You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Maandamano ya wanawake Afghanistan sasa hayafanyiki tena
Wanawake nchini Afghanistan wanaopinga kile Taliban inachokisema na kufanya tangu kundi hilo lilipodhibiti madaraka, sas
Maelfu waandamana Marekani kupigania uavyaji mimba
Maelfu ya wanawake wameandamana katika zaidi ya miji 600 nchini Marekani kupinga kampeni ya kuzuia uavyaji mimba.
Mwamko wa wanawake kuhusu saratani ya kizazi ni mdogo
Mwamko wa wanawake kuhusu saratani ya kizazi ni mdogo
Wanawake waendesha mitambo bandarini Mtwara
Makala hii ya wanawake na maendeleo, leo inawaangazia wanawake wanaofanya kazi ya kuendesha mitambo ya kubeba mizigo, katika bandari ya Mtwara, Kusini mwa Tanzania. Msimulizi ni Salma Mkalibala.
Unyanyasaji wa kingono wa wanahabari wanawake
Wapo mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya wengine, kuhakikisha haki zao zinatamalaki na kuwa na jamii ilio salama. Ukweli unsioujua, mioyo yao imechoka dhidi ya unyanyasaji za kingono wanazopitia kutoka kwa watu wanaokutana nao kila siku katika mazingira ya kazi. Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia madhila hayo yanayowakumba waandishi habari wa kike.
Ongezeko la wahandisi wanawake na changamoto zinazowakabili
Makala ya Mwanamke na Maendeleo ya idhaa ya Kiswahili ya DW inaangalia ongezeko la wahandishi wanawake nchini Tanzania pamoja na changamoto ambazo bado zinawakabili.
Wanawake wajifunza kuogelea kwa kuokoa maisha ya wengine
Zanzibar, nchi ya visiwa katika upande wa mashariki mwa Afrika, imezungukwa na Bahari ya Hindi. La ajabu ni kuwa, licha ya kwamba wakaazi wake wanaitegemea bahari kwa sehemu kubwa ya maisha yao, wengi wao hawajui kuogolea.Lakini wanawake hawa katika kisiwa kidogo cha Uzi wanajitolea kuwasaidia watu kujifunza kuogelea na kuokowa maisha yao na ya wenzao. Sikiliza makala hii ya Mohammed Khelef.
Rais Samia akutana na wanawake kwenye siku ya Demokrasia
Maoni tofauti kuhusiana na hali ya demokrasia nchini Tanzania hasa kutokana na kuendelea kubanwa kwa vyama vya siasa.
Hofu ya wanawake nchini Afghanistan kuhusu Taliban
Makala ya Wanawake na Maendelea safari hii inaangazia hofu ambayo imewagubika kina mama nchini Afghanistan baada ya wapiganaji wa Taliban kuchukua mamlaka. Je hofu hiyo inatokana na nini? Zainab Aziz anasimulia zaidi.
Juhudi za wanawake katika kuwasaidia wasichana kujiendeleza
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Lilian Mtono anazungumzia wanawake wanaoshughulika moja kwa moja na wasichana wanaoshindwa kuendelea na masomo ama baada ya kuachishwa kinguvu au kukosa fursa, na wao sasa wanawafungulia mlango mwingine wa matumaini.
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Kutana na mwanamke mwendesha mitambo bandarini Mtwara
Kazi yake imekuwa na manufaa makubwa kwake na familia yake licha ya kuwepo kwa changamoto ndogondogo na kama ilivyo kwa kazi nyingine, nayo kazi ya kuongoza mitambo inahitaji umakini.
Khadija Jillo - Mwanamke aliyerejea shule akiwa na miaka 54
Makala ya Wanawake na Maendeleo, inammulika Khadija Jillo mwanamke aliyerudi shuleni alipokuwa na umri wa miaka 54.
Wanawake CHADEMA wadai kutendewa vibaya mahabusu
Baraza la Wanawake la CHADEMA limelishutumu jeshi la polisi kukiuka haki za baadhi ya wanawake nchini Tanzania.
Wanawake wa Goma wanateseka baada ya mlipuko wa volkano
Maelfu ya wanawake kutoka mjini Goma, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, wanaoishi katika kambi za hifadhi wanakabiliwa na changamoto nyingi baada makazi yao kuteketea kwa lava ya volkano ya Nyiragongo tarehe 22 Mei.
Wanaharakati waonya unyanyasaji wa wanawake, Pakistan.
Pakistan ni moja ya mataifa yaliyo na kiwango kikubwa zaidi cha unyanyasaji dhidi ya wanawake ulimwenguni.
