You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Usawa wa kijinsia
Usawa wa Kijinsia ni hali ya uapatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mtandao wa Mashirika 22 nchini Tanzania, watoa mapendekezo kuhusu ukeketaji
TANZANIA
Wanawake, watoto waregeshwa kutoka kambi ya itikadi kali
Ufaransa yawarejesha nyumbani wanawake na watoto kutoka kambi ya itikadi kali
Umoja wa Mataifa wazuru Afghanistan
Mjumbe huyo wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa anazuru Afghanistan na atakutana pia na maafisa wengine mjini Kabul.
Wajumbe wa UN wawasili Kabul kushinikiza haki za wanawake
Wajumbe wa Umoja wa Mataifa wamewasili Kabul kwa mazungumzo na Taliban na kushinikiza haki za wanawake na wasichana.
Burkina Faso yawatafuta wanawake 50 waliotekwa
Juhudi zaendelea kuwatafuta takriban wanawake 50 waliotekwa nyara na washukiwa wanamgambo wa Jihad nchini Burkina Faso.
Ushiriki wa wanawake kwenye uchimbaji madini Vihiga Kenya
Katika baadhi ya jamii, baadhi ya kazi zinahusishwa zaidi na makundi fulani ya watu mfano kazi nzito zinahusishwa zaidi na wanaume.Hata hivyo, hali inazidi kubadilika wanawake kadhaa wakijitokeza kuendesha shuguli sawa na wanaume kwenye migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Magharibi mwa Kenya. Makala ya wanawake na maendeleo inamulika harakati zao na mwandaaji ni Musa Naviye
Wanawake wa migodi ya dhahabu ya Vihiga Kenya
Sikiliza makala iliyotayarishwa na Musa Naviye kuhusu wanawake wanaoendesha shughuli sawa na wanaume kwenye migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Magharibi mwa Kenya.
Haki za wanawake zinavunjwa makusudi
Wanawake kote ulimwenguni wamekuwa wakinyimwa haki zao kutokana na hatua mbalimbali zinazowaminya.
Wanawake na Maendeleo: Wanawake na kilimo cha Mwani Zanzibar
Makala ya Wanawake na Maendeleo inatizama jinsi kilimo cha Mwani kinavyowasaidia wanawake kiuchumi Zanzibar
Kazi ni kazi, haina mwenyewe!
"Hapa kazi tu", pengine ndivyo anavyosema mwanamama huyu anayeongoza uzalishaji kwenye kiwanda cha chaki. Kuna mengi ya kujifunza hapa. Tafadhali tizama video hii kwanza, kisha utuambie. #Kurunzi.
Taliban yaombwa kubatilisha zuio la wanawake kufanya kazi
Wanawake wa Afghanistan wanakabiliwa na vizuizi mba7limbali tangu Taliban waliporejea madarakani Julai mwaka jana.
Ipi hatma ya wanawake nchini Afghanistan chini ya Taliban?
Kundi la Taliban lilipiga marufuku wanawake kufanya kazi katika mashirika yasiyo ya kiserikali.
UN:Taliban ibadili misimamo yake dhidi ya wanawake
hatua hiyo imechukulia baada ya watawala wa Taliban kuweka mkururo wa vikwazo dhidi ya wanawake.
Maoni: Mwaka 2022 ulikuwa wa wanawake
Wanawake wameonekena kupambana moja kwa moja na changamoto zilizowakabili kwa kuungana mkono kwa namna mbalimbali.
Afya Yako: Ongezeko la virusi vya HIV miongoni mwa wanawake
Kaunti zilizoathirika zaidi ni Nairobi, Kisumu, Homabay, Siaya, Migori, Nakuru, Mombasa, Kakamega, Kisii na Uasin Gishu
Uturuki yaitaka Afghanistan kutengua uamuzi wake
Marekani na Uingereza zimetoa matamshi makali ya kulaani uamuzi huo wa Taliban
Taliban yawazuia wanawake kujiunga na elimu ya juu
Balozi wa Uingereza kwenye Umoja wa Mataifa amesema agizo hilo linaashiria uminyaji mkubwa wa haki za wanawake
Taliban yazuia wanawake kujiunga na vyuo vikuu
Taliban iliahidi kulegeza misimamo yake dhidi ya wanawake lakini imekiuka ahadi zake kwa kuchukua hatua kali kila wakati
Wanawake Afghanistan waandamana mjini Kabul
Siku ya Kimataifa ya kutokomeza kkatili dhidi ya wanawake huadhimishwa duniani kote Novemba 25.
