Kuna uwezekano kiasi gani kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS kutumia nguvu kurejesha demokrasia ya Niger?
+++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu Human Rights Watch lakosoa maandalizi ya uchaguzi Zimbabwe.
++Uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umezuwa tuhuma za uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu