Serikali ya Ujerumani imeonya kuwa mpango wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya nishati ya Urusi vinaweza kusababisha tatizo la upatikanaji wa nishati hiyo nchini Ujerumani pamoja na mfumuko wa bei. Je, upo uwezekano wa Ujerumani kuachana na nishati ya Urusi? Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na mchambuzi wa siasa za Ujerumani Salum Mzee.