You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Waasi wa Huthi wanaoungwa mkono la Iran kwenda Saudi Arabia
Ujumbe wa waasi wa Kihuthi wakiungwa mkono na Iran unatarajiwa kwenda Saudi Arabia kwa mazungumzo ya usitishaji mapigano
Uganda: Polisi yasitisha mikutano ya siasa ya Bobi Wine
Polisi nchini Uganda imesitisha mikutano ya kisiasa inayoendeshwa na mwanasiasa na mkosaiji wa rais Museveni Bobi Wine.
Uganda: Polisi wasitisha kampeni ya uhamasishaji ya upinzani
Bobi Wine ameliambia shirika la habari la AFP kuwa harakati hizo zitaendelea kote nchini
Kutana na Rubani mtoto wa miaka 10 Uganda
Graham Shema sio mtoto wa kawaida. Akiwa na umri wa miaka 10, kijana huyu wa Uganda tayari ameendesha ndege halisi kama rubani mwenza. Kilichoanza utotoni kwa kuvutiwa na ndege za kuchezea kilimchochea kusomea urubani shuleni na hata kufanya atambuliwe na mmiliki wa magari ya Tesla Elon Musk.
Waasi wa Azawad watangaza vita na utawala wa kijeshi Mali
Waasi wa Azawad watangaza vita na utawala wa kijeshi Mali
UNICEF: Waasi wawavisha watoto mabomu nchini DRC
Shirika la UNICEF, limesema wanamgambo wa ADF wamekuwa wakiongeza mashambulizi ya mabomu katika eneo hilo.
Wanaharakati Uganda waikosoa EU kufuatia sheria ya LGBTQ
Sheria iliyopitishwa dhidi ya vitendo vya ushoga nchini Uganda inatoa adhabu kali ikiwemo uwezekano wa hukumu ya kifo
Rais Museveni atangaza harakati za kukabiliana na ugaidi
Museveni ameapa kutowasamehe waasi hao wa ADF hata kama watajilisalimisha kwa hiari.
Kongamano la chakula na fursa ya kina mama
Kongamano la kimataifa kuhusu mifumo ya chakula barani afrika limetoa fursa kubwa kwa kina mama wa bara hilo. Yakub Talib ametuandalia vidio kutoka Dar es Salaam, eneo ambalo mkutano huo unaendelea.
Sema Uvume na programu ya "Hello Tractor"
Katika makala ya Sema Uvume utasikiia kuhusu progarmu ya "Hello Tractor" ambayo inatumiwa katika kiungo muhimu katika kuchachua maendeleo ya kilimo nchini Kenya.
Mtaala mpya wa elimu Uganda ni chachu wa maendeleo ya elimu?
Emmanuel Lubega wa Kampala anazungumza na vijana ambao wanatoa majibu ya namna walivyoupokea mitaala huo na mawazo yao katika ustawi wa elimu ya Uganda.
Je unajua madhumu ya vijana kufanya mazoezi kwa wengi?
Vijana Mchakamchaka na malengo ya kufanya mazoezi
Polisi ya Uganda ipo kidete kwa kitisho cha ugaidi.
Polisi ya Uganda ipo katika juhudi ya kukabiliana na kitisho cha ugaidi.
Wakimbizi wa ndani DRC wakata tamaa na kuhisi kutelekezwa
DRC ina jumla ya wakimbizi wa ndani zaidi ya milioni 6, wengi wao wakiwa jimboni Ituri, Kivu Kaskazini na Kusini.
Uganda yatibua shambulizi la bomu kanisani
Maafisa wa kikosi maalumu walifanya upekuzi kanisani wakisaidiwa na mbwa wa kunusa lakini hawakubaini kitisho zaidi.
Colombia yafikia makubaliano ya usitishaji mapigano na waasi
Colombia imefikia mwafaka wa kurejesha makubaliano ya usitishaji mapigano na kundi la wapiganaji wa msituni la EM.
