You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waasi wa M23 waudhibiti mji wa kimkakati wa Kitshanga
Waasi wa M23 wameudhibiti tena upya mji wa kimkakati wa Kitshanga wilayani Masisi.
M23 waudhibiti mji wa kimkakati Kitshanga
Waasi wa M23 wameudhibiti upya mji wa kimkakati wa Kitshanga wilayani Masisi,
Mapigano mapya yazuka mashariki ya Congo
Mapigano hayo yamechochea wasiwasi katika mji wa kimkakati wa Masisi, duru kutoka eneo hilo zilisema Jumapili.
Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa waendelea kuondoka Mali
Hii ni sehemu ya utekelezaji wa amri iliyotolewa na utawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
Afrika Wiki Hii
Raia wa Afrika Kusini waandamana nje ya ofisi wa ubalozi wa Israel, kupiga mzozo unaonedelea kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas, rais wa Kenya atangaza mpango wa afya bora kwa wote na huko Madagascar wagombea wa upinzani wawakosoa polisi kutumia nguvu kupitia kiasi, dhidi ya maamndamano ya kupinga kile wanachokiita mapinduzi ya taasisi nchini humo. Mtayarishaji ni Amina Abubakar Mjahid.
Idadi ya wanawake yaongezeka magerezani Afrika Mashariki
Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yanashuhudia ongezeko la wanawake kwenye magereza na vizuizi.
ICC yamfutia mashitaka kiongozi wa waasi Afrika ya Kati
ICC imefuta mashtaka 20 yakiwemo ya mauaji na unyanyasaji dhidi ya waziri wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Mipango ya Afrika Mashariki kuwa na sarafu moja
Juhudi za kuitimiza ndoto ya muda mrefu ya mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa na sarafu moja.
Museveni aapa kuwaandama waliouwa watalii, muongozaji wageni
Museveni ameapa kwamba vikosi vyake vitawasaka waliohusika na mauaji ya muongozaji watalii na watalii wawili.
Museveni alaani mauaji ya watalii
Mbali na wanandoa hao wawili, raia wa Uingereza na Afrika Kusini, muongozaji wageni ambaye ni raia wa Uganda pia aliuawa
Mauaji ya watalii yazusha wasiwasi Uganda
Mauaji haya huenda yakawa na athari kubwa kwa sekta ya utalii ambayo ina mchango mkubwa katika uchumi wa taifa hilo.
Uingereza yatoa tahadhari kwa raia wake Uganda
Muongozaji safari raia wa Uganda pia aliuawa kwenye shambulizi lililofanywa na kundi la waasi.
Benki ya Dunia kuwalinda mashoga Uganda
Benki ya Dunia inakusudia kuhakikisha kuwa mashoga na waliobadili jinsia hawabaguliwi katika miradi ya taasisi hiyo.
Polisi ya Uganda yatibua njama ya waasi kulipua makanisa
Polisi ya Uganda imetibua njama ya shambulizi la bomu lililopangwa na waasi wa ADF dhidi ya makanisa.
Yaliyogonga vichwa vya habari kwenye Afrika Wiki Hii
Amina Abubakar yupo nawe katika Makala hii ya Afrika Wiki Hii, akiyaangazia maoni ya Afrika juu ya mzozo kati ya wanamgambo wa Hamas na Israel, vikosi vya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kutakiwa kuondoka Congo kwa madai ya kushindwa kulidhibiti kundi la waasi wa M23 na Rwanda yashutumiwa kuwaua, kuwashambulia na kuwapoteza wakosoaji wake walio nje ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Kundi la ADF lafanya shambulizi Uganda
Shambulizi lilifanyika katika barabara ya Katojo, kijiji kinachopatikana kiasi kilometa tatu kutoka mpaka wa Kongo.
Congo kulegeza baadhi ya masharti ya utawala wa kijeshi
Hatua hiyo ni ya kuhimiza ushiriki katika uchaguzi mkuu wa Desemba ambao Rais Tshisekedi atawania muhula wa pili.
