You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ujerumani yatinga nusu fainali Euro ya wanawake
Timu ya taifa ya Ujerumani ya kandanda la wanawake imetinga nusu fainali ya michuano ya Euro 2022 kuibamiza Austria 2-0.
Mtiririko wa gesi kutoka Urusi kuelekea Ulaya waanza tena
Hayo ni baada ya Rais Vladimir Putin kuonya kwamba mtiririko wa gesi unaweza kupungua zaidi au kusitishwa kabisa.
Kutanuwa malengo ya Urusi ni propaganda mpya - Baerbock
Hayo yamo kwenye mahojiano maalum aliyofanya hapo jana na DW.
Ulaya yakumbwa na joto kali huku Uingereza ikivunja rekodi
Idara za huduma za dharura zinaendelea kulemewa na kazi.
Ujerumani yakataa maelezo ya Urusi kuhusu Nord Stream 1
Urusi yashinikizwa kuruhusu usambazaji wa ngano kuepusha janga la njaa linaloinyemelea dunia kutokana
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Urusi imelifunga bomba la gesi inayoingia Ujerumani
Urusi imelifunga bomba la gesi inayoingia Ujerumani
Viongozi waomboleza kifo cha waziri Mkuu mstaafu Shinzo Abe
Kwa mujibu wa taarifa Abe alishambuliwa na mtu mwenye umri wa miaka 41 aliyewahi kuwa mwanajeshi.
Urusi kujenga reli Mashariki mwa Ukraine
Urusi kujenga reli Mashariki mwa Ukraine
G7 kuisaidia zaidi Ukraine, kuishinikiza zaidi Urusi
Viongozi wakuu wa G7 wamekubaliana kuweka ukomo wa bei kwenye mafuta ya Urusi na kutoa mabilioni kuepusha njaa duniani.
G7 kutoa dola bilioni 5 kukabili kitisho cha njaa
Viongozi wa kundi la G7 pia walaani shambulizi la Urusi la Jumatatu Ukraine na kukiita ni uhalifu wa kivita
Viongozi wa G7 waapa kuisaida Ukraine "bila kuchoka"
Viongozi wa kundi la mataifa tajiri na ya kidemokrasia la G7 wameapa kuisaidia Ukraine bila kuchoka katika vita na Urusi
Kongamano la G7 Elmau, Ujerumani: Je ni zaidi ya onyesho?
Kongamano la G7 Elmau, Ujerumani: Je ni zaidi ya onyesho?
Viongozi wa G7 kuilenga sekta ya mafuta ya Urusi
Viongozi wa kundi la G7 wanatarajiwa kutangaza hatua za kuongeza mbinyo dhidi ya Urusi kutokana na vita wa Ukraine.
G7 yaweka hazina ya miundombinu kwa nchi zinazostawi
Mpango huo unaonekana kama jibu la nchi za Magharibi kwa Mradi wa China wa ujenzi wa miundombinu ya usafiri na barabara
Kongamano la GMF lafunguliwa Bonn
DW imewakusanya pamoja zaidi ya washiriki 2000 kutoka zaidi ya mataifa 100 kuzungumzia mustakabali wa habari.
Washiriki 2,000 wahudhuria kongamano la wanahabari Bonn
Kongamano la kumi na tano la vyombo vya habari ulimwenguni limeanza hivi leo hapa mjini Bonn likiwa ni mara ya kwanza kw
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia waizuru Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na waziri mkuu wa Italia Mario Draghi wawasili Kiev
Habeck ziarani Mashariki ya Kati
Habeck anatembelea Israel, Mamlaka za Palestina na Jordan.
Hali halisi ya mfumo wa kuishi pamoja Ujerumani
Wageni ni wahanga wa mwanzo wa mfumo wa kibaguzi katika elimu na fursa nyingine za maisha nchini Ujerumani
Ujerumani yaitaka Uturuki na Ugiriki kuacha chokochoko
Erdogan aishtumu Ugiriki kwa ukiukaji wa mipaka yake ya anga
Ukraine: Urusi inadhibiti asiliamia 70 ya Severodonetsk
Gavana wa jimbo la Luhansk, Serhiy Gaidai amesema vikosi vya Urusi vinadhibiti takribani asilimia 70 ya Severodonetsk.
Ukraine yawaamuru wanajeshi wa Azovstal kuweka chini silaha
Ukraine imewaamuru wanajeshi waliobakia kwenye kiwanda cha Azovstal kuweka silaha zao chini.
Ujerumani na Qatar zatiliana saini mkataba wa nishati
Qatar inataka kuiletea Ujerumani gesi ikiwezekana kuanzia mwaka 2024
Urusi yaendeleza mashambulizi Ukraine
Ukraine imesema hatua ya Urusi kuanzisha tena mashambulizi Donbas imeuharibu kabisa mkoa huo wa mashariki mwa Ukraine.
Vikosi vya Urusi vyadaiwa kuharibu eneo la viwanda la Donbas
Vikosi vya Urusi vyadaiwa kuharibu kabisa eneo la viwanda la Donbas
Utafiti: Vyuo vikuu Ulaya vyashirikiana na China
Uchunguzi umefanywa na mashirika ya Correctiv, Follow the Money, Deutschlandfunk, Süddeutsche Zeitung na Deutsche Welle.