Umewahi kujifunza kupitia vikaragosi?
Umewahi kujifunza kupitia vikaragosi?
Kampeni ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake yaanza
Wanawake wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wahisi vita vinachangia pakubwa kuharibu zaidi hali ya mambo.
Maendeleo ya Wanawake wa Pemba
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo tutakupeleka hadi kaskazini kwa kisiwa cha Pemba ambapo huko utapata kusikia maoni ya wanawake wanavyonufaika na miundombinu ya barabara kuzifikia huduma za afya, masomo, sheria pamoja na wajasiriamali kuyafikia masomo ya mijini ambapo kwa miaka mingi wanawake walikosa huduma hizo.
Jinsi wanawake walivyogeuzwa shabaha ya wapiganaji Kongo
Maelfu ya wanawake na watoto wameyakimbia makaazi yao kwenye eneo hilo kutokana na kuandamwa makusudi na wenye silaha.
Waamuzi wa kike Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza
Waamuzi wanawake watakaosimamia mechi kwa mara ya kwanza kabisa katika Kombe la Dunia, nchini Qatar wanasema wamechaguli
Kifua kikuu chawatesa wanaume kuliko wanawake nchini Kenya-Ripoti
Ripoti ya utafiti mpya uliofanyika nchini Kenya, imeonyesha kuwa theluthi mbili ya watu wanaougua kifua kikuu (TB) nchini humo ni wanaume. Sababu mojawapo ya hali hiyo, ni kuwa wanaume hupenda kujumuika kuliko makundi mengine katika jamii. Serikali ya nchi hiyo imeelekeza juhudi katika kuwakinga wanaume na ugonjwa huo na mengine kadhaa yanayowaandama.#Kurunzi Afya
Wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha Alizeti Babati
Makala ya wanawake na Maendeleo hii leo inaumulika umoja wa vikundi vya kinamama wanaolima zao la Alizeti kutoka wilaya ya Hanang; Mkoani Manyara kaskazini mwa Tanzania, umoja ulioanzishwa takribani miaka mitano iliyopita, je ni yapi mafanikio ya umoja huo, ungana mani Veronica Natalis katika Makala hii.
Kenya: Idadi ya majaji wanawake yaongezeka
Idadi ya majaji wanawake imefikia 81 ikilinganishwa na wanaume 91.
Wanawake wanaotumia taka kuzalisha gesi
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo leo hii mwandishi wa DW Tatu Yahaya anaangazia namna ambayo kikundi cha wanawake wanaozikusanya taka zitokazo vyooni (kinyesi cha binadamu) kuzalisha Gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani. Sikiliza makala haya.
Juhudi za kuwapa wanawake nafasi zaidi serikalini Kenya
Makala ya wanawake hii leo inaangazia juhudi za kuiongeza idadi ya wanawake katika uongozi wa ngazi ya juu nchini Kenya. Kenya inaunda serikali yake mpya ya bunge la 13 na idadi ya wanawake kwenye ngazi ya juu imeongezeka. Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2022, Rais William Ruto aliahidi kuwatengea wanawake nusu ya nafasi kwenye baraza lake la mawaziri. Thelma Mwadzaya anamulika zaidi.
Mamilioni ya watoto,wanawake hatarini Yemen
Umoja wa Mataifa unasema ufadhili kuhusu Yemen umepungua ikilinganishwa na msaada uliohitajika
Benzema ashinda tuzo ya "Ballon d´Or"
Karim Benzema awapiku Mane na Lewandowski
Matatizo ya afya na njaa kwa wanawake yajadiliwa Burundi
Umoja wa Mataifa umewataka washiriki kuchunguza sababu zinazo pelekea matatizo ya afya na njaa kwa wanawake na watoto.
Zaidi ya 75 waandamanaji wauawa Iran
Maandamano haya yalichochewa na kifo cha msichana wa miaka 22, Mahsa Amini baada ya kukamatwa na polisi wa maadili.