Uganda: Ruksa wasichana kutumia uzazi wa mpango
Mpango wa serikali nchini Uganda kuruhusu wasichana kuanzia miaka 15 kutumia dawa za uzazi wa mpango wapingwa na jamii.
Watu 29 wauawa katika shambulio nchini Myanmar
Msemaji wa kundi la waasi wa kikabila linalodhibiti eneo hilo alimeliarifu shirika la habari la AFP
Congo yataka vikosi vya Afrika Mashariki viondoke DRC
Serikali ya Kongo imesema vikosi vya Afrika ya mashariki, laazima viondoke kwenye ardhi ya Kongo ifikapo mwezi Desemba.
Kinagaubaga: Afrika Mashariki kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Anayetupambia makala ya Kinagaubaga leo ni rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania Wallace Karia. Tunajikita zaidi katika masuala ya soka ya Tanzania na hatua wanazoweka kuhakikisha maandalizi ya kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa ushirikiano na Kenya na Uganda yanafaulu. Sudi Mnette ndiye nahodha.
Colombia: Serikali yaanza mazungumzo ya amani na waasi
Serikali ya Colombia na kundi lililogawanyika la shirika la zamani la waasi FARC zimeanza mazungumzo ya amani.
Kongo: Mapigano yaendelea kati ya waasi wa M23 na Maimai
Mapigano kati ya waas wa M23 na MaiMai huko Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yameingia wiki ya pili.
DRC: Mbunge ahukumiwa kifo kwa kosa la uhaini
Uamuzi huo umekosolewa vikali na wakili wa Mwangachuchu aliyesema umechochewa na "chuki ya kikabila".
Polisi Uganda yazuwia mapokezi ya Bobi Wine
Bobi Wine alikamatwa na polisi mara baada ya kushuka kwenye ndege na kupelekwa nyumbani kwake kwa laazima.
Waasi nchini Mali wadai kudhibiti kambi ya kijeshi
CUA: Kambi ya jeshi huko Taoussa, katika eneo la Gao, "iko chini ya udhibiti" wa waasi,
Jeshi la Mali lapeleka jeshi kaskazini kupambana na waasi
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa umeondolewa na utawala wa kijeshi na kambi zao kuzikabidhi kwa maafisa wa Mali.
Mama aishtaki hospitali kwa kumshikilia mwanae mchanga
Mwanamke Uganda aishtaki hospitali kwa kumshikilia mwanae kinyume cha sheria baada ya kushindwa kulipa bili yake.
Uganda: Matokeo ya kukatwa kwa ufadhili wa wakimbizi
Wakimbizi nchini Uganda wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha baada ya wafadhili kukata misaada,.
Muungano unaotawala DRC unaaminika kwa kiasi gani?
Baada ya muungano unaotawala nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo unaowajumuisha vigogo wa kisiasa kama waziri wa Ulinzi Jean Pierre Bemba kumteua Rais Felix Tshisekedi kuwa mgombea wa urais, Je wafuatiliaji wanasemaje? msikilize mchambuzi Ali Mali aliyezungumza na John Juma kutokea Ufaransa.
Jeshi na waasi wakabiliana nchini Mali
Kambi ya kijeshi ya Bamba ni ya nne kuchukuliwa katika mfululizo wa mashambulizi yanayofanywa tangu Agosti 2022.
Uganda yatafuta ufadhili wa China kwenye ujenzi wa bomba
Mradi huo wa bomba la mafuta ghafi ambao baadhi ya mataifa ya Magharibi yamejiondoa umetegewa kusafirisha mafuta.
ICC: Bensouda hakufadhili kundi la waasi wa LRA
Mahakama ya ICC imekanusha madai kwamba aliyekuwa mwendesha mashtaka mkuu wake, Fatou Bensouda alifadhili waasi LRA.