Scholz atetea uamuzi wa kuipatia Ukraine silaha
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amelihutubia bunge la taifa na kutetea uamuzi wa Ujerumani wa kuipatia silaha Ukraine.
CDU yashinda kwa kishindo uchaguzi wa jimbo la NRW-Ujerumani
Nani ataunda serikali katika jimbo la NRW baada ya uchaguzi?
Idadi ya waliokimbia Ukraine yavuka watu milioni 6
Idadi ya waliokimbia Ukraine yavuka milioni 6
Umoja wa Mataifa kuamua juu ya uchunguzi Ukraine
Umoja wa Mataifa kuamua kama lianzishe uchunguzi kuhusu madai ya ukiukaji uliofanywa na vikosi vya Urusi Kiev.
Ukraine inataka kuhakikishiwa nafasi Umoja wa Ulaya
Ukraine imesema inataka kuhakikishiwa nafasi ndani ya Umoja wa Ulaya, hata kama kupata uanachama kamili kutachukua muda.
Ukraine: Zaidi ya wapiganaji 1,000 bado wamekwama Mariupol
Ukraine imesema zaidi ya wapiganaji 1,000 bado wamekwama katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwenye mji wa Mariupol.
Raia 100 wamekwama kwenye kiwanda cha Azovstal
Meya wa Mariupol amesema takribani raia 100 bado wamekwama kwenye kiwanda cha chuma cha Azovstal.
Chama cha CDU chashinda uchaguzi Schleswig-Holstein
Takwimu rasmi za matokeo ya awali zimekiweka chama cha CDU katika nafasi ya kwanza na asilimia 43.4 ya kura.
Zoezi la kuwahamisha raia kwenye mji wa Mariupol laendelea
Urusi nayo ikizishtumu nchi za Magharibi kwa kuendesha vita vya dunia vya kiuchumi
Marais wa Ujerumani na Ukraine wasuluhisha mzozo wao
Wafadhili wa kimataifa wameahidi kiasi cha dola bilioni 6.5 kwa ajili ya kuisaidia Ukraine.
Je, upo uwezekano wa Ujerumani kuachana na nishati ya Urusi?
Baraza la Mawaziri la Ujerumani limehitimisha mkutano wake wa kuijadili vita ya Ukraine na athari za kiuchumi.
Ujerumani na India zatiliana saini mkataba wa maendeleo
Scholz anapania kuishawishi India iunge mkono msimamo uliochukuliwa na Ulaya na Marekani dhidi ya Urusi kuhusu Ukraine.
Ukraine: Urusi ilianzisha tena mashambulizi Azovstal
Ukraine imesema Urusi Jumapili ilianza tena kukishambulia kiwanda cha chuma cha Azovstal mara baada ya raia kuondolewa.
Je, Umoja wa Ulaya utamshinikiza Modi kuhusu Ukraine?
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anafanya ziara barani Ulaya wiki hii, huku nchi ya kwanza kuizuru ikiwa Ujerumani amb
Baadhi waipinga Ujerumani kuipa silaha Ukraine
Ujerumani imedhinisha hatua ya kuisaidia kwa silaha nzito Ukraine baada ya kusuasua kwa muda mrefu.
Kansela Olaf Scholz asifu msaada wa Japan kwa Ukraine
Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz amesifu mchango wa Japan kuisaidia Ukraine inayokabiliwa na uvamizi wa Urusi.
Kwanini Ujerumani imebadilisha msimamo wa silaha kwa Ukraine?
Bunge la Ujerumani limepiga kura kuunga mkono hatua ya silaha nzito za kivita kuelekwa Ukraine huku Rais wa Urusi, Vladmir Putin akionya nchi za Magharibi zitakazoipatia Ukraine silaha, zinauweka hatarini usalama wa Ulaya. Je hatua ya Ujerumani kubadili msimamo wake imetokana na nini. Hilo ni miongoni mwa maswali ambayo Grace kabogo amemuuliza mchambuzi wa siasa za kimataifa, Abdul Mtullya.
Ziara ya Kansela: Ujerumani yatoa ishara kwa Japan
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anafanya ziara ya siku mbili nchini Japan, kutoa ishara ya umuhimu wa taifa hilo.
Ujerumani yavunjwa moyo na Ukraine
Wanasiasa wa Ujerumani wachukizwa na kitendo cha Ukraine cha kumzuia rais wake kufanya ziara Kiev
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani yupo nchini Mali.
Baada ya kuzuru Mali Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock atakwenda nchini Niger.
Umoja wa Ulaya kuisaidia Ukraine kujiunga nao
Ulaya imesema inalenga kuwasilisha ombi la Ukraine kwenye baraza la Ulaya majira ya moto ya mwaka huu.
Ukraine yaitaka NATO kuipatia silaha zaidi
Ukraine imeitolea wito Jumuiya ya Kujihami ya NATO kuipatia nchi yake silaha sasa kabla ya kuchelewa zaidi.
Ukraine kufungua njia 10 za kiutu
Ukraine imesema imefungua njia 10 za kiutu na imewataka raia kuondoka kwenye maeneo yenye mapambanao ya mashariki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 11 wa 46
Ukurasa unaofuatia