SiasaAfrikaMawaziri wa IGAD waazimia wanawake kumiliki ardhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAfrikaRashid Chilumba29.07.202129 Julai 2021Mawaziri kutoka mataifa ya Jumuiya ya nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika, IGAD, wamepitisha maazimio ya pamoja ya kumwezesha mwanamke wa Kiafrika kuwa na haki ya kumiliki ardhi. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Reuben Kyama.https://p.dw.com/p/3yF0rMatangazo