Mawaziri wa IGAD waazimia wanawake kumiliki ardhi
Mawaziri wa Jumuiya ya nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika, IGAD, wameazimia kuwawezesha wanawake kumiliki ardhi.
UN: Wanawake na watoto waliuwawa zaidi Afghanistan
Wanawake na watoto zaidi waliuawa na kujeruhiwa nchini Afghanistan katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021.
Visa vya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake Tanzania
Jeshi la polisi Tanzania limekiri kuwepo na matukio ya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake.
Mwanasiti mfanyabiashara ngangari
Ukakamavu umemuwezesha kufungua biashara mbili katika muda mfupi na sasa ni muajiri.
Macron: Wanawake wameathirika zaidi na COVID-19
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema wanawake ndiyo wameathirika zaidi na janga la virusi vya corona.
Vazi la shingoni kwa wanawake wa Kimaasai
Tuangazie kidogo kuhusu utamaduni wa wamaasai haswa vazi maalum la wanawake ambalo aghalabu wao huvaa shingoni. Umuhimu wake ni upi? Veronica Natalis anasimulia zaidi. #kurunzi
Wanawake wavuvi
Shughuli ya uvuvi ilikuwa inafanywa sana na wanaume, kwa kuwa ilionekana kana kwamba wanawake hawaiwezi shughuli hiyo. Lakini hali kwa sasa imebadilika na wanawake wamejiingiza kikamilifu kwenye shughuli hii. Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo uwasikie wakizungumzia hatua hii.
Museveni ateua wanawake zaidi katika Baraza lake la Mawaziri
Wanawake zaidi wajumuishwa katika Baraza la Mawaziri Uganda
Mwanadada mwanaharakati asotetereka Ghana
Bila shaka kupiga hatua katika jamii ya kihafidhina ya Ghana iliyotawaliwa na mfumo dume, ingekuwa kazi ngumu. Lakini Akosua Nana Hanson hakuingiwa wasiwasi na hilo. Lengo lake lilikuwa ni kuyakiuka mazoea hayo. Kutumia mbinu zake kutetea usawa wa haki, Hanson anaikaribisha hatua nyingine ya utetezi nchini mwake.
DW Michezo
MICHEZO
Tanzania: Hatua ya kutolewa nje mbunge yakosolewa
Hii ni baada ya mbunge mwanamke kutolewa bungeni na spika wa bunge kwa madai mavazi yake yalikuwa hayana staha.
Wanawake wengi Tanzania watumia tumbaku
Hatua hiyo inatajwa kuathiri kwa kiwango kikubwa afya za watoto Tanzania hasa walio chini ya umri wa miaka mitano
Wanawake na wanafunzi waandamana kutaka amani Beni
Wanafunzi wa shule za msingi pamoja na sekondari wamekusanyika kwenye ofisi ya Meya wa mji wa Beni nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na wamesema wataendelea kubakia mahala hapo hadi rais Félix Tshisekedi atakapokwenda mjini humo. Wakati huohuo wanawake wa mji huo pia wameandamana kutaka amani
Umoja wa Mataifa wasikitishwa na mzozo wa Tigray
Hii ni taarifa ya kwanza kwa baraza hilo kuichapisha tangu kulipozuka mzozo huo mwishoni mwa mwaka jana.
Msichana aliyeozwa kwa lazima utotoni hatimaye aolewa na chaguo lake
Nchini Ghana wasichana wengi huozwa kwa lazima kusaidia familia zao kuepuka hali ngumu za kifedha. Lakini wasichana hao wenye umri mdogo, hulazimika kuacha masomo, na wananyanyaswa kwenye ndoa.
UNFPA-Mamilioni ya wanawake hawana maamuzi na miili yao
Hii ni ripoti iliyochapishwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na idadi ya watu UNFPA.
Huduma duni za afya ya uzazi zawakwaza wanawake wakimbizi
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Emmanuel Lubega anaangazia jinsi kina mama ni wapambanaji katika kukidhi mahitaji yao binafsi na ya familia zao, na jinsi kukwazwa kwao na masuala kama huduma duni za afya ya uzazi khuathiri maendeleo yao kimapato.
Kwanini ulimwengu umewaangusha wanawake kwa kiasi kikubwa?
Kwanini ulimwengu umewaangusha wanawake kwa kiasi kikubwa?
Kutana na wanawake wakulima wa Azolla mjini Mtwara
Christina Mbele na Elizabeth Erick ni wanawake wanaotumia muda wao katika kilimo cha Azolla. Azolla ni mmea ambao ni chakula cha mifugo na rahisi kulimwa, kilimo hiki kinatumia eneo dogo, hukua haraka na kuvunwa kila baada ya siku 2-3 tu.
