You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani na Korea Kusini kufanya luteka kubwa ya kijeshi
Marekani na Korea Kusini zitafanya mazoezi makubwa ya kijeshi licha ya vitisho vya Korea Kaskazini kupinga mazoezi hayo.
Blinken uso kwa uso na Lavrov pembezoni mwa mkutano wa G20
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi za G20, washindwa kuafikiana juu ya tamko la pamoja
Marekani kuidhinisha mpango wa uuzaji wa silaha kwa Taiwan
Marekani imeidhinisha mpango wa uuzaji wa silaha mpya kwa Taiwan wenye thamani ya dola milioni 619.
Marekani yazindua luteka ya kijeshi na Mataifa ya Afrika
Marekani imeanzisha hapo jana nchini Ghana mpango wake wa kila mwaka wa kutoa mafunzo ya kukabiliana na ugaidi kwa vikos
Iran yakanusha urutubishaji wa vinu vyake
Televisheni ya kitaifa ya Iran Ijumaa imeitetea serikali ya nchi hiyo kuhusu madai yaliyotolewa na wachunguzi wa kimatai
Marekani yawatuhumu mawaziri wa Urusi kwa unyama Ukraine
Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amewatuhumu maafisa wa Urusi wanaohudhuria mkutano wa kilele wa nchi 20 zilizos
China yaonya kuhusu ongezeko la mzozo wa Ukraine
Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Qin amezitolea wito nchi fulani kuacha kuwasha moto huku akiielenga hasa Marekani.
Biden kukutana na rais wa Poland mjini Warsaw
Ziara hiyo inayonuwia kutoa mwito kwa washirika wa magharibi kuendelea kuiunga mkono Ukraine bila ya kuchoka.
Blinken akutana na Rais Erdogan katika ziara yake Uturuki
Blinken amefanya mazungumzo na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ambapo waligusia vita vya Ukraine
Mwenyekiti MSC aitaka Ujerumani kuongeza matumizi ya kijeshi
Mwenyekiti wa MSC Christoph Heusgen atoa wito kwa Ulaya na Ujerumani kuongeza matumizi ya kijeshi.
Ahadi ya Biden kwa Ukraine: Tutasimana nanyi hadi mwisho
Zelenskiy amemshukuru Biden kwa ziara hiyo katika wakati huu mgumu, huku akiitambia Urusi kwamba haitoshinda vita.
Biden kuzungumza na Rais Xi kuhusu puto la ujasusi
Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuzungumza na Rais wa China Xi Jinping juu ya sakata la puto la ujasusi
Rais wa Iran akamilisha ziara yake China
China na Iran wametoa pia wito wa kusitishwa vikwazo dhidi ya Iran.
Blinken kuzuru Ulaya katikati mwa fukuto la mzozo na China
Wizara ya Mambo ya Nje haijathibitisha iwapo Blinken atafanya mkutano na maafisa wa China.
Marekani yakamata wanne kuhusiana na mauaji ya rais wa Haiti
Mauaji hayo ya Julai 7, 2021, yalifanywa na kundi la Wakolombia waliofunzwa kijeshi waliokodiwa na Wahaiti walio Florida
Marekani yadungua kifaa kingine katika anga yake
Hicho ni kifaa cha nne kudunguliwa na ndege za kivita za Marekani ndani ya siku nane.
Marekani yauwa wapiganaji 12 wa Al-Shabaab Somalia
Serikali ya Somalia yatoa idadi kubwa ya vifo kuliko iliyotangazwa na Marekani.
Bolsonaro apanga kurejea Brazil katika wiki zijazo
Bolsonaro bado anachunguzwa nchini Brazil kufuatia tukio la uvamizi wa majengo ya serikali.
Marekani na Canada wadungua kifaa kinachotia mashaka
Uhusiano wa Marekani na China umeingia dosari baada ya Puto la China kukiuka anga ya Marekani
Rais Lula wa Brazil ziarani nchini Marekani
Hata hivyo Lula na Biden wanatofautiana katika masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
China: Marekani yakiuka kanuni za uchumi wa soko na sheria
China imesema Marekani inakiuka kanuni za soko kwa kuwazuia Wachina kununua mali zisizohamishika.
Nicaragua yawachia huru wapinzani 222 na kuwapeleka Marekani
Serikali ya Nicaragua imewaachia huru zaidi ya wanasiasa 200 wa upinzani na kisha kuwapeleka nchini Marekani.
Rais Lula wa Brazil anafanya ziara nchini Marekani
Rais wa Brazil Luiz Lula da Silva anafanya ziara nchini Marekani akilenga kuimarisha mahusiano yaliyofifia.
Korea Kaskazini yaonyesha silaha zake katika gwaride
Jeshi lilionyesha pia idadi ya makombora ya nyuklia na ya masafa marefu yanayomilikiwa na nchi hiyo.
China yadai ´kupakwa tope´ kupitia hotuba ya Biden
China imesema imechafuliwa jina katika hotuba ya Rais wa Marekani Joe Biden ya Hali ya Taifa.
