You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Jeshi la Niger latangaza rasmi mapinduzi dhidi ya Bazoum
Wanajeshi wa Niger wametangaza rasmi kumpindua Rais Mohamed Bazoum, masaa machache baada ya kuzuiliwa na walinzi wake.
Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum
Kundi la wanajeshi wa Niger, limetangaza kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum.
Niger yakumbwa na kitisho cha "mapinduzi ya kijeshi"
Niger imekumbwa na matukio ya mapinduzi mara nne tangu ilipopata uhuru kutoka Ufaransa, 1960.
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Niger
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Niger
Watu 5 wameuwawa kwenye shambulio la itikadi kali Niger
Watu 5 wameuwawa kwenye shambulio la itikadi kali Niger.
Watu 11,000 wakimbia makaazi yao kusini magharibi mwa Niger
Umoja wa Mataifa unasema watu 11,000 wameyakimbia makaazi yao kusini magharibi mwa Niger.
Amnesty: Afrika Magharibi iongeze vita dhidi ya rushwa
Ni miaka 20 tangu kutiwa Saini Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa
Ujerumani yachukua urais wa muungano wa kanda ya Sahel
Muungano wa Sahel wenye wanachama 18 ulianzishwa mwaka 2017 na Ujerumani, Ufaransa na Umoja wa Ulaya na nchi za G5.
Uamuzi wa Rais Sall wapokelewa kwa hisia mseto
Uamuzi wake wa kutowania muhula mwingine wa uraia umepokelewa kwa hisia tofauti na kupongezwa na viongozi wa kikanda.
Askari wa zamani aliyehukumiwa kwa mauaji ya Rwanda afariki
Wakili wake Abbe Jolles amesema Tharcisse Muvunyi alipatikana jana mchana akiwa amefariki bafuni
Wanamgambo 55 wameuwa katika operesheni ya pamoja, Niger
Taarifa ilisema katika operesheni hiyo askari wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa
Ujerumani yaahidi kuongeza ushirikiano wa kijeshi na Niger
Ujerumani inakusudia kuongeza wanajeshi wake Niger ambapo watatoa mafunzo na msaada kwa vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinakabiliwa na kuongezeka kwa kitisho cha wapiganaji wenye itikadi kali za Kiislamu.
Ndege iliyowabeba Mawaziri wa Ujerumani yapata tatizo
Ziara hiyo ambayo haikutangazwa kabla kwa sababu za kiusalama
Niger: Wanajeshi 5 wafa katika shambulizi
Mashambulizi dhidi ya wachimbaji wa dhahabu yamekuwa yakitokea mara kwa mara katika mkoa wa Agadez
Marekani yatangaza msaada zaidi wa kifedha kanda ya Sahel
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ametangaza msaada wa Dola milioni 150 kwa kanda ya Sahel
17.03.2023 Matangazo ya Asubuhi
17.03.2023 Matangazo ya Asubuhi
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aendelea na ziara barani Afrika
Blinken aelekea Niger kuonyesha mshikamano zaidi wa Marekani
Akiwa Ethiopia, Blinken amesifu maendeleo katika utekelezaji wa mkataba wa amani wa kumaliza mzozo wa Tigray.
Wanajeshi 10 wauawa Niger na wanaoshukiwa kuwa magaidi
Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia watu kadhaa kutoweka.
Bomu lawaua askari wawili wa kulinda amani Mali
Askari wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa raia wa Misri, wameuawa kwa bomu
Afrika Kusini yakataa vikwazo dhidi ya Urusi
Tedros Adhanom Gebreyesus raia wa Ethiopia anakabiliwa na kibarua kigumu kuliongoza shirika la afya duniani WHO.
Kansela Scholz azungumzia ziara yake Afrika
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amemaliza ziara yake barani Afrika hivi karibuni. Lakini alipohitimisha alipata nafasi ya kuzungumza na DW kwenye mahojiano maalumu. Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Scholz kuzuru Afrika tangu alipoingia madarakani. Hii ni sehemu tu ya mahojiano hayo.
Kansela Scholz azuru bara la Afrika
Wachambuzi wanatarajia ahadi za wazi na uongozi mpya kuchukua nafasi ya Ufaransa Afrika Magharibi.
Watu milioni 18 Ukanda wa Sahel kukabiliwa na baa la njaa
Baa la njaa litashinikiza idadi kubwa ya watu kuhama kutoka maeneo yaliyoathirika.
Kukuza michezo kwenye maji Niger
Mto Niger mbali na kutumiwa kwa shughuli zingine za maendeleo,wadau wa michezo kwenye maji wanautumia kukuza talanta za vijana wadogo, ikiwemo kuogelea, mbio za mitumbwi. Wanalo tumaini la kuibua wanamichezo, na mabalozi wazuri wa michezo ya majini.
Ujerumani Kupeleka wanajeshi wake Niger
Serikali ya Ujerumani imeunga mkono mabadiliko ya vikosi vyake viwili vilivyopo Afrika magharibi, kuwahamisha mamia ya wanajeshi kutoka Mali na kuelekea katika taifa jirani la Niger, hatua hii imebadili msimamo wa kimajukumu wa taifa hilo kutoka Ulaya kupeleka Umoja wa Mataifa.
