You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mahamadou Issoufou
Mahamadou Issoufou anatokea kabila la Hausa na alizaliwa mwaka 1951.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Niger yafunga anga yake huku wasiwasi ukiongezeka baada ya mapinduzi
Jeshi la Niger lililompindua Rais Mohamed Bazoum limefunga anga ya nchi hiyo huku hali ya wasiwasi ikiendelea kutanda. Wakati huo huo maelfu ya wafuasi wa jeshi wamejitokeza kuonyesha uungwaji wao mkono kwa Jeshi.
Jeshi la Niger lafunga anga
Jeshi la Niger limelifunga anga na kuyatuhumu mataifa ya kigeni kujiandaa kwa mashambulizi kutoka nje.
Niger yangoja uvamizi wa kijeshi wa ECOWAS
Utawala mpya wa kijeshi unangoja kuona endapo jumuiya ya ECOWAS itatimiza azma ya kumrejesha madarakani Mohamed Bazoum.
Niger yafunga anga ikihofia uvamizi wa ECOWAS
Watawala wa kijeshi nchini Mali wametangaza kulifunga anga la nchi hiyo, kufuatia kitisho cha uvamizi wa ECOWAS.
Shinikizo lazidi kuongezeka kwa viongozi wa mapinduzi Niger
Ufaransa iliyowahi kuitawala Niger enzi za ukoloni imesema itaunga mkono hatua yoyote itakayochukuliwa na ECOWAS
Watawala wa kijeshi Niger waomba msaada mamluki wa Wagner
Watawala wapya wa kijeshi wa Niger wameomba msaada wa kundi la mamluki wa Urusi la Wagner.
ECOWAS yakamilisha mipango ya kuingia kijeshi nchini Niger.
Wajumbe kutoka nchi za jumuiya hiyo waliwasili nchini Niger Alhamisi iliyopita kwa ajili ya mazungumzo lakini yamekwama
ECOWAS wakubaliana uwezekano wa kuingilia kati kijeshi Niger
Wakuu wa majeshi kutoka nchi za Jumuiya ya ECOWAS wamekubaliana juu ya uwezekano wa kuingilia kati kijeshi nchini Niger.
Matangazo ya asubuhi 05.08.2023
Kuna uwezekano kiasi gani kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS kutumia nguvu kurejesha demokrasia ya Niger? +++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu Human Rights Watch lakosoa maandalizi ya uchaguzi Zimbabwe. ++Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umezuwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu
ECOWAS yakubaliana uwezekano wa kuingilia kati Niger
ECOWAS iliwapatia muda wa wiki moja viongozi wa mapinduzi kumrejesha madarakani Rais aliyechaguliwa Mohamed Bazoum.
Ujerumani yahimiza juhudi za upatanishi Niger
Ujerumani yahimiza kuendelea kwa juhudi za upatanishi Niger.
Niger yavunja makubaliano ya kijeshi na Ufaransa
Niger imevunja mikataba yote ya kijeshi na Ufaransa na kuvizuia vyombo vya habari vya mkoloni huyo wa zamani.
Viongozi wa kijeshi wa Niger kujibu uchokozi
Viongozi wa kijeshi wa Niger kujibu jaribio lolote la kichokozi.
04.08.2023- Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Viongozi wa kijeshi wa Niger wasema wako tayari kujibu jaribio lolote la kichokozi. +++++++ Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekana mashitaka ya jinai yanayomkabili. +++++ Rais Volodymyr Zelensky asema vikosi vya nchi yake vinakabiliwa na mapigano makali lakini bado vinapambana.
Je, raia wa kanda ya Sahel wamekosa imani na demokrasia?
Raia wa ukanda wa Sahel wanaelemea zaidi kuamini wanajeshi kuliko watawala wa kiraia.
Maelfu ya watu waandamana Niger kupinga vikwazo vya ECOWAS
Waandamanaji hao wameunga pia mkono mataifa mengine yaliyokumbwa na mapinduzi ya kijeshi katika miaka ya hivi karibuni.
Utawala wa kijeshi waitisha maandamano makubwa Niger
Kumekuwepo wasiwasi wa usalama kufutia maandamano hayo huku Ufaransa ikidai kuhakikishiwa usalama kwa balozi za kigeni.
Mtawala wa kijeshi Niger aonya dhidi ya uingiliaji wa kigeni
Jenerali Jenerali Abdourahmane Tchiani amewataka wananchi kuandamana kuunga mkono utawala wake.
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Niger
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Niger
Rishi Sunak, Olaf Scholz walaani jaribio la mapinduzi Niger
Sunak na Olaf Scholz wazungumzia Niger
Ujumbe wa ECOWAS watua Niger kutafuta suluhu
Ujumbe wa Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS unaoongozwa na Nigeria, umewasili Niger kujadiliana na
Jumuiya ya ECOWAS inaweza kuziwajibisha tawala za kijeshi?
ECOWAS imerejea tena mbele ya macho ya wengi baada ya kutangaza nia ya kuiwekea vikwazo Niger kufuatia mapinduzi
Ndege za uokozi kutoka Niger zatua Ufaransa
Ndege za uokozi kutoka Niger zatua Ufaransa
Ndege za kwanza kutoka Niger zatua Paris
Ndege mbili za kwanza zilizokuwa zinawabeba raia wa Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya walioondolewa kutoka Niger, zim
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ndege ya uokozi kutoka Niger yatua Ufaransa
Ujerumani yaishukuru Ufaransa kwa kuwaondoa raia wake Niger
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameishukuru Ufaransa kwa kusaidia kuwaondoa raia wake Niger.
