Bunge la Ujerumani limepiga kura kuunga mkono hatua ya silaha nzito za kivita kuelekwa Ukraine huku Rais wa Urusi, Vladmir Putin akionya nchi za Magharibi zitakazoipatia Ukraine silaha, zinauweka hatarini usalama wa Ulaya. Je hatua ya Ujerumani kubadili msimamo wake imetokana na nini. Hilo ni miongoni mwa maswali ambayo Grace kabogo amemuuliza mchambuzi wa siasa za kimataifa, Abdul Mtullya.