You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Euro 2022: Ujerumani yafuzu kuingia kwenye robo fainali
Jana ilikuwa zamu ya kundi B kucheza mechi zake kwenye mashindano ya kandanda yanayoendelea huko England.
Vijana Mubashara: Kwanini wanawake hulaumiwa kwa ugumba?
Sylvia Mwehozi anawauliza vijana kwanini wanawake hulaumiwa kwa ugumba katika ndoa?
Wanawake wasionyonyesha kwa miezi sita wanaongezeka duniani
Ni asilimia 44 tu ndio hunyonyesha hadi miezi sita baada ya kujifungua, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Wachezaji wa zamani watumai kuipa Ujerumani ushindi
Taifa hilo limeshuka viwango hivyo kwenye michezo, baada ya mataifa mengine kuchukua ushindi.
Michuano ya kombe la EURO kwa wanawake kuanza England
Michuano hii ilikuwa ifanyike mwaka uliopita lakini ikaahirishwa kutokana na janga la corona.
Bachelet aataka haki za wanawake ziheshimiwe Afghanistan
Bachelet aataka haki za wanawake ziheshimiwe Afghanistan
Atumia usafiri wa farasi kutokana na ongezeko la bei ya mafuta
Katika Wanawake na Maendeleo, tunamulika mwanamke mmoja wa jimbo la Hesse magharibi mwa Ujerumani ambaye anamiliki mifugo ya farasi, na sasa ameacha kutumia usafiri wa gari lake na kuanza kutumia usafiri wa farasi ili kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta
Wanawake watakiwa kujisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi
Siku mbili kabla ya mkutano wa kilele wa marais wa nchi za jumuiya madola kufanyika Kigali Rwanda, umefanyika mkutano mkuu wa wanawake viongozi kutoka nchi za jumuiya hiyo ya madola. Wanawake wamewataka wanawake wenzao kujiamini na kuhakikisha wanajisogeza katika nafasi za kutoa maamuzi. Sikiliza ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali.
LHRC: Bajeti ya Tanzania imeacha pengo la usawa wa kijinsia
Uchambuzi uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania kuhusu bajeti mpya ya serikali nchini humo, unaonyesha kwamba licha kwa kiasi kikubwa bajeti hiyo kuyagusu maeneo mengi muhimu, imeacha pengo kubwa la usawa wa kijinsia. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Dar es Salaam George Njogopa.
Makala ya Wanawake na Maendeleo
Leo tunamuangazia mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Living Together Autistic Foundation (Li-Tafo) nchini Tanzania ambayo inajihusisha na kuwasaidia watu wenye usonji walio na kipato cha chini. Mhandisi Shangwe Mgaya alianzisha taasisi hiyo baada ya kupata mtoto mwenye usonji na hata baadaye kupewa talaka na mumewe. Mtayarishaji wa Makala hii ni Neema Misheki.
HRW yaitaka Afrika kulinda haki za wasichana na wanawake
HRW yaitaka Afrika kukomesha Unyanyasaji wa Haki dhidi ya Wasichana
Atumia usafiri wa farasi kutokana na ongezeko la bei ya mafuta
Nakukaribisha tena katika makala ya wanawake na maendeleo. Leo tunaangazia kuhusu mwanamke mmoja aliyepo jimbo la Hesse magharibi mwa Ujerumani ambaye anamiliki mifugo ya farasi, pia ni mkufunzi wa farasi, na sasa ameacha kutumia usafiri wa gari lake na kuanza kutumia usafiri wa farasi ili kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta. Sikiliza makala ya Wanawake iliyoandaliwa na Neema Misheki.
Ajuza Mkenya athibitisha elimu haina mwisho
Wanafunzi darasani wanafurahia kusoma na ajuza.
Nchi zinazotambua likizo ya hedhi kwa wanawake
Mei 28 kila mwaka ni siku ya hedhi duniani. Pamoja na changamoto nyingine wanawake wengi hupatwa na maumivu makali.
Wanasiasa wanawake DRC wakabiliwa na changamoto lukuki
Wanasiasa hao walisema hayo katika mkutano wa pamoja kujadili namna ya kufikia lengo la usawa katika uwakilishi.
Mwanamke mshona viatu Dar es salaam
Ni wazi usawa wa kuchagua kazi unaanza kushuhudiwa ukipungua katika mataifa mengi ulimqwenguni.Jijini Dar es salaam Tanzania, mwanamke ameamua kutoka nyumbani kuwa tegemezi hadi kwenda katika kati ya jiji na kushona,kuosha na kupiga rangi viatu. Anajivunia kazi yake.
