You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Le Pen apinga kupeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine
Chama cha National Rally cha Marine Le Pen kutapinga kuwapeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine.
Urusi na Ukraine zote zimefanya uharibifu
Katika miezi ya hivi karibuni, Ukraine nayo imekuwa ikiyalenga maeneo ya kijeshi na maeneo ya kuhifadhi mafuta ya Urusi.
Urusi yakisahambulia kwa droni kituo cha nishati cha Sumy
Tangu mwezi Machi, vikosi vya Urusi vimeongeza mashambulizi ya nguvu katika maeneo ya nishati ya Ukraine
Waziri mkuu wa Hungary afanya ziara nchini Urusi
Ziara ya Orbán inajiri siku chache tu baada ya kufanya ziara ambayo haikutangazwa nchini Ukraine
Putin "Ukraine lazima ikubaline na masharti yetu"
Urusi iliivamia Ukraine mapema mwaka 2022 baada ya mvutano kuelekea Ukraine kujiunga na jumuiya ya NATO.
Urusi yadai kutwaa mji muhimu magharibi ya Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema vikosi vyake vimetwaa udhibiti wa wilaya moja kwenye mji muhimu wa Ukraine.
Mashambulizi ya Urusi yasababisha vifo vya watu 3 Dnipro
Urusi mara kwa mara imekuwa ikikanusha kuwalenga raia tangu ianzishe uvamizi wake wa Ukraine mnamo Februari mwaka 2022.
Orban kukutana na Zelensky katika ziara yake mjini Kyiv
Taarifa hizo zimechapishwa na Gazeti la Financial Times ambalo limenukuu vyanzo vyenye ufahamu na suala hilo.
Hungary yachukua urais wa zamu wa Umoja wa Ulaya
Hungary yachukua jukumu la urais wa kupokezana wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya.
Wapinzani Germany wataka Waukraine wasiofanya kazi wafukuzwe
Vyama vya mrengo wa wastani wa kulia nchini Ujerumani vinashinikiza waukraine wasiotaka kutafuta kazi warudishwe kwao.
Zelensky aomba msaada zaidi wa ulinzi wa anga
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amelalamika kuhusu mashambulizi yanayoendelea.
Watu 7 wauwawa kwa kombora kusini mwa Ukraine
Gavana wa eneo hilo Ivan Fedorov amesema watoto watatu walikuwa miongoni mwa waliofariki.
Shambulizi droni lauwa watu 5 eneo la mpakani la Urusi
Shambulizi droni lauwa watu 5 eneo la mpakani la Urusi.
Rais Zelensky asaini makubaliano ya kiusalama na EU
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskiy amesaini makubaliano ya kiusalama na Umoja wa Ulaya
Zelensky atembelea Donetsk eneo la mstari wa mbele la vita
Urusi na Ukraine zabadilishana wafungwa wa kivita kwa upatanishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Ukraine inajiandaa na majadiliano ya kujiunga na EU
Hatua hii inafaynika ikiwa ni zaidi ya miaka miwili tangu kuanza vita vya uvamizi wa Urusi.
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
EU yaidhinisha msaada zaidi wa kijeshi kwa Ukraine
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wameidhinisha msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.4 kwa ajili ya Ukraine.
Urais wa Hungary utaimarisha au kuudhoofisha Umoja wa Ulaya?
Hungary itachukua urais wa kupokezana wa baraza la Umoja wa Ulaya mnamo Julai mosi. Hilo litabadili kitu gani?
Urusi: Wanamgambo waua polisi 15, raia kadhaa huko Dagestan
Mamlaka imetangaza operesheni ya kukabiliana na ugaidi katika eneo hilo.
Mashambulizi ya Urusi yawauwa watu wawili mjini Kharkiv
Urusi ilifyatua mkururo wa makombora na droni usiku wa kuamkia leo nchini Ukraine na kuharibu miundombinu ya nishati.
Urusi yailenga miundombinu ya nishati nchini Ukraine
Mashambulizi ya Urusi ya makombora na Droni yametatiza uwezo wa uzalishaji wa umeme wa Ukraine.
Uholanzi yatangaza kuipatia Ukraine mfumo wa kujilinda
Urusi iliivamia Ukraine mapema mwaka 2022 na mataifa hayo yameendelea kushambuliana na kusababisha uharibifu.
Watu milioni 117 wanaishi kama wakimbizi duniani
Kulingana na takwimu za UNHCR, Sudan ndio inaongoza kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi wa ndani wanaokimbia mapigano.
Maelfu ya wanajeshi wajiunga kwenye luteka za NATO
Maelfu ya wanajeshi wa NATO wajiunga kwenye luteka za kimkakati za kijeshi kwenye Bahari ya Baltiki
Putin aipongeza Korea Kaskazini kwa msaada wake katika vita
Rais Vladimir Putin aipongeza Korea Kaskazini kwa kuiunga mkono kwenye vita dhidi ya Urusi dhidi ya Ukraine.
