You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Biden atangaza dola bilioni 1 kwa kukabiliana na joto
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza ufadhili mwingine wa Marekani wa kimazingira wenye thamani ya dola bilioni moja
Msafara wa ubalozi wa Marekani washambuliwa Sudan
Blinken ameeleza kuwa kila mtu aliyekuwemo ndani ya msafara huo wa magari yuko salama.
Pentagon yamnasa mtu anayeshukiwa kuvujisha nyaraka za siri
The Washington Post iliripoti kuwa mamia ya kurasa za nyaraka zilikuwa zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Discord
Biden akutana na rais na waziri mkuu wa Ireland
Biden amekutana na viongozi wa Dublin
Biden: Mustakabali wa Ireland Kaskazini ni wa Marekani pia
Rais wa Marekani Joe Biden amesema mustakabali mzuri wa Ireland Kaskazini ndiyo kwanza umeanza.
Mpinzani mkubwa wa China kuwania urais Taiwan
Uamuzi huu unatazamiwa kuikasirisha zaidi na China inayokichukulia kisiwa hicho kuwa sehemu yake iliyojitenga
Ukraine yakanusha kubadili mkakati wa mashambulizi
Majeshi ya Urusi yamezidisha mashambulizi katika miji ya mashariki mwa Ukraine wakati ambapo maafisa wa serikali ya Ukra
Biden aenda Ireland ya Kaskazini
Biden anajali Ireland Kaskazini na ana historia ndefu ya kuunga mkono amani na ustawi wa eneo hilo.
Watumishi 2 wa shirika la misaada ya Marekani wauawa, Amhara
Shirika hilo la Marekani limesema waliouawa ni meneja wa usalama Chuol Tongyik na dereva Amare Kindeya
Marekani yasaka chanzo cha kuvuja kwa nyaraka zake za siri
Mitandao ya Twitter, Telegram, Discord na mingineyo imekuwa ikizipata nyaraka hizo katika siku chache zilizopita
Biden kuwania tena urais 2024
Biden kuwania tena urais 2024
China yahitimisha luteka ya kijeshi karibu na Taiwan
China yahitimisha luteka ya kijeshi
China yahitimisha luteka za kijeshi kuizunguka Taiwan
Vyombo vya habari vya China viliripoti kwamba ndege kadhaa za kijeshi zilifanya mazoezi ya kuifunga anga ya Taiwan.
China yaendeleza luteka za kijeshi kuizunguka Taiwan
China inaendelea na mazoezi ya kijeshi kukizunguuka kisiwa cha Taiwan inachokichukulia kama semehu ya himaya yake.
China yamuwekea vikwazo Balozi wa Taiwan nchini Marekani
Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan imejibu kwa ghadhabu hatua hiyo
Uchambuzi: Mashtaka dhidi ya Trump yaibua mengine mapya
Swali linaloning'inia ni je Trump alikusudia kukiuka sheria ya uchaguzi, japo hajashtakiwa kwa kosa hilo?
Iran yakaribisha wito wa marekani kuunga mkono amani Yemen.
Iran yapongeza wito wa Marekani wa kusaidia kumaliza mgogoro wa muda mrefu nchini Yemen
Trump ajitetea, adai Wademocrat waihujumu azma yake ya urais
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amejitetea vikali katika matamshi yake ya kwanza kwa umma tangu kufikishwa kizim
Trump aapa kupambana mahakamani
Uwezekano wa Trump kukamatwa unaongeza mashaka kwenye kampeni yake ya kuwania kurejea kwenye Ikulu ya White House.
Trump kukamatwa Jumanne
Trump atakamatwa rasmi na kufikishwa kizimbani Jumanne wiki ijayo kutokana na mashtaka ya jinai dhidi yake.
Trump kushtakiwa kufuatia malipo kwa Stormy Daniels
Baraza kuu la mahakama ya New York limeidhinisha rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ashtakiwe.
Waliojeruhiwa kwa bunduki waongezeka Marekani
Majeruhi wa rusasi waongezeka Marekani
Viongozi wa EU waionya China kuhusu uhusiano wake na Urusi
Wiki ijayo, Von der Leyen ataambatana na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron hadi mjini Beijing, China.
Mahusiano kati ya Tanzania na Marekani yajadiliwa
Makamu wa Rais wa Marekanil Kamala Harris anaanza ziara ya siku tatu nchini Tanzania. Kamala anatarajiwa kuwasili nchini humo saa nne usiku na kulakiwa na viongozi wa serikali. Saidi Msonga, Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na siasa za kimataifa akiwa mjini Dar es Salaam alizungumza na Bruce Amani wa DW juu ya uhusiano baina ya Marekani na Tanzania.
China yapinga Taiwan kukutana na viongozi wa Marekani
China yapnga Rais wa Taiwan kukutana na viongozi wa Marekani.
