You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Makabiliano yatokea Lüzerath, Ujerumani
Makabiliano yametokea katika kijiji cha Lüzerath wakati maafisa wa polisi wa Ujerumani walipoingia kuwaondoa wanaharakat
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Ukraine yakataa ombi la Putin la kusitisha mapigano kwa muda
Kyiv imetupilia mbali tangazo hilo na kusema hatua hiyo ni hila tu za Urusi, Ujerumani imepanga kuipa Ukraine silaha.
Ulimwengu waukaribisha mwaka 2023 kwa sherehe na fashifashi
Mamilioni ya watu duniani wameukaribisha mwaka mpya wa 2023 kwa matamasha na ufyetuaji fashifashi.
Kansela Scholz ahimiza mshikamano kuelekea mwaka mpya 2023
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema vita vya Urusi nchini Ukraine ni "mtihani mgumu kwetu na nchi yetu."
Steinmeier kusisitiza 'amani na haki' nchini Ukraine.
Steinmeier amesisitiza kwamba amani ikipatikana basi ni lazima iwanufaishe watu wa Ukraine na sio Urusi.
Ufaransa, Ujerumani zaiongezea shinikizo Rwanda kuhusu Kongo
Kuzidi kwa shinikizo kutoka kwa washirika kunaweza kuathiri msaada wa kigeni ambao Rwanda imeufurahia kwa muda mrefu.
Kikongwe ahukumiwa miaka 2 Ujerumani
Maelfu ya wayahudi waliuliwa na wanazi wakati wa utawala wa Wanazi Ujerumani
Ujerumani yasisitiza uchaguzi 2024 Mali kubakisha wanajeshi
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Christine Lambrecht amesema masharti yote laazima yatimizwe.
Marekeni, Ujerumani zalaani hukumu dhidi ya Meya wa Istanbul
Mahakama ilimhuku Imamoglu kwa kuwatukana maafisa wa uchaguzi wa Uturuki katika hotuba ya mwaka 2019.
Scholz: Ulaya na Ujerumani zimeungana kuisaidia Ukraine
Scholz ameeleza kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin ameshindwa kutimiza hata moja ya malengo yake katika vita hivyo.
Ujerumani kutoa motisha kwa ajili ya uwekezaji Afrika
Serikali ya Ujerumani yasema itatoa motisha zaidi kwa ajili ya vitega uchumi kwenye maeneo kama ya Kusini mwa Afrika.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Gazeti la Frankfurter Allgemeine linasema vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Angola havijasahauliwa.
Kansela Scholz ataka Ujerumani iwe na mifumo ya kujilinda
Kansela Scholz ataka Ujerumani iwe na mifumo ya kujilinda
Washukiwa 25 wa siasa za mrengo wa kulia wakamatwa Ujerumani
KSK katika siku za nyuma ilituhumiwa kwa madai kuwa baadhi ya wanajeshi wake wanajihusisha na siasa kali
Watuhumiwa 25 wa ugaidi wakamatwa Ujerumani
Miongoni mwa waliokamatwa yumo raia wa Urusi anayeshukiwa kusaidia mawasiliano ya kuiangusha serikali ya Ujerumani.
Ujerumani na India kushirikiana kulinda mazingira
India ni taifa la pili kwa idadi ya watu ikitanguliwa na China inashika nafasi ya nne katika uzalishaji wa hewa ya ukaa.
Ujerumani na India zaashiria kutanua ushirikiano
Ujerumani na India zaashiria kutanua ushirikiano
Ujerumani yaizingatia India kama mshirika muhimu
Ujerumani na India zimeashiria kuwa tayari kupanua ushirikiano katika masuala ya kiuchumi na mazingira
Marekani, Ufaransa zaapa kuiwajibisha Urusi kwa vita Ukraine
Rais Biden amesema yuko tayari kuzungumza na Putin kwa sharti la kuondoa majeshi yake Ukraine.
Ujerumani na Qatar zatia saini makubaliano ya gesi
Usambazaji wa gesi hiyo kutoka Qatar utaanza mwaka 2026 ingawa haikutajwa gharama zitakazohusika.
Serikali ya mseto Ujerumani yazozana kuhusu uraia
Waziri wa mambo ya ndani anayetokea SPD anapanga kuharakisha hatua ya kufanya mageuzi ya kutoa uraia kwa wageni
Poland: Kombora huenda lilirushwa kutoka Ukraine
Rais wa Poland Andrzej Duda amesema kombora lililoangukia nchini humo inawezekana lilirushwa na Ukraine.
COP27: Mataifa makubwa yaunda muungano wa nishati ya upepo
Yanasema lengo ni kupunguza utegemezi wa gesi na mafuta na kukabiliana na ongezeko la joto ulimwenguni.
Wamarekani wanapiga kura
Wamarekani wanapiga kura
Steinmeier ana mashaka kuhusu mkutano wa COP27
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameelezea wasiwasi kuhusu hatua inayoweza kupigwa katika mkutano wa COP27.