Stoltenberg: NATO kufanya maamuzi muhimu kuhusu Ukraine
Jumuiya ya NATO yaangazia kufanya maamuzi muhimu kuhusu Ukraine katika mkutano wa kilele mwezi Julai.
NATO: China iwajibishwe kwa kuiunga mkono Urusi
Stoltenberg aitaka China iwajibishwe kwa kuiunga mkono Urusi katika vita vyake na Ukraine
Urusi na Korea Kaskazini kuanzisha ushirikiano mkubwa.
Putin na Kim Jong Un kukutana kwa mazungumzo ya kina kuhusu ushirikiano.
Putin ampongeza Ramaphosa kwa kuchaguliwa tena kuwa rais
Kremlin imeelezea matumaini ya kuimarika kwa ushirikiano kati ya Urusi na Afrika Kusini katika sekta mbalimbali.
Je, mkutano wa kilele wa Ukraine umefikia malengo yake?
Rais wa Uswisi: Mkutano huo ulilenga kuanzisha mchakato wa muda mrefu wa amani ambao utaijumuisha pia Urusi.
Viongozi wa dunia waunga mkono uhuru wa Ukraine
Viongozi wa dunia waunga mkono uhuru wa Ukraine na mazungumzo ya kuleta amani kati ya Ukraine na Urusi.
Viongozi wapendekeza suluhisho la amani kwa mzozo wa Ukraine
Mkutano huo umesema matumizi ya silaha za nyuklia hayakubaliki, na usalama wa chakula usitumiwe kama silaha ya vita.
Viongozi wakuu duniani waunga mkono uhuru wa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amepongeza mafanikio ya kidiplomasia ya mkutano huo ambao Urusi haikualikwa.
Uhuru wa Ukraine kuwa msingi wa makubaliano ya amani
Makubaliano hayo ya pamoja yaliukamilisha mkutano wa siku mbili wa kujadili amani ya Ukraine mjini Bürgenstock, Uswisi
Njia za kumaliza vita vya Urusi na Ukraine zajadiliwa Uswisi
Viongozi wa dunia wamekusanyika Bürgenstock kujadili njia za kumaliza vita
Mkutano wa kimataifa wa amani Ukraine wafungua Uswisi
Viongozi wa kitaifa na wawakilishi wa ngazi za juu kutoka mataifa 92 na mashirika ya kimataifa wanatarajiwa kuhudhuria.
Mkutano wa amani kuhusu Ukraine kufunguliwa leo Uswisi
Mkutano wa kimataifa unaojadili mambo muhimu kuelekea mchakato wa amani katika vita vya Ukraine unafunguliwa leo Uswisi.
Scholz: Mapendekezo ya Putin kuhusu Ukraine hayana uhalisia
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema viongozi wa G7 hawakujadili mapendekezo ya Rais Putin kuhusu amani ya Ukraine.
Mkutano wa kilele wa amani wa Ukraine wafungua pazia Uswisi
Urusi haijaalikwa katika mkutano huo ambao huenda ukashindwa kufikia lengo la Kyiv la kuitenga Moscow.
Nchi za Magharibi kutumia mali za Urusi kuifadhili Ukraine
Viongozi wa G7 wanapanga kutumia riba kutoka mali za Urusi zilizozuwiliwa za dola bilioni 300 kusaidia Ukraine.
Rais Vladimir Putin aitolea msharti Ukraine ili amalize vita
Ukraine imeyapuuzilia mbali masharti hayo ya Urusi kwa kuwa bado ina mpango wa kujiunga na Jumuiya ya NATO.
Viongozi wakuu wa G7 wajadili uhamiaji
Wanaangazia njia za kukabiliana na usafirishaji watu pamoja na kuongeza uwekezaji katika mataifa wanakotokea wahamiaji.
NATO yajadili urasimishaji wa msaada kwa Ukraine
Mpango wa Ujumbe unaoitwa Msaada wa Usalama wa NATO na Mafunzo kwa Ukraine unatarajiwa kuungwa mono katika mkutano huo
14.06.2024 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
G7 kukubaliana kuhusu mpango wa dola bilioni 50 kwa Ukraine
Viongozi wa G7 wamefikia makubaliano ya kuipa Ukraine dola bilioni 50 wakitumia mali za Urusi zinazozuiliwa.
NATO yaunga mkono ujumbe wa mafunzo na msaada kwa Ukraine
Jumuiya ya kujihami ya NATO yakutana kujadili msaada wa mafunzo kwa Ukraine pamoja na ahadi za muda mrefu za kifedha.
Mkutano wa kilele wa G7 unafungua pazia Italia
Viongozi wa kundi la mataifa ya G7 wamekusanyika nchini Italia kwa mkutano wa kilele wa siku tatu unaoanza leo.
Hungary yakubali kutopinga msaada wa NATO kwa Ukraine
Serikali ya Hungary imekubali kutopinga uungaji mkono wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO kwa Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 67
Ukurasa unaofuatia