Serikali ya Israel yaponea kura ya imani
Muungano wa wafanyakazi nchini Israel umeitisha mgomo mkuu leo kupinga mpango wa serikali ya waziri mkuu Benjamin Netany
Makamu wa Rais wa Marekani awasili nchini Ghana
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, amewasili Ghana ambako amesema ana matumaini na mustakabali wa Afrika.
Ukraine: Urusi inaishikilia Belarus kama mateka wa nyuklia
Putin alisema kuwa Urusi ilifikia makubaliano na jirani yake Belarus ili kupeleka silaha za kimkakati za nyuklia.
Iran na Syria zalaani mashambulizi ya Marekani nchini Syria
Serikali za Tehran na Damascus zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani katika eneo la Deir Al-Zor nchini Syria
China yaionya Marekani kuhusu kupeleka meli ya kivita
Marekani inazidi kuchukuwa hatua ya kudhibiti kujitanua kwa China katika eneo la bahari ya Kusini mwa China.
Makamu wa Rais wa Marekani kuanza ziara yake barani Afrika
Kamala Harris atakwenda pia Ghana na Tanzania.
Jeshi la Marekani lashambulia nchini Syria na kuua watu 10
Wizara ya ulinzi imesema shambulizi hilo lilifanywa dhidi ya kituo cha shughuli za ukarabati
Biden afanya ziara nchini Canada
Kwenye ziara hiyo wakuu hao wamefikia makubaliano yanayolenga kuwazuia waomba hifadhi kuingia kwenye mataifa hayo
UN: 26% ya watu duniani hawana maji safi
Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu maji unaanza Jumatano huko New York, Marekani, huku ripoti ya Umoja wa Mataifa i
Usalama waimarishwa mjini New York
Polisi mjini New York wameimarisha usalama kuelekea uwezekano wa kukamatwa kwa rais wa zamani Donald Trump
Mmarekani mwenye asili ya Kisaudi aachiwa huru Riyadh
Almadi ameachiwa huru ghafla hii leo kwa mujibu wa mwanawe Ibrahim aliyezungumza na shirika la habari la AFP
Marekani: Uhalifu wa kivita ulifanywa katika vita vya Tigray
Ripoti hiyo inaweka uzito kwa tuhuma za awali kuhusiana na uhalifu uliofanywa.
Kumbukumbu ya miaka 20 tangu mwanzo wa vita vya Iraq
Iraq yafanya kumbukumbu ya miaka 20 tangu mwanzo wa vita vilivyouangusha utawala wa dikteta Saddam Hussein.
Droni ya Marekani yaanguka baharini, Urusi yaombwa maelezo
Droni ya kijasusi ya Marekani yaanguka katika Bahari Nyeusi, Marekani na Urusi zashutumiana kufanya uchokozi
Biashara ya silaha yapungua duniani, yaongezeka Ulaya
Vita vya Ukraine vyasababisha ongezeko la bishara ya silaha duniani huku Marekani ikishikilia nafasi ya juu kwa uuzaji
Korea Kaskazini yafanya majaribio ya makombora ya kimkakati
Majaribio hayo ya Korea Kaskazini yanajiri saa chache kabla ya Korea Kusini na Marekani kuanza luteka kubwa ya kijeshi.
Von der Leyen afanya ziara nchini Marekani
Marekani na Umoja wa Ulaya kuwa na makubaliano ili kupunguza mivutano.
Hofu ya udikteta yawapelekea Wageorgia kuandamana
Polisi ya Georgia imewafyatulia mabomu ya kutoa machozi maelfu ya waandamanaji, ikiwaamrisha watawanyike wakati walipoku
Ukraine:Hatuhusiki na hujuma dhidi ya mabomba ya gesi
Hata hivyo Urusi imepuuza ripoti hiyo iliyoitaja kama kampeni makhsusi ya kuficha ukweli, huku Ujerumani ikitahadharisha
Marekani: Mripuko wa mabomba ya Nord Stream ilikua hujuma
Taarifa za kijasusi zilizotolewa na maafisa wa Marekani zinaonyesha kwamba kundi moja linaloiunga mkono Ukraine, ndilo l
Rais wa China Xi Jinping ailaani Marekani
Rais wa China Xi Jinping ameishtumu Marekani kwa kile alikchokitaja kuwa ukandamizaji dhidi yake
Tutaijibu Marekani kwa nyuklia - Pyongyang
Pyongayang inapingana vikali na mazoezi ya kijeshi kati ya Marekani na Korea Kusini inayoyachukulia kuwa uchokozi.
Scholz, Biden waapa kuendelea kuisaidia Ukraine
Kansela wa Ujerumani na Rais wa Marekani wameapa kuendeleza ushirikiano wao wa pamoja kuisaidia Ukraine.
Marekani na Korea Kusini kufanya luteka
Marekani na Korea Kusini zitafanya luteka ya pamoja ya kijeshi ya siku 10, kuanzia Machi 13 hadi 23.
Kansela Scholz awasili Marekani
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amewasili mjini Washington jana usiku, ambapo anapanga kukutana na Rais wa Marekani Joe
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 70
Ukurasa unaofuatia