You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UNICEF: Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Ripoti ya mwaka inaonyesha Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Rais Buhari: Mwaka mmoja madarakani
Unatimia mwaka mmoja tangu Rais Muhammadu Buhari aingie madarakani Nigeria
Papo kwa Papo
Jeshi la Misri limeyagundua mabaki ya ndege ya shirika la EgyptAir katika bahari ya Meditarrania, msichana wa pili Kati ya waliotekwa na Boko Haram mjini Chibok Nigeria akombolewa na jeshi la nchi hiyo, mwanasiasa wa upinzani DRC Moise Katumbi afunguliwa mashitaka, Taiwan yamuapisha rais wake wa kwanza mwanamke, na Pizza ndefu zaidi yenye urefu wa maili moja yatengenezwa Italia.
Msichana wa pili wa Chibok apatikana
Msichana wa pili mwanafunzi kutoka Chibok amepatikana, baada ya rais Buhari kukutana na mwanafunzi wa kwanza.
Mmoja wa wasichana wa Chibok apatikana
Mmoja wa wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram amepatikana
Hollande: Boko Haram bado ni kitisho kikubwa
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amesema kundi la Boko Haram linasalia kitisho cha usalama
Nigeria yaandaa mkutano kuijadili Boko Haram
Nigeria inakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa utakaojadili mapambano dhidi ya Boko Haram
Rais Buhari amjibu Cameron kuhusu rushwa
Buhari haina haja ya kumtaka Cameron kuomba radhi kuiita Nigeria kuwa nchi fisadi kabisa
Amnesty: Jeshi la Nigeria liliwaua raia 347
Shirika la Amnesty International limesema mara kwa mara jeshi la Nigeria limeshukiwa kukiuka haki za raia
Kuna matumaini wasichana wa Chibok wako hai
Video ya CNN imewaonyesha baadhi ya wanafunzi wa Chibok waliotekwa nyara miaka miwili iliyopita
HRW: Watoto Kaskazini mwa Nigeria wamekoseshwa elimu
Elimu Kaskazini mwa Nigeria yaathiriwa na Boko Haram
Chad yaandaa Uchaguzi Mkuu
Raia wa Chad wamepiga kura kumchagua Rais, huku rais Idriss Deby akiwania awamu ya tano
Kitandawili cha Boko Haram kimezungumziwa
Uturuki yalinyemelea bara la Afrika, kuna nini?
Mkenya ashamirisha migahawa Nigeria
Mwanamke mfanyabiashara kutoka Kenya, Nasra Ali anataka kuwahamasisha wanigeria kuipenda ladha ya kahawa yao, na anaazimia kuendeleza kilimo cha kahawa akishirikiana na wakulima Mashariki mwa nchi hiyo.
Ufanisi mdogo katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
Hakuna ufanisi mkubwa unaoonekana katika ushirikiano kati ya Boko Haram na IS
Jeshi la Nigeria lauwa wapiganaji 26 wa Boko Haram
Boko Harama wauawa baada ya kuvamia kambi ya wakimbizi wa ndani
Bomu la kujitoa muhanga laua 58
Wanawake wawili wajitoa muhanga kwa kujipua bomu na kuua 58
Boko Haram washambulia tena Nigeria
Wanawake wawili wajitoa muhanga na kuwaua watu 58
Kenyatta na Buhari kushirikiana kupambana na ugaidi
Makubaliano hayo yameafikiwa kwenye mashauri kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Muhammadu Buhari wa Nigeria.