Biden awarai Warepublican kufanya kazi naye
Rais Joe Biden amewarai Warepublican kufanya kazi naye ili kukamilisha kazi ya kuujenga upya uchumi na kuunganisha nchi.
China yaishtumu Marekani baada ya puto lake kudunguliwa
Mvutano wa China na Marekani kuendelea kufuatia tukio la puto la China kudunguliwa katika anga ya Marekani.
Marekani, Korea Kusini zafanya luteka za kijeshi tena
Marekani na Korea Kusini zimefanya luteka za kijeshi kwa mara ya pili katika muda wa wiki moja.
Ziara ya Blinken: Uhusiano wa Marekani na China kuboreka?
Lengo ni kuendeleza mawasiliano lakini hakuna uwezekano kwa Marekani na China kufikia maendeleo katika uhusiano wao.
Marekani yachunguza puto la Kijasusi la China kwenye angani
Jeshi la Marekani, limesema linafuatilia puto la kijasusi la China ambalo limeonekana katika anga ya Marekani.
Rais Biden atoa rai kupitishwa mageuzi ya idara za polisi
Rais Biden amesema ana matumaini kifo cha Tyre Nichols kitashinikiza bunge kuidhinisha mageuzi katika idara za polisi.
Korea Kaskazini yajitayarisha kinyuklia kuidhibiti Marekani
Korea Kaskazini yasema yajitayarisha kuongeza uwezo wake wa silaha za nyuklia kukabili hatua za kijeshi za Marekani.
Ufaransa yakamata shehena ya silaha zikielekea Yemen
Maafisa wa Marekani wamedai kukamata silaha wanazodai zilikuwa zinatoka Iran kuelekea nchini Yemen.
Moscow yaishutumu Washington 'kuharibu' mkataba wa silaha
Urusi imeishutumu Marekani kuwa kuharibu mkataba wa udhibiti wa silaha, baada ya Marekani kusema haifuati makubaliano.
Blinken azungumza na rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi
Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken amefanya mazungumzo na rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi
Blinken akutana na Rais wa Misri kujadili mizozo ya kikanda
Wakati huohuo,wizara ya afya ya Palestina imesema Wanajeshi wa Israel wamemuua Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi.
Watu saba wauliwa katika shambulio Jerusalem Mashariki.
Shambulio hilo ni miongoni mwa mabaya kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni nchini Israel.
Marekani yaweza kuvimaliza vita vya Ukraine - Kremlin
Kremlin imesema Rais Biden ana uwezo wa kuumaliza mzozo wa Ukraine kwa kuielekeza Kiev, lakini hajawa tayari kuutumia.
Urusi: Marekani imeamua kuzidisha mzozo nchini Ukraine
Marekani na washirika wake wa magharibi wameendelea kuipa silaha Urusi hatua inayozidi kuikasirisha Urusi.
Biden asema kuisaidia Ukraine ni jukumu la ulimwengu mzima
Marekani yaipongeza Ujerumani kwa kutoa vifaa vya kijeshi kwa Ukraine.
Trump kukubaliwa tena kutumia Facebook na Instagram
Kampuni ya Meta inayoumiliki mtandao wa kijamii wa Facebook na Instagram, imesema itazirudisha akaunti za rais wa zamani
Ujerumani kujibu haraka kuhusu vifaru vya kivita kwa Ukraine
Nchi za Magharibi zimekuwa zikiahidi silaha zaidi za ili kuisaidia Ukraine kupambana na mashambulizi kutoka Urusi.
Marekani kuipelekea Ukraine vifaru chapa M1 Abrams
Katika kile kitakachokuwa kubadilika kwa msimamo, serikali ya rais wa Marekani Joe Biden inatarajiwa kutoa ridhaa ya kut
Mshukiwa wa mauaji ya Monterey Park ajiuwa
Polisi nchini Marekani imesitisha juhudi za kumtafuta mtu aliyejihami kwa bunduki aliyewauwa watu 10 huko California, k
Ujerumani: Wanasiasa wakosoa kukwama kupeleka vifaru Ukraine
Inakaribia Mwaka mmoja sasa tangu majeshi ya Urusi yalipoivamia Ukraine.
Zelensky:Muhimu ni vifaru chapa Leopard
Zelensky ameyasema hayo alipokuwa akihutubia mkutano wa washirika wake Magharibi uliokuwa ukijadili msaada zaidi Ukraine
Ujerumani: Bado hakuna mwafaka wa kupeleka vifaru Ukraine
Viongozi wa Ulaya Ijumaa walitoa wito kwa Ujerumani kutoa idhini ya kupelekwa nchini Ukraine vifaru vya Kijerumani chapa
Teknolojia rafiki yajadiliwa Davos
Teknolojia rafiki yajadiliwa katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia
Safari za ndege zacheleweshwa Marekani
Wakala unaosimamia na kuongoza safari za ndege za shirikisho nchini Marekani FAA umetangaza kusitisha safari zote za nde
Safari za ndege zacheleweshwa Marekani
Wakala unaosimamia na kuongoza safari za ndege za shirikisho nchini Marekani FAA umetangaza kusitisha safari zote za nde
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 16 wa 70
Ukurasa unaofuatia