Guterres: Niger isaidiwe kukabiliana na makundi ya jihadi
Wito huu unakuja ikiwa tayari ukanda wa Sahel umekuwa ukipambana na makundi ya itikadi kali yanayotekeleza mashambulizi.
Maji na Nishati: Siasa za Mabwawa
Mabwawa makubwa yanaweza kukuza uchumi na mamlaka. Lakini nini hutokea kwa jamii zilizoko chini ya mabwawa hayo?
Niger yaruhusu chanjo ya malaria kwa watoto
Hatua hiyo inalenga kupambana na ugonjwa huo ambao uliuwa zaidi ya watu elfu nne nchini humo mwaka wa 2021.
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani yupo nchini Mali.
Baada ya kuzuru Mali Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atakwenda nchini Niger.
Afrika Magharibi katika hatari mbaya ya ukosefu wa chakula
Mashirika 11 ya kimataifa imetahadharisha Afrika Magharibi katika hatari ya ukosefu wa chakula.
Waziri Mkuu wa zamani wa Mali afariki dunia akiwa kizuizini
Rais wa Niger Mohamed Bazoum alishutumu kile alichoelezea kuwa ni mauaji ya mkongwe huyo wa siasa nchini Mali.
Watu 18 wauwawa katika shambulio Sahel
Raia kumi na nane wameuwawa katika mashambulizi mawili yanayoshukiwa kufanywa na wapiganaji wa jihadi nchini Niger.
Niger yawafukuza Wanyarwanda 8 wanaohusishwa na mauaji ya kimbari
Niger imeamuru kufukuzwa kwa Wanyarwanda wanane wanaohusishwa na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, mwezi mmoja tu baada ya kukaribishwa katika mji mkuu Niamey.
Machafuko Sahel yachangia njaa kwa mamilioni ya watu
Mvua zisizotabirika na machafuko vimefanya watu milioni 5.5 nchini Burkina Faso, Mali na Niger kukabiliwa na njaa.
Milipuko yatokea katika kambi ya UN nchini Mali
Milipuko miwili imetokea Mali siku ya Jumapili, katika kambi ya UN na mwingine katika kambi ya kijeshi Niger.
Boko Haram watwaa udhibiti jimbo la Niger
Kundi la kigaidi la Boko Haram limechukuwa udhibiti wa jamii kadhaa katika eneo la kaskazini kati mwa Nigeria.
Amnesty: Wenye silaha Niger wanauwa watoto zaidi
Amnesty: Wenye silaha Niger wanauwa watoto zaidi
Nigeria yathibitisha watoto 136 kutekwa nyara
Nigeria imethibitisha kutekwa nyara watoto 136 wa skuli moja ya Kiislamu katika jimbo la kati la Niger.
Watoto 20 wa chekechea wafariki nchini Niger
Watoto 20 wa chekechea wauwawa katika mkasa wa moto Niger
Milio ya risasi imesikia karibu na makazi ya rais Niger
Hali hiyo imezusha hofu ya jaribio la mapinduzi, siku chache kabla ya kuapishwa kwa rais mpya aliyechaguliwa.
Taarifa ya Habari ya Asubuhi Afrika Mashariki
Wakaazi wa vitongoji vya mji mkuu wa Myanmar, Yangon, wayakimbia makazi yao/ Umoja wa Mataifa waonya mzozo wa Yemen waendelea kushika kasi huku taifa hilo likitumbukia katika baa la njaa/ Na Niger leo yaanza maombolezo ya kitaifa kufuatia mauaji ya watu 58.
Rais Mahamadou Issoufou ameshinda Tuzo ya Mo Ibrahim
Rais wa Niger Mahamadou Issoufou ameshinda Tuzo ya Wakfu wa Mo Ibrahim ya 2020 kwa Mafanikio katika Uongozi wa Afrika.
Wanafunzi 279 waliotekwa nyara Nigeria waachiwa huru
Mamia ya wanafunzi wa kike waliokuwa wametekwa nyara Nigeria na makundi ya wahalifu wiki iiyopita, wameachiwa huru.
Raia wa Niger wapiga kura kumchagua Rais mpya
Niger ina historia ya kukabiliwa na mapinduzi.
Ufaransa na G5 kufanya mkutano wa kilele kuhusu ugaidi
Ufaransa pamoja na washirika wake watano wa eneo la Sahel wanakutana kuhusu uasi unaoendelea kwenye eneo hilo.
Taarifa ya habari, saa 12:00 Asubuhi (Afrika Mashariki)
Shambulizi la kigaidi lawauwa watu 56 Niger
Watu wenye silaha wamewauwa raia 56 na kujeruhi wengine 20 katika shambulizi baya kabisa nchini Niger.
Kura zaendelea kuhesabiwa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi wa rais na bunge siku ya Jumapili.
Watekaji nyara wa Mmarekani nchini Niger wataka fidia
Watu wenye silaha waliomteka nyara raia wa Marekani Philip Walton kusini mwa Niger, wadai fidia ili kumuachia huru
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 10
Ukurasa unaofuatia