Wanajeshi wa Bahrain wafa katika shambulizi la waasi
Vikosi vya Bahrain ni sehemu ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ulioanzishwa Machi 2015.
Maji ni muhimu kwa binadamu kwa kiwango gani?
karibu asilimia 80 ya mwili wa mtoto mchanga huundwa kwa maji. Tunapozeeka, kiwango cha maji katika mwili hupungua na kufikia karibu asilimia 60. Kwa haya na mengine mengi, karibu kwenye makala ya Afya yako tukiangazia umuhimu wa maji kwa mwanadamu.
Muda wa M23 kusalimisha silaha wakamilika bila matunda
Ilani iliyotolewa na serikali, kwa waasi wa M23 kuweka chini silaha ilimazilika Jumapili bila ya kuheshimiwa.
23.09.2023 Matangazo ya Jioni
Kiongozi wa kundi la Mafia wa Italia, Matteo Messina Denaro, ambaye alitiwa mbaroni Januari baada ya kuwa mafichoni kwa zaidi ya miaka 30, yupo mahututi akiwa amepoteza fahamu tangu Ijumaa.
Rais Museveni asema jeshi la Uganda lauwa ADF wengi
Rais Museveni asema jeshi la Uganda lauwa ADF wengi
Waasi wa Nagorno-Karabakh kuweka chini mtutu wa bunduki
Waasi wa Nagorno-Karabakh kuweka chini mtutu wa bunduki
Ulimwengu waadhimisha siku ya kimataifa ya lugha ya ishara
Lugha ya ishara inakubaliwa imepewa kipaumbele nchini Uganda na Afrika Kusini na hivyo changamoto bado ni kubwa.
Azerbaijan yafanya mazungumzo ya amani na waasi wa Armenia
Kwa mara ya kwanza, Azerbaijan imetangaza kuchukuwa udhibiti wa jimbo linalozozaniwa la Nagorno-Karabakh
Waasi nchini Mali wadai kuwakamata baadhi ya wanajeshi
Muungano wa wanamgambo waliojihami kwa silaha umesema umewakamata wafungwa wa kijeshi na kuwaua raia wengi.
Yemen: Waasi waonyesha matumaini baada ya mazungumzo
Ujumbe wa waasi wa Houthi wa Yemen umerejea mjini Sanaa jana Jumanne baada ya mazungumzo ya siku tano huko Saudi Arabia.
Saudia yasifu mazungumzo na waasi wa Houthi wa Yemen
Saudi Arabia imesifu kile imekitaja kuwa "matokeo mazuri" ya mazungumzo yake na waasi wa Houthi wa nchini Yemen.
Vijana wa Uganda wajadili mtaala mpya wa masomo
Kwenye Vijana Tugutuke wiki hii, vijana wa Uganda wanajadiliana juu ya mtaala mpya wa masomo, faida na hasara zake.
Wasiwasi watanda Somalia kuondoka kwa kikosi cha ATMIS
Wadadisi wa masuala ya usalama na makamanda wanaonya hatua hiyo itaongeza vitisho vya kigaidi kote Afrika Mashariki.
Mapigano yazuka kati ya waasi wa Tuareg na jeshi la Mali
Mapigano mapya yamezuka kati ya jeshi la Mali na waasi wa kaskazini mwa nchi hiyo kutoka jamii ya Tuareg.
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan ziarani nchini Uganda
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan, Abdel Fattah al Burhan anaelekea nchini Uganda kwa mazungumzo na Rais Yoweri Museveni.
Kongo yahofia janga la binaadamu kufuatia uvamizi wa Rwanda
Kongo imekuwa ikiilaumu Rwanda kwa uvamizi na kusababisha changamoto kubwa kutokana na mapigano ya makundi ya waasi.
Waasi wa Houthi wa Yemen waenda Saudia kusaka amani
Yemen imetumbukia katika vita na mizozo ya kiuchumi na kusababisha hali mbaya zaidi ya kibinaadamu.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 55
Ukurasa unaofuatia