Samani na mapambo kutokana na matairi makuukuu
Kwa kutumia taka mbalimbali ambazo zingedhuru mazingira, Josephine na kundi lake la wanawake bila shaka wanatoa mchango mwingine katika kuboresha mazingira. Kutokana na matairi makuukuu na taka nyinginezo wanatengeneza mapambo, samani na vitu vingine. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi
Wanawake Tanzania wapongeza kuapishwa kwa Samia Suluhu
Kuapishwa kwa Bi Samia Suluhu kuwa Rais wa Tanzania kumepongezwa na wengi hasa wanawake wenzake nchini humo.
Hamisa Zaja mwanaharakati mjini Mombasa
Hamisa Zaja, mwanamke anayeishi na ulemavu kutoka Mombasa, pwani ya Kenya ni mtetezi wa haki za binadamu anayepambana kumaliza ubaguzi nchini kenya na kwingine
Jinsi janga la Corona lilivyoathiri maendeleo ya Wanawake
Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake ya mwaka huu, janga la virusi vya corona lilitajwa kuleta athari mbaya zaidi kuelekea wanawake na ndio maana Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii, inaangazia jinsi vizingiti vya kuzuia maambukizi ya corona, vilivyorudisha nyumba maendeleo ya usawa wa kijinisia yaliyokuwa yamepigwa mpaka sasa. Harrison Mwilima anasimulia.
Maoni: Siku ya Wanawake haina mengi ya kuadhimisha Afrika
Machi 8 ni siku ya kimataifa ya wanawake. Lakini hakuna mengi ya kusherehekea Africa, anaadika Mimi Mefo.
Wanawake Zimbabwe wapambana dhidi ya ubaguzi wa kijinsia
Kwenye karatasi, Zimbabwe ina sheria zinazohakikisha haki za wanawake. Lakini ukosefu wa utekelezaji unawaacha njiapanda
Covid huenda ikasababisha mamilioni ya ndoa zaidi za utotoni
Covid-19 imeifanya hali ambayo tayari ni ngumu kwa mamilioni ya wasichana kuwa mbaya zaidi.
Virusi vyaua wanaume wengi kuliko wanawake, Afrika
Wanawake wanaonekana kuathiriwa kijamii zaidi na janga hilo kuliko kiafya
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Dahomey
Ufalme wa Dahomey wakati mmoja ulikuwa maarufu Afrika Magharibi. Hilo ni kutokana na ushujaa wa kikosi chake cha kike.
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Dahomey
Amazons: Kikosi cha wanawake cha Ufalme wa Dahomey
Ni ukweli usiopingika kwamba Ufalme wa Dahomey uliokuwa ukitawala kati ya karne ya 17 hadi ya 19 katika eneo lijulikanalo leo hii kama Benin, uliweza kustawi kutokana na kikosi cha mashujaa wa kike kilichoitwa Dahomey Amazons.
Upangaji uzazi
Upangaji uzazi ni muhimu ili uweze kuihudumia familia yako vyema. Hukuwezesha kiyakimu mahitaji ya familia bila ya shinikizo. Lakini je watu wote wana ufahamu kuhusu umuhimu wa kupanga uzazi? Kwenye vidio hii ya Kurunzi Afya, tunajibu hilo swali na mengine mengi.
Vijana washabikia Chama cha Wanaume Bahili
Kwenye mitandao ya kijami kulivuma picha za vitu vinavyofanana na vitambulisho, ambavyo vina picha ya mtu, na maelezo kumhusu. Kitambulisho hicho kimeandikwa Stingy Men Association yaani Chama cha Wanaume Bahili. Nini chanzo cha vuguvugu hili ambalo lilikuwa limeiteka kabisa mitandao ya kijamii na kuibua mijadala miongoni mwa vijana.
Msichana Jasiri: Msichana mchuuzi wa maji Dar Es Salaam
Mtaji wa shilingi 2600 imemuongezea thamani ya upambanaji Katika biashara yake ya kuuza maji Katika foleni za jiji kuu la kibiashara Tanzania. Je wewe unaeza kufanyia nini shilingi 2600 za Tanzania, endapo uko nchini humo? Tazama video hii ya Msichana Jasiri, mtangazaji chipukizi Hadija Halifa akujuze zaidi
Rais Kenyatta awahimiza wanawake kujitosa katika biashara
Viongozi na wakuu wa Umoja wa Afrika wamewahimiza wanawake barani Afrika kujitosa katika sekta ya biashara.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 17
Ukurasa unaofuatia