Makala ya Karibuni ya 02.09.2023
Ungana na Sudi Mnette katika kumsikiliza Harrison Mwilima na kitabu chake kipya chenye kuhusu mahusiano ya Afrika Mashariki na Ulaya lakini pia jitihada za Balozi wa Tanzania anaemaliza muda wake nchini Ujeumani Abdallah Possi katika kukieneza Kiswahili barani Ulaya.
Kundi la waasi la CODECO laua watu 14 mashariki mwa DRC
Shambulio hilo limetokea katika eneo lenye machimbo ya madini ya shaba linalomilikiwa na watu binafsi.
Bobi Wine azinduwa maandalizi kuelekea uchaguzi wa 2026
Bobi Wine amezinduwa harakati za maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2026.
Kijana wa miaka 20 ashitakiwa kwa ushoga Uganda
Kijana mmoja, 20, amekuwa raia wa kwanza wa Uganda kushitakiwa kwa vitendo vilivyokithiri vya mapenzi ya jinsia moja.
Kenya yaongoza riadha Afrika, yamaliza ya 5 duniani
Kenya imemaliza mashindano hayo ya dunia ya riadha katika nafasi ya 5 katika jedwali la medali ikiwa na jumla ya medali
Waasi wa Huthi wawauwa wanajeshi 10 wa Yemen
Shambulizi hilo lililenga eneo la waasi hao wanaotaka kuunda Yemen Kusini huru sawa na serikali iliyokuwepo hadi 1990.
Mganda, Victor Kiplangat ashinda dhahabu, Marathon
Kiplangat anakuwa raia wa kwanza wa Ugandan kushinda baada ya Stephen Kiprotich aliyeshinda mwaka 2013.
Jeshi la Uganda limemuuwa kamanda wa kundi la waasi DRC
Waasi wa ADF wamekuwa wakiendesha shughuli zao kwenye misitu Mashariki mwa Kongo kwa zaidi ya miongo miwili
Museveni apiga marufuku 'mitumba'
Museveni amepiga marufuku uingizaji wa nguo zilizokwishatumika, akisema unalemaza ustawi wa viwanda vya nguo.
Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Rwanda na Kongo
Jenerali Andrew Nyamvumba moja ya makamanda wa jeshi la Rwanda ametuhumiwa kuwaunga mkono waasi wa Kongo wa M23.
Usafiri wa umma wakwamishwa na mgomo Uganda
Mgomo wa makampuni ya mabasi nchini Uganda umeingia siku ya tatu na kuwatia abiria katika usumbufu mkubwa hasa katika ki
Mombasa kivutio cha watalii Afrika Mashariki
Shirika la ndege la Uganda sasa limeutaja mji wa mombasa kama njia yake ya faida kubwa Afrika Mashariki.
Cheptegei kutafuta changamoto mpya kwenye marathon sasa
Joshua Cheptegei wa Uganda aliendelea kuzitawala mbio za mita elfu 10 baada ya kushinda dhahabu kwa dakika 27:51.42 mbel
Makala ya Jukwaa la Manufaa
Jiunge na Suleiman Mwiru katika kujuliana hali na kufahamiana kwa kusalimiana kote katika kanda ya maziwa makuu.
Marekani yazitaka Rwanda, Kongo kuutuliza mvutano
Kigali inakanusha madai hayo, lakini inataka hatua kuchukuliwa dhidi ya waasi wa Kihutu wa FDLR.
Tshisekedi awataka waasi Kongo kuweka chini silaha
Ametoa wito huo katika mkutano wa kutathmini hali ya dharura iliyotangazwa Ituri, Kivu Kaskazini miaka miwili iliyopita
Museveni akemea shinikizo la Benki ya Dunia kusitisha mikopo
Benki ya Dunia imesema sheria ya Uganda ya kupinga ushoga "kimsingi inakinzana" na maadili ya taasisi hiyo.
