You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati Ukraine
Jeshi limeongeza kusema kuwa hakuna taarifa za watu waliouawa au waliojeruhiwa.
Zelensky asema atapinga mipango yote isiyoihusisha Ukraine
Urusi na Ukraine zimekuwa zikikosoa mipango yoyote ya amani inayofanyika bila ya kuhusisha moja ya pande hizo.
Starmer aahidi kufufua uhusiano na Ulaya
Starmer amewaambia zaidi ya viongozi 45 wa Ulaya kwamba Uingereza itakuwa "rafiki na mshirika wao wa karibu.”
Von der Leyen kuongoza tena Halmashauri ya Ulaya
Chama cha mrengo mkali wa kulia cha Ndugu wa Italia cha Waziri Mkuu wa Italia Giorgia kilimpinga von der Leyen.
Urusi na Ukraine wabadilishana tena wafungwa
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema wataendelea kuwarudisha raia wake nyumbani
Urusi: Ukraine kujiunga na NATO ni tangazo rasmi la vita
Rais wa zamani wa Urusi Dmitrz Medvedev amesema kujiunga kwa Ukraine NATO itakuwa ni tangazo la vita dhidi ya Moscow.
Tume ya Ulaya kuususia kwa kiasi Urais wa EU wa Hungary
Hungary ndiyo inashikilia urais wa kupokezana wa Umoja wa Ulaya kwa kipindi cha miezi sita.
Zelensky asema ataandaa mkutano mwingine wa kusaka amani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anaweka malengo ya kuandaa mkutano mwingine wa kusaka amani.
China na Urusi zafanya mazoezi ya kijeshi ya pamoja
China na Urusi zafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi
Urusi yatishia kuishambulia Ulaya
Urusi imesema, kama Marekani itapeleka makombora ya masafa marefu Ujerumani, huenda ikaishambulia miji mikuu ya Ulaya
Shambulio la droni lazua moto kwenye ghala la mafuta Urusi
Gavana wa mkoa wa Donieski amesema shambulizi la Urusi limesababisha vifo vya watu sita na kuwajeruhi wengine 22
Zelensky akutana na waziri mkuu wa Ireland
Harris amemueleza Zelensky kuwa Ireland inaiunga mkono kikamilifu juhudi zake za kutaka kujiunga na EU
Zelensky kukutana na Waziri Mkuu wa Ireland
Ireland itaonyesha ushirikiano wake kwa Ukraine katika juhudi zake kutaka kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya.
13.07.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Miongoni mwa yale utakayoyasikia kwenye habari asubuhi ya leo ni Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ireland. Marekani na Urusi waangazia kupunguza kuongezeka kwa mzozo na Karibu watu 22 wafa baada ya jengo la shule kuanguka nchini Nigeria.
Rais Zelensky kuzungumza na Waziri mkuu wa Ireland
Ireland inalenga kuongeza msaada na hasa kwa watoto wa Ukraine walipelekwa kinguvu nchini Urusi na Belarus.
Marekani, Urusi wajadili kupunguza hatari za kusambaa mzozo
Urusi iliivamia Ukraine mapema mwaka 2022 na mataifa ya magharibi yamekuwa yakiisaidia Ukraine katika vita hivyo.
Korea Kaskazini yakosoa tamko la mkutano wa kilele wa NATO
Jumuiya ya NATO na mataifa ya magharibi yamekuwa yakiikosoa Korea Kaskazini kwa kuiunga mkono Urusi na kuisaidia kijeshi
Ujerumani yalia na njama ya kumuua mkuu wa kampuni ya silaha
Ikulu ya Kremlin imepuuza taarifa hizo na kuziita habari za upotoshaji zisizopaswa kuchukuliwa kwa uzito wowote.
Washirika wa NATO waahidi kuipa Ukraine msaada zaidi
Rais Joe Biden alitangaza msaada huo wa fedha baada ya kukutana na Rais Volodymyr Zelensky mjini Washington.
Washirika wa NATO waahidi mshikamano zaidi na Ukraine
Washirika wa Jumuiya ya NATO wameendelea kuahidi kuiunga mkono Ukraine inayopambana na uvamizi wa Urusi.
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea Vita Baridi
Mataifa hayo yalitangaza makubaliano ya Marekani kuanza kupeleka silaha nzito Ujerumani kukabiliana na vitisho.
Joe Biden "Ninataka kumalizia kazi niliyoianza."
Rais Biden amekabiliwa na miito ya kujitoa kuwania tena urais baada ya kuonyesha udhaifu kwenye mdahalo na Donald Trump.
Asia Pasifiki na NATO wajiimarisha kupambana na vitisho
Mataifa manne ya Asia Pasifiki ambayo si wanachama wa NATO wamehudhuria mkutano huo wa NATO kwa mara ya tatu mfululizo.
NATO yalenga kukabiliana na ushawishi wa China
China: NATO iachane na propaganda ya kile wanachokiita "Kitisho cha China", hilo linazusha tu makabiliano na ushindani.
