajili ya amani huko Kivu. Hivi majuzi raia wasiopungua kumi na saba waliuwawa na wanamgambo wa FDLR kijijini Kaniola jimboni Kivu Kusini.
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.