Taarifa ya Habari za Asubuhi: 10.08.2023
Mgombea urais nchini Ecuador auawa kwa kupigwa risasi. Viongozi wa Niger wakutana na wajumbe kutoka Nigeria. Rais wa Uganda akemea shinikizo la Benki ya Dunia kufuatia usitishwaji mikopo.
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Benki hiyo imesema hakuna ufadhili mpya utakaotolewa kwa Uganda hadi hatua za ziada na za ufanisi zitakapochukuliwa.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 09.08.2023
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga. Watu 9 wauawa kufuatia shambulizi la Urusi nchini Ukraine. Mvutano wa kisiasa waendelea nchini Niger.
Nchi wazalishaji kahawa Afrika zajadili thamani ya zao hilo
Tanzania ambayo ndiyo itakuwa mwenyeji wa kongamano hilo mwakani imebainisha mikakati ya kuzidisha thamni ya zao hilo.
Kiwango cha mimba za utotoni nchini Uganda bado kiko juu
Suala hilo linaelezewa kuwa na athari kubwa kwa maendeleo ya nchi hiyo kijamii na kiuchumi ikiwa hatua hazitachukuliwa.
Mjadala kufungwa Ofisi ya Haki ya Umoja wa Mataifa Uganda
Hatua hiyo ina maana sasa serikali ya Uganda pekee itabeba jukumu na uwajibikaji kuhusiana na haki za binaadamu.
Tisa wauawa kijiji kinachodhibitiwa na majeshi ya EAC Kongo
Watu tisa wameuawa katika kijiji kinachodhibitiwa na vikosi vya kijeshi vilivyotumwa na jumuiya ya EAC nchini Kongo.
Ofisi za haki za Umoja wa Mataifa zafungwa Uganda
Umoja wa Mataifa umezifunga ofisi zake zinazosimamia haki huko Gulu na Moroto, Uganda na nyingine kufungwa wikiendi hii
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
Bangui wapiga kura kubadilisha katiba
Mabadiliko hayo yanayopingwa na upinzani yataongeza kipindi cha urais kutoka miaka mitano hadi saba.
DRC yaishutumu Rwanda kupanga kuishambulia
Jeshi la Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo limevishutumu vikosi vya Rwanda kwa kupanga mashambulizi kwenye eneo la mpakani
Nani anayeiongoza Niger baada ya mapinduzi?
Wachambuzi wameonya kuwa vurugu hizo za kisiasa huenda zikarudisha nyuma vita dhidi ya makundi ya itikadi kali
Umoja wa Mataifa wahofia uvunjwaji haki za binaadamu Uganda
Umoja wa Mataifa unahofia kumekuwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu unaofanywa nan vyombo vya dola nchini Uganda.
UN: Uganda lazima ifute sheria yake mpya ya kupinga ushoga
Uganda imekuwa ikiangaziwa kimataifa hivi karibuni baada ya kupitisha sheria mpya ya kupinga ushoga.
HRW: Waasi wa CODECO walifanya mauaji ya kikatili Ituri, DRC
Nusu ya watu waliouawa walikuwa watoto ambapo pia waasi hao walichoma pia moto kambi hiyo ya wakimbizi wa ndani.
Tunawezaje kuliboresha soka la wanawake?
Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake inaendelea kupamba moto huko #NewZealand na #Australia. Licha ya kushuhudia soka la kiwango cha juu, bado linakabiliwa na changamoto kadha wa kadha zinazozuia kusonga mbele, huku wanawake wenyewe wakiwa moja ya visiki. Kulikoni? Tizama video hii kisha unipatie maoni yako. #KurunziLive, #FIFAWWC ⚽⚽⚽💪💪
Wanafunzi 200 walazwa hospitali Uganda
Zaidi ya wanafunzi 200 nchini Uganda wamelazwa hospitali baada ya kula chakula kisicho salama.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 55
Ukurasa unaofuatia