Iran Human Rights: Watu 31 wauawa kwenye maandamano Iran
Taarifa hiyo imetolewa Jana na Shirika la kutetea haki za binaadamu la Iran Human Rights (IHR).
Raisi aonya waandamanaji nchini Iran
Haya ni maandamano makubwa kushuhudiwa nchini Iran tangu ya mwaka 2019.
Wanawake wanaweza
Wanawake wanaweza
Ushirika wa Wanawake wa Nronga
Makala ya Wanawake na Maendeleo ya DW inatazama maendeleo yaliyofikiwa na ushirika wa wanawake wa kijiji cha Nronga kilichopo Machame, wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambacho kimejikita katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Wanawake wamshinikiza Ruto kutimiza ahadi ya usawa wa jinsia
Mchango wa wanawake haujapewa uzito kwenye maamuzi na juhudi nyingi za ujenzi wa taifa
UN: Mamilioni ya watoto,wanawake wapo hatarini Pakistan
Hayo yamesemwa kufuatia mvua kubwa ambazo zimesababisha mafuriko makubwa yalioathiri zaidi ya watu milioni 33
Uraibu wa mihadarati miongoni mwa wanawake Afghanistan
Katika makala ya wanawake na maendeleo leo, yanayojadiliwa ni masuala na matukio yanayowahusu akina mama duniani kote. Na wiki hii Zainab Aziz analiangalia suala la jinsi akina mama wa Afghanistan wanavyolikabili tatizo la uraibu wa mihadarati nchini humo.
Kurunzi Wanawake-Halima Rashid
Sio jambo la kawaida katika sehemu ya ujenzi kumkuta mwanamke anayeendesha na kufanya shughuli katika mitambo mikubwa ya ujenzi. Lakini Halima Rashid anaifanyia kazi, hiyo hiyo na anaamini wanawake wengi zaidi watajitokeza. Ndiye tunayemuangazia kwenye makala yetu ya Kurunzi Wanawake.
Ghasia dhidi ya wanawake wanaowania viti vya siasa Kenya
Wanawake wanaowania baadhi ya viti vya siasa Kenya wakumbwa na ghasia.
Ujerumani kuvaana na Engalnd fainali ya Euro
Ujerumani imeichapa Ufaransa mabao 2-1 katika mchezo wa pili wa nusu fainali na kujikatia tiketi ya fainali
DW Michezo: Wanariadha wavunja rekodi mjini Eugine
Rekodi za dunia zavunjwa wakati mashindano ya riadha ya dunia yakimazilika mjini Eugine Marekani // Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya - Euro 2022 kwa wanawake yanaingia nusu fainali, Je nani atatinga fainali ya Wembley? Msikilize Bruce Amani
Euro 2022 kwa wanawake yatinga nusu fainali
England watakabana koo na Sweden wakati Ujerumani wataangushana na Ufaransa kutafuta tiketi ya kucheza fainali Wembley
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya
Sweden yatinga nusu fainali kandanda la wanawake Ulaya baada ya kuibamiza Ubelgiji bao 1-0.
Ujerumani yatinga nusu fainali Euro ya wanawake
Timu ya taifa ya Ujerumani ya kandanda la wanawake imetinga nusu fainali ya michuano ya Euro 2022 kuibamiza Austria 2-0.
Kutana na Jamila Kizondo, mchekeshaji anayeutangaza utamaduni wa Mswahili Marekani
Jamila Kizondo amejizolea umaarufu mitandaoni kwa kutumia kwake vichekesho kuutangaza utamaduni wa Mswahili nchini Marekani. Leo ndiye malkia wetu kwenye KURUNZI WANAWAKE, ambapo Fathiya Omar kutoka Mombasa amezungumza juu ya kazi zake.
England wawachaza Ireland Kaskazini 5-0 mechi ya mwisho
Austria imeweka miadi na Ujerumani robo fainali baada ya kuiondoa timu iliyojaa nyota ya Norway.
Ufaransa yatinga robo fainali baada ya kuipiga Ubelgiji 2-1
Ufaransa itakutana mshindi wa pili katika kundi C ambalo linaongozwa na Uholanzi, huku Sweden akishika nafasi ya 2.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 17
Ukurasa unaofuatia