You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mazingira
Mazingira yanatuzunguka kila mahala, na wanaadamu wanayategemea kuendesha maisha yao.
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
24.11.2024
24 Novemba 2024
Greenpeace yachukizwa na makubaliano ya COP29
23.11.2024
23 Novemba 2024
COP 29 yaingia katika siku ya ziada Azerbaijan
22.11.2024
22 Novemba 2024
Azerbaijan kutoa pendekezo jipya la ufadhili wa tabianchi
19.11.2024
19 Novemba 2024
Viongozi wa G20 wanakutana Brazil kujadili mazingira
18.11.2024
18 Novemba 2024
Ulaya: Tutaongoza juhudi za kuzisaidia nchi masikini
18.11.2024
18 Novemba 2024
Mataifa tajiri yaombwa kufanikisha mazungumzo ya mazingira
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Mambo muhimu kuhusu makubaliano mapya ya Tabianchi
Mambo muhimu kuhusu makubaliano mapya ya Tabianchi
Makubaliano ya dola 1.3 trilioni kila mwaka hadi 2035 kwa nchi maskini yatasaidia kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Azerbaijan kutoa pendekezo jipya la ufadhili wa tabianchi
Azerbaijan kutoa pendekezo jipya la ufadhili wa tabianchi
Azerbaijan inatarajia kuziba mianya baina ya nchi tajiri na zinazoendelea kabla ya kumalizika rasmi kwa COP29.
UN: Nchi zinahitaji utayari kufanikisha makubaliano COP29
UN: Nchi zinahitaji utayari kufanikisha makubaliano COP29
Guterres ametaka mataifa yawe na utayari ili kupata makubaliano ya ufadhili katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Viongozi wa G20 kujadili maendeleo na nishati safi
Viongozi wa G20 kujadili maendeleo na nishati safi
Mkutano wa kilele wa kundi la nchi tajiri na zile zinazoinukia kiuchumi la G20 unaingia siku ya pili huko Brazil.
Ujerumani yaahidi kufadhili viwanda kwenye nchi masikini
Ujerumani yaahidi kufadhili viwanda kwenye nchi masikini
Viwanda ni moja ya vyanzo vikubwa vya uzalishaji na usambazaji wa hewa ukaa ulimwenguni.
Mkutano wa G20 kufunguliwa mjini Rio, Brazil
Mkutano wa G20 kufunguliwa mjini Rio, Brazil
Mizozo inayoshuhudiwa ulimwenguni inatarajiwa pia kugubika majadiliano ya mkutano wa G20 mjini Rio de Janeiro.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Yenye kuangaziwa
Yenye kuangaziwa
Vijana waitisha maandamano zaidi duniani ya mazingira
Hapa Ujerumani miji kadhaa inafanya maandamano hayo ingawa kunatarajiwa idadi ndogo kulinganisha na kipindi cha nyuma.
Watetezi karibu 200 wa mazingira waliuawa 2023
Colombia kwa mara nyingine inashikilia rekodi ya kuwa nchi isiyo salama kanda ya Amerika ya Kusini kwa wanaharakati hao.
Miaka 13 tangu kutokea ajali ya Fukushima
Ajali ya Fukushima inazingatiwa kuwa janga la pili la nyuklia katika historia ikilinganishwa na janga la Chernobyl.
Mafuriko yawaacha maelfu bila makaazi Kongo
Maelfu ya watu wameachwa bila makazi nchini Kongo kufuatia mafuriko mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa.
Je, ni nini maana ya upotoshaji kuhusu tabia nchi?
Habari potofu na uwongo pia huchapishwa na baadhi ya vyombo vya habari au kusambazwa na wanasiasa wanaopenda umaarufu.
Umoja wa Mataifa mbioni kutafuta makubaliano ya Dubai
Nchi zinazozalisha mafuta zinapinga wito wa kihistoria wa ulimwengu kuondokana na nishati ya visukuku.
Maudhui yote (993) kwenye mada hii