You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Blinken, MBS wafanya 'mazungumzo ya wazi' Jeddah
Ziara ya Blinken nchini Saudi Arabia iliyoanza Jumanne ndiyo ya pili tangu kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.
Sunak ziarani nchini Marekani kwa mazungumzo na Rais Biden
Sunak amesema pia analenga kuimarisha mahusiano ya Uingereza na Marekani kwenye nyanja za uchumi.
Kwanini Marekani iliingia katika mkwamo wa madeni?
Marekani bado inakabiliwa na matumizi makubwa katika huduma za afya na pensheni kwa idadi kubwa ya wazee
Mapigano yaendelea kushuhudiwa nchini Sudan
Saudi Arabia na Marekani zimesema zinaendelea na mazungumzo ya kila siku na wajumbe kutoka pande mbili hasimu.
Miili 180 yazikwa bila ya kutambuliwa Sudan
Wafanyakazi wa Hilali nyekundu nchini Sudan, wameizika miili 180 bila ya kutambuliwa katika miji ya Khartoum na Darfur.
Blinken kwenda Saudi Arabia wiki ijayo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatarajiwa kufanya ziara nchini Saudi Arabia juma lijalo
Marekani yaepuka hatari ya kushindwa kulipa deni lake.
Mswada ulioidhinishwa na pande mbili unapaswa kutiwa saini na kuwa sheria kabla ya tarehe ya mwisho ya Juni 5.
Marekani na Taiwan zasaini makubaliano ya kibiashara
Marekani na Taiwan zimesaini makubaliano ya kibiashara licha ya upinzani kutoka China.
Wasiwasi waongezeka kuhusu mzozo wa Kosovo na Serbia
Jamii ya Wasarbeia wa Kosovo wapinga hatua ya serikali kuachia mameya kudhibiti mabaraza ya miji kaskazini mwa Kosovo
Marekani yaweka vikwazo vipya dhidi ya taasisi za Sudan
Marekani hakubainisha wazi ikiwa hatua hizo zitawalenga majenerali wanaoongoza makundi hasimu katika mzozo huo.
Marekani: Tutarejea katika usuluhishi wa Sudan kwa masharti
John Kirby amesema hali mbaya ya usalama inazuia zoezi la kufikisha msaada wa dharura
Bunge la Marekani lapitisha muswada wa ukomo wa kukopa
Rais Joe Biden amesema makubaliano hayo ni habari njema kwa watu wa Marekani
Pence ajitosa kwenye kinyang'anyiro cha Ikulu ya White House
Kura za maoni zinaonyesha wapiga kura wengi bado wanampendelea Donald Trump akiwa na uungwaji mkono wa asilimia 53.
Korea Kaskazini kurusha satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi
Kufutia kitisho hicho waziri wa ulinzi wa Japan alitoa onyo la vikosi vyake kuishambulia setilaiti hiyo
Pande hasimu Sudan zakiuka mkataba wa usitishaji mapigano
Kulingana na Umoja wa Mataifa, takriban watu milioni 1.4 wamepoteza makaazi yao kutokana na vita hivyo.
Marekani yaitaka Kongo kuheshimu haki ya kuandamana
Wakati huohuo vyama vikuu vya upinzani vimeitisha maandamano mapya mjini Kinshasa kuomba uchaguzi huru na wa haki.
Ron DeSantis ajitosa katika mbio za urais wa Marekani 2024
Uzinduzi wa nia ya urais ya DeSantis kwenye mtandao wa Twitter ulikumbwa na matatizo ya mara kwa mara ya kiufundi
Marekani: Ron DeSantis kutangaza nia ya kuwania urais
Gavana wa Florida, Ron DeSantis anatarajiwa kutangaza nia yake ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican.
DeSantis kutangaza nia ya kuwania urais Marekani
Gavana wa jimbo la Florida Ron DeSantis atatangaza Jumatano nia yake ya kugombea urais wa Marekani.
Wasiwasi waongezeka Marekani kabla ya mkutano kuhusu madeni
Rais Biden alilazimika jana Jumapili kuikatisha ziara yake barani Asia
Pande hasimu zakubaliana kusitisha mapigano kwa wiki 1 Sudan
Khartoum yashuhudia mapigano makali kuelekea makubaliano ya kusitisha mapigano kwa wiki moja kati ya majenerali hasimu
Mazungumzo ya deni la Marekani yakwama tena
Chama cha Republican kinamtaka Biden kupunguza matumizi ili kumuunga mkono katika kuiongezea serikali kiwango cha kukopa
Mataifa ya G7 yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
Kwenye mkutano wao wa kilele nchini Japan, viongozi wakuu wa G7 wamekubaliana juu ya vikwazo zaidi dhidi ya Urusi.
Amnesty: Idadi ya watu walionyongwa iliongezeka mwaka 2022
Kulingana na Amnesty International, idadi ya watu waliouawa kwa kunyongwa ulimwenguni kote mwaka 2022 ilifikia 883.