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele
NATO walitangaza msaada zaidi wa kijeshi ili kuunga mkono juhudi za Ukraine za kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Mtu mmoja auawa katika shambulizi la Ukraine huko Belgorod
Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la droni la Ukraine.
Marekani kutuma silaha Ujerumani kukabili kitisho cha Urusi
Wakuu wa ushirika wa NATO wamekubaliana kuiongezea Ukraine msaada wa kijeshi wa karibu dola bilioni 40 mwaka ujao, 2025.
Stoltenberg asema anataraji msaada wa kutosha kwa Ukraine
Stoltenberg asema anataraji msaada wa kutosha kwa Ukraine kutoka NATO
Modi ajadili vita vya Ukraine na Kansela wa Austria
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anayeitembelea Austria amekutana na mwenyeji wake Kansela Karl Nehammer.
Urusi yadai imedhibiti jaribio la kushambuliwa manuari yake
Urusi yadai imedhibiti jaribio la kushambuliwa manuari yake
Viongozi wa NATO kutangaza msaada kwa Ukraine
Rais wa Marekani Joe Biden na viongozi wengine wa NATO wanajiandaa kutangaza msaada mpya kwa Ukraine.
Viongozi wa mataifa ya NATO wakutana Washington, Marekani
Jumuiya ya NATO yaadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwake.
Urusi yashutumiwa kashambulia hospitali Ukraine
Urusi yashtumiwa katika Baraza la Usalama la UN kwa mashambulizi dhidi ya hospitali Ukraine
Viongozi wa NATO wakutana Washington chini ya wingu la vita
Viongozi wa jumuiya ya NATO wanaanza mkutano wao wa kilele leo Jumanne,Washington Marekani
Modi aikosoa Urusi kwa kushambulia hospitali ya watoto Kiev
Kauli ya kiongozi huyo aliyeko ziarani Moscow imekuja siku moja baada ya kushambuliwa kwa hospitali kuu ya watoto.
Vikosi vya Urusi vimelikamata eneo la makaazi Donetsk
Takriban watu 200 wengine walijeruhiwa katika mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya miji kadhaa ya Ukraine.
Modi amuhimiza Putin kutafuta amani kwa njia ya mazungumzo
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anazuru Urusi kwa mara ya kwanza tangu ilipoivamia Ukraine, Februari 2022.
Je, Orban atafanikisha lengo la kutatua mzozo wa Ukraine?
Hungary imechukua uenyekiti wa baraza la EU, swali muhimu ni Je, kipi atafanikisha katika mzozo wa Ukraine?
Urusi yashambulia droni za Ukraine kwenye maeneo ya mipaka
Urusi yaziharibu droni 38 za Ukraine katika maeneo kadhaa ya mpaka na nchi hiyo.
Viongozi wa NATO kujadili msaada zaidi kwa Ukraine
Viongozi wa jumuiya ya NATO wanaanza mkutano wao wa kilele leo Jumanne,Washington Marekani.
Xi: Mataifa yenye nguvu fanikisheni amani Urusi na Ukraine
Rais Xi Jingping asema nchi zenye nguvu zapaswa kuzisaidia Urusi na Ukraine kuanza mazungumzo.
Orbán na Xi Jinping wajadili mzozo wa Ukraine na Urusi
Viongozi wa Hungary na Ukraine wamefanya mazungumzo na kujadili hatma ya mzozo wa Ukraine na Urusi.
Marekani yamtaka Modi kusisitiza juu ya uadilifu wa Ukraine
India ni mshirika wa kimkakati wa Marekani.
Xi atoa wito kuzisaidia Urusi na Ukraine kufanya mazungumzo
Kiongozi wa Hungary Viktor Orban amefanya ziara mjini Beijing iliyotajwa kuwa "ujumbe wa amani".
09.07.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Mashambulizi ya Urusi yameua zaidi ya watu 30 Ukraine
Mashambulizi makubwa ya makombora ya Urusi katika miji kadhaa ya Ukraine yamewaua watu 31 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 150, huku kombora moja likitua katika hospitali inayohudumia watoto katika mji mkuu wa Kyiv. #kurunzi
Watu zaidi ya 30 wauwawa katika shambulizi la Urusi, Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amesema nchi yake italipiza kisasi kufuatia mashambulizi hayo ya Urusi.
Xi ataka Urusi na Ukraine kuwa na mazungumzo ya amani
Mataifa yenye nguvu duniani yanapaswa kuandaa mazingira na kusaidia Urusi na Ukraine kuanzisha upya mazungumzo ya amani
Urusi yaripoti milipuko mikubwa baada ya shambulio la droni
Bohari inayohifadhi silaha za Urusi yalengwa.
Le Pen apinga kupeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine
Chama cha National Rally cha Marine Le Pen kutapinga kuwapeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 67
Ukurasa unaofuatia