Patricia: Apambana kuwawezesha wanawake kiusalama
Kila kukicha kwenye vyomba vya habari hutaacha kusiakia habari ya mwanamke alieumizwa, ikiwa ni kubakwa, kunyang'anywa mali na hata kudhulumiwa, hatua hii inampa sababu Patricia kutoa mafunzo kwa wanawake kujihami, lengo ni kubadili dhana kuwa mwanamke hawzi kujihami.
Wanawake 23 wafa maji Sudan
Viongozi wa Sudan wasema wanawake 23 wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama Mto wa Blue Nile.
Mfahamu mwanadada anayejipatia kipato kwa biashara ya mauwa
Kumekuwa na manunguniko kati ya watu wengi wakiwaza watatumia njia gani kutengeneza fedha,lakini Alisa Mushagalusa Rachel anajijengea pesa katika mji wa Bukavu,jimboni Kivu ya Kusini kutokana na biashara ya mauwa. #kurunziwanawake
Taliban yazuia wanawake kusafiri pake yao.
Hii ni hatua kali ya karibuni inayokiuka haki za binaadami dhidi ya wanawake nchini humo tangu Taliban iliporejea.
Ubakaji wa wanawake bado ni tatizo Kivu Kaskazini
Vitendo vya ubakaji vyaongezeka Kivu Kaskazini
Mke wa Rais Zanzibar katika kutatua changamoto za wanawake
Katika kutatua changamoto zinazomkabili mwanamke wa Zanzibar, mke wa Rais Mwinyi, Bi. Maryam Mwinyi amefungua taasisi itakayoshughulikia changamoto hizi ili kuleta ustawi kwa wanawake hao.
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani
Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani
Janga la Covid-19 limepora haki za wanawake na wasichana
Janga la Covid-19 limepora haki za wanawake na wasichana
Maoni: Siku ya Wanawake Duniani
Ungana na Grace Kabogo katika kipindi cha Maoni akiiangazia Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wameathirika zaidi katika utawala wa Taliban
Hata hivyo uchumi wake uliotegemea kwa kiasi kikubwa msaada kutoka nje sasa unaelekea kuporomoka.
Ethiopia: Wapiganaji wa Tigray walaumiwa kwa ubakaji
Amnesty International imesema ushahidi juu ya uhalifu huo umetolewa na wanawake 30 waliobakwa katika jimbo la Tigray.
Wanawake waliovikwa taji la nguvu duniani mwaka 2021
Katika makala hii ya wanawake na maendeleo, tunawaangazia wanawake waliovikwa taji la kuwa wanawake walio na nguvu duniani mwaka 2021. Je, ni kwanini wamevikwa taji hilo na mchango wao ni upi katika jamii wanakotoka? Amina Abubakar na mengi zaidi.
Taliban wayasifu mazungumzo ya Oslo
Mikutano hiyo inatarajiwa kugusia kila kitu kuanzia elimu hadi msaada wa kibinadamu na kutaka watu wote wajumuishwe.
Taliban na Magharibi waijadili hali nchini Afghanistan
Afghanistan inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kibinaadamu na hasa njaa kali kutokana na hali ngumu ya uchumi na ukame.
Je, Tanzania ina mwelekeo mpya sasa?
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwa kiongozi anayewaamini wanawake katika nyadhifa mbali mbali za uongozi nchini Tanzania. Hii ni tafsiri iliyojitokeza na kuibua mijadala baada ya rais huyo kupitisha jina la naibu Spika wa bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwa mgombea wa nafasi ya spika. Je ni mwelekeo mpya? Saumu Mwasimba amejadili na mchambuzi wa kisiasa Profesa Benson Bana.
Refa mwanamke wa soka kutoka Ghana
Kitaaluma yeye ni fundi wa vifaa vya maabara. Lakini yeye pia ni refa wa soka kutokana na mapenzi yake. Tangu zamani Audrey Atampugbire alipenda kuwa uwanjani licha ya kuwa ni jambo la nadra kuwaona wanawake refa uwanjani Ghana. Audrey anafanya juu chini kuondoa ghana kwamba soka ni mchezo wa wanaume na tayari wasichana wengine wameanza kufuata nyayo zake. #VijanaMubashara #77Asilimia
UN: Watetezi wa amani wanawake wana hali mbaya kiusalama
Wanawake wanaotafuta kuchagiza, kudumisha amani na kulinda haki za binaadamu wanakabiliwa na hali mbayaya usalama
Roberta Metsola spika mpya wa Bunge la Ulaya, ni nani?
Mwanasiasa wa kihafidhina wa Malta, Roberta Metsola ndiye spika mpya wa Bunge la Ulaya. Anawasilisha nini?
Wanawake wanaopambana na uzito wa kupita kiasi kwa kunyanyua vyuma Togo
Uzito wa kupita kiasi unawakumba watu na unazidi kuongezeka hasa miongoni mwa wanaofanya kazi ofisini na kukosa nafasi ya kutembea. Mjini Lome Togo, mkufunzi wa mazoezi ya kunyanyua vyuma Mercy Tchwalla anawapa kina mama wanaokabiliwa na tatizo hilo mafunzo na mazoezi ya namna ya kulikabili. Tazama kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia
Maelfu ya wasichana, wanawake walitekwa Msumbiji-Ripoti
Human Right Watch yasema waasi nchini Msumbiji waliteka waliwateka nyara mamia ya wasichana na wanawake
Taliban watoa amri ya kuheshimu haki za wanawake
Taliban watoa amri ya kuheshimu haki za wanawake
Kutana na wasichana wanaotengeneza matofali Kampala
Licha ya kuwa wamehitimu shahada ya ualimu katika chuo kikuu, wasichana hawa kutoka Kampala Uganda wameamua kujitosa katika ujasiriamali. Wanatengeneza matofali ambayo hayahitaji kuchomwa kwa moto. Lubega Emmanuel anaangazia juhudi zao kwenye video yetu ya #KurunziWanawake.
Kina baba wahimizwa kuwapeleka watoto kliniki
Kuwashawishi wanaume kuandamana na wake zao kuwapeleka watoto kliniki imekuwa kibarua kigumu kwa kliniki nyingi. Lakini kliniki moja kaskazini mwa Ghana imepata njia na tayari inazaa matunda.
Ripoti: Wanawake na watoto 58 waliuliwa nchini Kenya
Ripoti mpya nchini Kenya yasema wanawake 58 na watoto waliuliwa kati ya mwezi Januari hadi Oktoba mwaka huu.
Ulimwengu kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Ulimwengu waelekea kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Je ni wakati wa kuzungumzia masuala ya uzazi kwa uwazi?
Je unadhani ni wakati sasa wa kuzungumzia kwa uwazi masuala yahusuyo uzazi ama masuala haya yaendelee kuwa siri? Tizama video hii kisha nipatie maoni yako.
Wapiganaji wa Tigray walibaka, kupora na kuwapiga wanawake
Wanawake 16 kutoka Nifas Mewcha waliiambia Amnesty kuwa walibakwa na wapiganaji wa TPLF wanaopigana dhidi ya serikali.
Kikosi cha kina dada pekee Kenya kinachowahudumia wanyama pori
Ni kikosi kinachoitwa Team Lioness. Kinawajumuisha kina dada na wanawake pekee katika kuwahudumia wanyama pori nchini Kenya. Licha ya ukali wa wanyama pori pamoja na hatari iliyoko, wamejifunza na hizo si hofu kwao. Je misukumo yao ilitokana na nini? Wanamudu vipi kazi yao na kupiku changamoto zilizopo? Thelma Mwadzaya na mengi zaidi.
Bendi ya wanawake pekee Dar es Salaam
Bendi ya wanawake Bahati huwajumuisha wanawake 15. Wenyewe ndio huimba, hupiga ala za muziki ikiwemo gitaa, na kusakata rumba wanapotumbuiza katika kumbi mbalimbali ndasni na nje ya nchi. Wanasema lengo lao ni kukuza vipaji vya wanawake na wasichana wengine. #KurunziWanawake
Ulaya bado inajikongoja masuala ya usawa wa jinsia
pengo kubwa bado lipo kwa wanawake kushika nafasi za uongozi ama mamlakani.
Nini maana ya kuwa mwanaume wa Kiafrika katika karne ya 21?
Ni aina gani ya shinikizo zinazowakumba wanaume? Na ni vipi tunaweza kueleza maana ya uanaume katika ulimwengu wa kisasa. Kuwa mwanaume wa kisasa barani Afrika huja na matarajio na shinikizo chungu nzima. Kikosi cha Televisheni ya DW kilikuwa katika mitaa ya Nairobi na kuzungumza na wanaume. Karibu katika Vijana Mchakamchaka, ukiwa na Bruce Amani.
UN: Wanawake, watoto wako hatarini katika vizuizi vya Libya
UN yaonya wanawake na watoto wako hatarini katika vizuwizi vya Libya
Kaptein mwanamke anayeendesha kivuko Mtwara Tanzania
Makala hii ya Wanawake na Maendeleo inamwangazia Kapteini mwanamke anayeongoza kivuko na boti za haraka mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania. Makala imeandaliwa na Salma Mkalibala.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 17
Ukurasa unaofuatia