Viongozi wa G7 kujadili "mabavu ya kiuchumi" ya China
Viongozi wa G7 kujadili China inavyotumia nguvu zake kiuchumi kama turufu katika mahusiano yake na mataifa mengine.
Mawaziri wa G7 wajadili juu ya kadhia ya deni la Marekani
Iwapo Marekani itashindwa kulipa deni lake la taifa hali hiyo itasababisha matatizo makubwa duniani.
Wahamiaji wapambana kuvuka mpaka wa Mexico kuingia Marekani
Mamia ya wahamiaji wanapambana kuvuka mpaka wa Mexico na kuingia Marekani kabla ya kuondolewa kwa vizuizi vya corona
Mapigano yanaendelea katika mji wa Khartoum nchini Sudan
Mapigano yanaendelea nchini Sudan licha ya juhudi za Saudi Arabia na Marekani za kusimamisha mapigano hayo.
Watu kadhaa wauwawa kwa risasi Texas, Marekani
Watu tisa wameuliwa kwa kupigwa risasi na mtu aliyekuwa na bunduki katika mji wa Allen jimboni Texas nchini Marekani
Jill Biden kushuhudia kutawazwa kwa Mfalme Charles III
Jill Biden ataiwakilisha Marekani kwenye sherehe za kutawazwa kwa Mfalme Charles III wa Uingereza
Marekani na Saudia wakaribisha mazungumzo ya amani ya Sudan
Majeshi hasimu nchini Sudan yamekuwa yakipambana kwa wiki tatu sasa na kusababisha wasiwasi mkubwa ndani na nje.
Marekani yatishia vikwazo vipya nchini Sudan
Mapigano ya Sudan yamechochea maelfu ya watu kuyakimbia makazi yao na wengine kukimbilia mataifa jirani kusaka usalama.
Urusi: Marekani iliagiza Kremlin ishambuliwe kwa droni
Urusi Alhamis imeituhumu Marekani kwa kuhusika katika shambulizi la droni lililonuiwa kumuua Rais Vladimir Putin katika
USAID na WFP zasitisha msaada wa chakula kwa jimbo la Tigray
Msimamizi wa USAID Samantha Power amesema chakula cha msaada kiliporwa na kuuzwa kwenye soko la ndani
Marekani na Ufilipino waungana dhidi ya uchokozi wa China
Marekani na Ufilipino waungana kiulinzi wakati uchokozi wa China ukiongezeka.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa wakimbizi Sudan
Majenerali wanaopambana wamekubali kupeleka wawakilishi wao Saudi Arabia kwa mazungumzo.
Maelfu wafukuzwa kazi kwa kushiriki mgomo Iran
Maelfu wafukuzwa kazi Iran
Moshi watanda anga ya mji wa Khartoum
Moshi watanda anga ya mji wa Khartoum
Ushirika wa Korea kusini na Marekani utazidisha uhasama
Dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini amesema makubaliano ya hivi karibuni ya Marekani na Korea Kusini yatazidisha uhasama
Meli moja yashambuliwa nchini Yemen
Marekani imeitaka Iran iiachilie meli hiyo ikisema hatua hiyo inakwenda kinyume na sheria ya kimataifa
Marekani, Korea Kusini kukabiliana na kitisho cha Pyongyang
Marais Biden na Yoon pia wamekubaliana kuimarisha uhusiano wa kiuchumi,
IGAD yapendekeza kuongezwa muda wa kusimamisha vita Sudan.
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Volker Perthes amesema haoni dalili ya mapigano kumalizika hivi karibuni.
Kampeni ya Biden ya kugombea Urais 2024 na changamoto zake
Miongoni mwa changamoto zinazomkabili Biden ni athari za janga la Covid-19, uchumi na mfumuko wa bei.
Guterres: jeshi la kimataifa linapaswa kupelekwa Haiti
Guterres asema ukosefu wa usalama katika mji mkuu Haiti umefikia viwango vinavyolingana na nchi zinazokumbwa na vita.
Biden atangaza kuwania tena urais wa Marekani
Trump ameuita uamuzi huo kuwa wa mtu aliyeshindwa vibaya kwenye masuala yote muhimu ya nchi.
Ripoti ya SIPRI: Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani kote
Wanasiasa wa Marekani wanatahadharisha kwamba China inaziba pengo la kijeshi kati yake na Marekani.
Jeshi la Ujerumani limewaondoa watu 101 kutoka Sudan.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ahimiza mazungumzo kumaliza mzozto wa Sudan
Raia wa kigeni na wanadiplomasia kuondolewa nchini Sudan.
Mkuu wa jeshi la Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema pande zinazopigana zinahitaji kuzungumza kama Wasudan
Sudan: Guterres atoa wito wa kusitishwa mapigano
Maelfu ya raia wamelazimika kuondoka katika mji mkuu Khartoum huku milipuko ya mabomu ikiendelea kusikika
Biden atangaza dola bilioni 1 kwa kukabiliana na joto
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza ufadhili mwingine wa Marekani wa kimazingira wenye thamani ya dola bilioni moja
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 70
Ukurasa unaofuatia