Rais Xi, Kansela Scholz watafuta kuimarisha ushirikiano
Scholz amefanya ziara wakati ambapo taifa hilo linazozana na mataifa ya magharibi kuhusu Taiwan, haki za binadamu.
Rais wa Ujerumani asema taifa linakabiliwa na nyakati ngumu
Steinmeier ameyasema hayo katika hotuba kuhusu Hali ya Taifa, aliyoitoa kutoka makaazi yake rasmi ya Kasri la Bellevue.
Viongozi wa Ujerumani na Ufaransa wakutana kukiwapo mivutano
Rais Emmanuel Macron, Kansela Olaf Scholz wakutana wakati nchi zao zikitofuatiana juu ya masuala ya msingi
Mvutano wa Ujerumani na Ufaransa wahujumu hatua za EU
Uhusiano wa Ujerumani na Ufaransa upo matatani tena, wakati huu ukionekana kuwa mbaya kuliko awali.
Ukraine yapokea mfumo wa ulinzi wa makombora wa Ujerumani
Ukraine yaipongeza Ujerumani kwa kuipa mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora ya angani
Nchi 14, Ujerumani ikiwemo, zajiunga na Baraza la Haki la UN
Ujerumani ni miongoni mwa nchi 14 zilizochaguliwa kuingia katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa
Uhusiano wa Ujerumani na China watimiza miaka 50 ukilegalega
Mabadiliko ya kimfumo nchini China yamehujumu uhusiano na Ujerumani unaotimiza miaka 50 leo
Mpango wa gesi wa Ujerumani wasababisha mgawanyiko Ulaya
Ujerumani imeutetea mpango wa fedha wa euro bilioni 200 wa kuzuia ongezeko la bei ya gesi.
Viongozi walaumu hujuma kwa uvujaji wa Nord Stream 1 na 2
Umoja wa Ulaya umesema uvujaji wa mabomba ya gesi ya Nord Stream umetokana na hujuma na kuapa kulipiza kisasi.
UAE yakubali kusambaza gesi na dizeli nchini Ujerumani
Umoja wa Falme za Kiarabu wakubali kusambaza gesi na dizeli nchini Ujerumani
Kansela wa Ujerumani asaka nishati kwenye nchi za Ghuba
Kansela Scholz anakabiliwa na mtihani wa kusawazisha maswala ya kidiplomasia na wenyeji wake kuhusu haki za binadamu.
Ujerumani na Israel zaadhimisha miaka 50 ya mauaji ya Munich
Ujerumani na Israel zaadhimisha miaka 50 tangu mauaji ya Munich
Ujerumani yatoa msaada wa kukabiliana na mfumuko wa bei
Ujerumani yakubali kutoa yuro bilioni 65 kukabiliana na mfumuko wa bei
Urusi: Maelfu wakusanyika kumzika Mikhail Gorbachev
Watu walijipanga foleni na kupitia mahala ambapo jeneza lake liliwekwa.
Uhaba wa nishati: Wajerumani wataka serikali kusaidia
Watu nchini Ujerumani waanza kuhisi makali ya ongezeko la bei ya umeme, nishati na vyakula. Kilio chao ni kwa serikali.
Viongozi wa ulimwengu wamuomboleza Mikhail Gorbachev
Mikhail Gorbachev (91), kiongozi wa mwisho wa uliokuwa Umoja wa Kisovieti aliaga dunia usiku wa Jumanne mjini Moscow.
Urusi yadaiwa kuwapeleleza askari wa Ukraine walio mafunzoni
Mkurugenzi wa shirika la IAEA Rafael Grossi ameelezea hofu kutokana na mapigano karibu na kinu chaZaporizhzhia.
Makubaliano ya nyuklia ya Iran kufikiwa karibuni?
Makubaliano hayo yalikuwa katika hali tete tangu aliyekuwa rais Donald Trump wa Marekani alipojiondoa mwaka 2018.
Urusi yaendeleza mashambulizi ya makombora Ukraine
Vikosi vya Urusi vimeendeleza mashambulizi yake katika maeneo kadhaa ya Ukraine.
Je, Ukraine inafanya maandalizi ya kulipiza kisasi?
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametishia kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya Urusi. Je, mashambulizi y
Maoni: Hutatembea peke yako - mkutano wa waandishi na Scholz
Janga la vita vya Ukraine linaleta hali ngumu ya maisha, huku Scholz akiwa bado mpya kwenye kiti cha ukansela.
Zaporizhhzhia: Ukraine na Urusi zatupiana lawama
Huku pande zote mbili zikitupiana lawama kuhusu mashambulizi ya hapo jana yalioathiri mitambo za umeme.
Vikosi vya Ukraine vyakomboa makaazi 40 ya Kherson
Jeshi la Ukraine vimesema vimekomboa zaidi ya makaazi 40 katika jimbo muhimu la Kherson, wakati ambapo Ukrain
Maoni: Ujerumani itakuwa na kipupwe cha kutisha mwaka huu?
Ndio wakati wa kuelekea moja kwa moja kwenye nishati jadidifu na kuchukuwa hatua za kuwasaidia wanyonge kwa ruzuku.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 46
Ukurasa unaofuatia