Dimba la CHAN kung'oa nanga Rwanda
Michuano ya kinyang'anyiro cha wachezaji wa barani Afrika CHAN inang'oa nanga nchini Rwanda
Buhari: Nigeria iko tayari kuzungumza na Boko Haram
Nigeria imejiandaa kuzungumza na Boko Haram, ili kuachiwa huru wanafunzi 209 wa kike wa Chibok
Nigeria: Vijana wanaoshindana na Google
Vijana wawili wa Nigeria wajitosa katika ulimwengu wa teknolojia na mawasiliano kwa kuunda App ya simu
Mtandao wa intaneti unabadilisha maisha ya watu mjini Lagos
Katika jiji la Lagos zaidi ya teksi 250 sasa zimewekwa mtandao wa intaneti
Changamoto nyingi kwa Rais Muhammadu Buhari
Jimbo la Biafra nchini Nigeria lataka kujitawala baada ya vita vya wenywe kwa wenyewe
Mashambulio ya Paris na Yola
Na ukewenza na faida zake
30 wauwawa Adamawa
Mlipuko wa bomu umewauwa watu 30 katika jimbo la Adamawa, Nigeria
Maisha katika eneo lililochafuliwa kwa mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Miaka 20 tangu kunyongwa Ken Saro-Wiwa
Kumbukumbu ya miaka 20 tangu kifo cha mwanaharakati wa Ogoni, Ken Saro-Wiwa
Ushirikiano kati ya nchi za kusini
Mtawala wa zamani wa kijeshi Nigeria avaa kodi la kidemokrasi
Maoni: Ushindi wenye utata
Tanzania iko kwenye hatari baada ya matokeo kubatilishwa Zanzibar.
Buhari mbioni kutaja Baraza lake la Mawaziri
Buhari mbioni kutaja Baraza lake la Mawaziri
Rais Muhammadu Buhari kuongoza majukumu ya wizara ya mafuta
Rais Muhammadu Buhari kuongoza majukumu ya wizara ya mafuta
Buhari aiomba Ufaransa msaada dhidi ya Boko Haram
Buhari yuko Ufarassa kuomba masaada kupambana na Boko Haram
Nigeria: 'Smart taxis' of Lagos
Kawaida unaweza kuchungulia dirishani, ama ukasoma gazeti huku ukingoja mpaka ufike unapokwenda. Hivyo ndio wetu wengi wanavyoutumia muda wao wakiwa ndani ya teksi. Hata hivyo, katika jiji la Lagos Nigeria, zaidi ya teksi 250 sasa zimewekwa mtandao wa intaneti. Wateja wanaweza kuutumia huku wakiwa wamekwama katika foleni za magari.
Boko Haram wachinja 56 Nigeria
Tangu kuanza kwa uasi wa kundi hilo, watu elfu 20 wamepoteza maisha.
Ni siku 500 tangu kuchukuliwa mateka wasichana wa Chibok
Licha ya shinikizo zinazotolewa dhidi ya serikali, wasichana 219 bado hawajapatikana
Jeshi lawaokoa raia 178 kutoka kwa Boko Haram
Jeshi la Nigeria lawaokoa raia 178 kutoka kwa Boko Haram kaskazini mwa Nigeria
Jenerali Iliya Abbah kuongoza kikosi cha muungano
Kiongozi mpya ateuliwa wa kikosi cha kikanda dhidi ya Boko Haram na huku rais Buhari akutana na rais Biya kwa mazungumzo
Boko Haram yawaua zaidi ya watu 30 Nigeria
Kiasi ya watu 37 wameuawa na wengine zaidi ya mia moja wamejeruhiwa katika miripuko
Nigeria yamtimua kocha Stephen Keshi
Stephen Keshi ametimuliwa na Nigeria kufuatia madai kuwa anatafuta kazi ya kuifunza timu ya taifa ya Cote d'Ivoire
Buhari akutana na viongozi jirani
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari, leo amekutana na viongozi wenzake
Jeshi la Nigeria lashutumiwa na Amnesty International
Jeshi la Nigeria limeshutumiwa na Amnesty International kwa kufanya mauwaji ya zaidi ya watu 8,000
Nigeria yamuapisha rais mpya
Nigeria yamuapisha rais mpya
Rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari aapishwa leo
Rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari aapishwa leo
Wanawake wakombolewa Nigeria
Wanawake wakombolewa Nigeria
Maelfu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Malefu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Indonesia yawauwa wauza unga
Australia yamrejesha balozi wake nyumbani, Brazil yasema imeshtushwa, Mfilipino anusurika dakika za mwisho.
Dadaab yatakiwa ifungwe
Uchaguzi wa Nigeria
Chibok: Donda lisilopona Nigeria
Sasa ni mwaka mzima tangu Boko Haram wawateke nyara wasichana 276 wa Kinigeria huko Chibok na mwandishi wetu Jan-Phillip Scholz anasema leo ni siku ya kutia msumari mmoto kwenye donda bichi.
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Makundi ya waasi yanatumia ghasia za kingono kusambaza hofu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 19
Ukurasa unaofuatia