Ufaransa kuwaondoa raia wake Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa imetangaza mpango wa kuwaondoa Niger raia wake na wa Ulaya baada ya mapinduzi ya kijeshi kufanyika nchini humo.
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger
Ufaransa inapanga kuwaondoa raia wake nchini Niger kufuatia mapinduzi
Onyo latolewa kuhusu uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Mali, Burkina Faso zaonya dhidi ya uingiliaji wa kijeshi nchini Niger
Burkina Faso, Mali zaonya dhidi ya uingiliaji kijeshi Niger
Utawala mpya wa kijeshi Niger umeituhumu Ufaransa kwa kutaka kuingilia kijeshi ili kumrejesha madarakani Mohamed Bazoum
Utawala wa kijeshi wa Niger wawakamata maafisa wa serikali
Utawala wa kijeshi nchini Niger umewakamata maafisa kadhaa waandamizi wa serikali iliyopinduliwa ya Rais Mohamed Bazoum.
Vikwazo vya kiuchumi vya ECOWAS kuwaathiri raia wa Niger
Ombi la Niger la mkopo wenye thamani ya dola milioni 51 limetupiliwa mbali na Benki ya ukanda huo kutokana na vikwazo.
Utawala wa kijeshi wa Niger waituhumu Ufaransa kula njama
Utawala wa kijeshi Niger umeituhumu Ufaransa kula njama ya kumrejesha madarakani Rais Mohammed Bazoum.
Niger yaituhumu Ufaransa kutaka kumrejesha Bazoum madarakani
Rais Mohamed Bazoum ambaye ni mshirika wa Magharibi, ameshikiliwa na jeshi tangu siku ya Jumatano wiki iliyopita.
ECOWAS kuwawekea vikwazo watawala wa kijeshi Niger
ECOWAS imetishia kuwawekea vikwazo vikali viongozi wa kijeshi waliokamata madaraka kwa nguvu nchini Niger.
Viongozi wa ECOWAS wawaonya viongozi wa mapinduzi, Niger
Viongozi wa ECOWAS wamekutana katika mkutano wa kilele usio wa kawaida nchini Nigeria, kuijadili Niger.
Vikwazo vyainyemelea Niger
Jumuiya ya kimataifa imesema wanafanya kila linalowezekana kuilinda demokrasia ya nchini Niger baada ya mapinduzi.
AU na EU zaongeza shinikizo kwa viongozi wa mapinduzi Niger
Baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika, limewataka wanajeshi kurejea mara moja katika kambi zao.
Blinken aapa kumuunga mkono rais wa Niger aliyepinduliwa
Matamshi ya Blinken yametolewa siku moja baada ya Jenerali Tchiani kujitangaza kuwa kiongozi mpya wa mpito wa Niger.
Baraza la usalama la UN lalaani mapinduzi ya Niger
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelaani vikali mapinduzi ya kijeshi ya Niger na kutaka Rais Bazoum aachiliwe.
Macron kuongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi ya Niger
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, leo ataongoza mkutano wa ulinzi kuhusu mapinduzi yaliyotokea Niger.
Niger yatangaza kiongozi mpya
Taifa hilo limeingia katika mkwamo baada ya jeshi kupindua utawala wa kidemokrasia nchini Niger.
Jenerali Abdourahamane Tiane ajitangaza kiongozi mpya Niger
Mkuu kikosi cha ulinzi wa rais nchini Niger Jenerali Abdourahamane Tiani, amejitangaza kuwa Rais wa baraza la mpito la n
Nani anayeiongoza Niger baada ya mapinduzi?
Wachambuzi wameonya kuwa vurugu hizo za kisiasa huenda zikarudisha nyuma vita dhidi ya makundi ya itikadi kali
Ufaransa: Upo uwezekano wa suluhu ya mzozo wa Niger
Ufaransa, iliyowahi kuitawala nchi hiyo imesema haizingatii jaribio hilo la kuipindua serikali kama hatua ya "mwisho."
Jumuiya ya Kimataifa yalaani mapinduzi nchini Niger
Jumuiya ya Kimataifa yalaani mapinduzi nchini Niger
Umoja wa Ulaya wataka Bazoum aachiliwe huru
Umoja wa Ulaya leo umetoa wito wa "kuachiwa mara moja" kwa Rais wa Niger Mohamed Bazoum na familia yake.
Jeshi na wananchi waunga mkono mapinduzi ya Niger
Mamia ya wananchi pia wamepiga kambi jengo ya bunge kuunga mkono mapinduzi na kuvamia makao makuu ya chama cha Bazoum.
Rais Bazoum aapa kuilinda demokrasia ya Niger
Viongozi wa kikanda na kimataifa wameendelea kutoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa Rais Bazoum na kulaani mapinduzi.
Rais Bazoum aapa kuilinda demokrasia licha ya kupinduliwa
Rais Mohamed Bazoum wa Niger ameapa kuyalinda mafanikio ya kidemokrasia yaliyopiganiwa kwa bidii licha ya kupinduliwa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 10
Ukurasa unaofuatia